Wakuu mwenye uelewa na hii fursa nasikia mwisho Feb 28 mwezi huu watu wanakuwa matrilionea

bado umeziihold? Inabidi kuwa makini kwenye crypto kuna watu wanazipandisha kisha wanazidump wanachukua mamilioni yao. Navyomwona elon musk nadhani ni michezo yake.
Na ndicho kilichotokea, kipindi nanunua zilikuwa maarufu sana Kuna mwamba atawithdraw karibia robo tatu ya asset na mambo yakalia ziiiii!. Huwezi amin nilianza kuvihamisha hamisha pesa yote ikaishia humo humo kwenye swaping
 
Kwenye crypto hasa hizi alt coin za sasa ni wajanja wanazi hype zinapanda wana cash out, waliobaki wanabaki wanasaga meno. Sema kwenye hiyo hype kuna wengine nao wanafaidi pia.
Nilisoma sehemu kuwa kila siku ni zaidi ya cryptos tokens mpya 5000 zinazinduliwa. Chache zinasikika nyingine zinatumika kupiga ela na kutupwa.
 
Uko sawa mkuu, asilimia kubwa ya watanzania sio risk taker shida inaanzia hapo
 
Kwa uchunguzi niliofanya ukweli ni kwamba kwa ss sioni coin yoyote ya kuaminika ambayo unaweza kuhold ukatulia bila wasi.. hata hiyo Bitcoin mfano musk akisema achomoe asset yake aliyoweka, ww ulienunua mbele yake lazima ulie
 
Yah lakini itakuwa ngumu kuitikisa kama anavyotikisa coins nyingne. Ana jumla ya bitcoin 11500 kuptia kampuni zake wakati katika mzunguko kuna bitcoins milion 21.
Uzuri bitcoin ilitake off naturally yani si kwamba ilivamiwa na matajiri mwanzoni kama hiz za sasa na hakuna aliyedhani itakuja kuwa kubwa hivi.
 
Sahihi kabisa mkuu lkn ukweli unabaki pale pale mnufaikaji ni yule alieiwahi ikiwa Bado thaman yake ipo chini sana then akahold. So matajiri wakiongeza mzigo Ngoma inapaa hata wakichomoa bado hakmshake kivile
 
Yes hao ndo waligeuka kuwa mabilione. pia wakati imeanza kupata hata mtu mwenye fedha aliyenunua ikiwa hata kwenye dollar 14 elf akatupia dollar milion 1 leo amepiga faida kubwa sana.
 
Yes hao ndo waligeuka kuwa mabilione. pia wakati imeanza kupata hata mtu mwenye fedha aliyenunua ikiwa hata kwenye dollar 14 elf akatupia dollar milion 1 leo amepiga faida kubwa sana.
Kabisa mkuu nadhan ngoja tuone Hawa wa Pai itakuwaje ikiingia sokoni
 
Kabisa mkuu nadhan ngoja tuone Hawa wa Pai itakuwaje ikiingia sokoni
Huenda tutapata fedha kidogo labda kwa wenye pi nyingi labda laki hivi huenda ndo wakawa mabilionea. Uliona ile ya trump na mkewe walipoapishwa wakaja na cryptos wakapiga ela. wajinga ndo waliwao
 
Huenda tutapata fedha kidogo labda kwa wenye pi nyingi labda laki hivi huenda ndo wakawa mabilionea. Uliona ile ya trump na mkewe walipoapishwa wakaja na cryptos wakapiga ela. wajinga ndo waliwao
Mkuu ndiomaana nimekwambia kwass nimekuwa mpenzi mtazamaji ila ni mfuasi mkubwa wa hizi mambo lengo niendelee kujifunza
 
Noted mkuu
 
Wajuaji wengi sana.
Aisee nimekula nyingi sna,toka renec,ice,kina dogs,catizen,cats, aisee nyingi sana sana
Hapo kwenye kuhamisha coins kuwa hela Mkuu,Naomba msaada wa hatua unafanyaje kupata mzigo wako mfano katika cats,Dog maana mm sijatoa
 
Naona wamepunguza siku inazinduliwa tarehe 20 mwezi huu
 
Mkuu ndiomaana nimekwambia kwass nimekuwa mpenzi mtazamaji ila ni mfuasi mkubwa wa hizi mambo lengo niendelee kujifunza
Hatimaye yamekuwa sema bei yake haikuwa kama pioneers walivyokuwa wanatabiri.
Ila hii kitu imekaa kama pyramid scheme ina hype nyingi za pyramid scheme na ndiyo maana china wana utata nayo.
Wazee wana mbwembwe hadi jana walishare picha eti byd wameuza gari 100 kwa kila gari kulipiwa pi coin moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…