Shing Yui
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 15,168
- 38,049
Tunapigwaje wakati kuchