Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na ndicho kilichotokea, kipindi nanunua zilikuwa maarufu sana Kuna mwamba atawithdraw karibia robo tatu ya asset na mambo yakalia ziiiii!. Huwezi amin nilianza kuvihamisha hamisha pesa yote ikaishia humo humo kwenye swapingbado umeziihold? Inabidi kuwa makini kwenye crypto kuna watu wanazipandisha kisha wanazidump wanachukua mamilioni yao. Navyomwona elon musk nadhani ni michezo yake.
Kwenye crypto hasa hizi alt coin za sasa ni wajanja wanazi hype zinapanda wana cash out, waliobaki wanabaki wanasaga meno. Sema kwenye hiyo hype kuna wengine nao wanafaidi pia.Na ndicho kilichotokea, kipindi nanunua zilikuwa maarufu sana Kuna mwamba atawithdraw karibia robo tatu ya asset na mambo yakalia ziiiii!. Huwezi amin nilianza kuvihamisha hamisha pesa yote ikaishia humo humo kwenye swaping
Uko sawa mkuu, asilimia kubwa ya watanzania sio risk taker shida inaanzia hapoWana JF ukiwaletea fursa basi wanataka uwaambie ni wapi umepata soko zuri la kuuza viazi au vitunguu ni mbegu gani nzuri za matiki tiki maji ndio watakuamini na kukutilia maanani..
lakini ukiwaletea habari za BTC,$Trump, $link aisee hapo utakutana na maneno yote ya kejeli na kupuuzwa na hii ni kwa sababu wengi bado wako kwenye industrial age wanatengeneza pesa in traditional way japo dunia ya sasa iko kwenye information age, hauitaji kutumia miaka 20 hili uweze kuwa millionaire bali ni taarifa sahihi tu na kuwa mbele ya muda.
Kuna mwanangu mmoja sasa hivi yuko zake nje ya nchi huko kwa werevu, kwa mara ya kwanza yeye ndio alinipa taarifa za kuhusu Bitcoin ilikuwa 2015 nafikiri bei yake ilikuwa around $400 akanisisitiza sana na mimi nitafute hela lile ninunue hata moja kisha ni hold itanisaidia baadae yeye hapo ananiambia hivyo alikuwa ameshanunua kama 6 hivi...!!
Kama tu walivyo wabongo wengine na mimi nikapuuzia na kuona hizi mambo za kuweka hela mtandooni ni kutapeliwa tu na hakuna hela rahisi hivyo...
Basi miaka imeenda na mimi kuanza kupanua uelewa wangu kuhusu biashara za mitandaoni hasa kwenye crypto nikaja kumtafuta around 2021 hapo BTC price yake inasoma kama $60,000 hili anipe maujanja kama kuna namna yoyote ya kunisaidia hasa ukizingatia kipindi hicho zikaanza kuanzishwa cryptos nyingine nyingi.. jamaa wala hata hakutaka kuangaika na mimi.
saa basi hivi ndio wabongo wengi tunavyoachwaga na fursa kutokana na uoga na ufinyu wa kukosa maarifa.
Kwa uchunguzi niliofanya ukweli ni kwamba kwa ss sioni coin yoyote ya kuaminika ambayo unaweza kuhold ukatulia bila wasi.. hata hiyo Bitcoin mfano musk akisema achomoe asset yake aliyoweka, ww ulienunua mbele yake lazima ulieKwenye crypto hasa hizi alt coin za sasa ni wajanja wanazi hype zinapanda wana cash out, waliobaki wanabaki wanasaga meno. Sema kwenye hiyo hype kuna wengine nao wanafaidi pia.
Nilisoma sehemu kuwa kila siku ni zaidi ya cryptos tokens mpya 5000 zinazinduliwa. Chache zinasikika nyingine zinatumika kupiga ela na kutupwa.
Yah lakini itakuwa ngumu kuitikisa kama anavyotikisa coins nyingne. Ana jumla ya bitcoin 11500 kuptia kampuni zake wakati katika mzunguko kuna bitcoins milion 21.Kwa uchunguzi niliofanya ukweli ni kwamba kwa ss sioni coin yoyote ya kuaminika ambayo unaweza kuhold ukatulia bila wasi.. hata hiyo Bitcoin mfano musk akisema achomoe asset yake aliyoweka, ww ulienunua mbele yake lazima ulie
Sahihi kabisa mkuu lkn ukweli unabaki pale pale mnufaikaji ni yule alieiwahi ikiwa Bado thaman yake ipo chini sana then akahold. So matajiri wakiongeza mzigo Ngoma inapaa hata wakichomoa bado hakmshake kivileYah lakini itakuwa ngumu kuitikisa kama anavyotikisa coins nyingne. Ana jumla ya bitcoin 11500 kuptia kampuni zake wakati katika mzunguko kuna bitcoins milion 21.
Uzuri bitcoin ilitake off naturally yani si kwamba ilivamiwa na matajiri mwanzoni kama hiz za sasa na hakuna aliyedhani itakuja kuwa kubwa hivi.
Watu wametega mitego yao ya pesa halafu unajikuta wewe ndio umenasaPesa inahitaji umakini sana ukiingia hovyo unaweza kupigwa na likitu from no where!
Yes hao ndo waligeuka kuwa mabilione. pia wakati imeanza kupata hata mtu mwenye fedha aliyenunua ikiwa hata kwenye dollar 14 elf akatupia dollar milion 1 leo amepiga faida kubwa sana.Sahihi kabisa mkuu lkn ukweli unabaki pale pale mnufaikaji ni yule alieiwahi ikiwa Bado thaman yake ipo chini sana then akahold. So matajiri wakiongeza mzigo Ngoma inapaa hata wakichomoa bado hakmshake kivile
Kabisa mkuu nadhan ngoja tuone Hawa wa Pai itakuwaje ikiingia sokoniYes hao ndo waligeuka kuwa mabilione. pia wakati imeanza kupata hata mtu mwenye fedha aliyenunua ikiwa hata kwenye dollar 14 elf akatupia dollar milion 1 leo amepiga faida kubwa sana.
Huenda tutapata fedha kidogo labda kwa wenye pi nyingi labda laki hivi huenda ndo wakawa mabilionea. Uliona ile ya trump na mkewe walipoapishwa wakaja na cryptos wakapiga ela. wajinga ndo waliwaoKabisa mkuu nadhan ngoja tuone Hawa wa Pai itakuwaje ikiingia sokoni
Mkuu ndiomaana nimekwambia kwass nimekuwa mpenzi mtazamaji ila ni mfuasi mkubwa wa hizi mambo lengo niendelee kujifunzaHuenda tutapata fedha kidogo labda kwa wenye pi nyingi labda laki hivi huenda ndo wakawa mabilionea. Uliona ile ya trump na mkewe walipoapishwa wakaja na cryptos wakapiga ela. wajinga ndo waliwao
Noted mkuuMkuu Mr IQ sipo hapa kwa ajili ya kumshawishi mtu ila tunapeana elim tu. Siwezi kukushawishi kitu ambacho hata Mimi sijawahi kukifanya.. ila ukweli ni kwamba hiyo kitu ipo na watu wananufaika nacho. Tambua mafanikio ya mtu ni bahati na wala si juhudi tu zako binafsi
Pamoja kakaAsante kwa kumuelimisha huyo mrembo alikuwa ashanivua nyota tayr
uliuza sh ngapi?Yani watu wajuaji sana humu.
Hizo pi mimi mpaka sasa zangu zilimigrate,nimeziuza zote nikapiga mpunga.
Now nasubiri hizi zimigrate tule hela.
Hapo kwenye kuhamisha coins kuwa hela Mkuu,Naomba msaada wa hatua unafanyaje kupata mzigo wako mfano katika cats,Dog maana mm sijatoaWajuaji wengi sana.
Aisee nimekula nyingi sna,toka renec,ice,kina dogs,catizen,cats, aisee nyingi sana sana
Siyo 28?Naona wamepunguza siku inazinduliwa tarehe 20 mwezi huu
Ni 20, hebu ingia uangalieSiyo 28?
Hatimaye yamekuwa sema bei yake haikuwa kama pioneers walivyokuwa wanatabiri.Mkuu ndiomaana nimekwambia kwass nimekuwa mpenzi mtazamaji ila ni mfuasi mkubwa wa hizi mambo lengo niendelee kujifunza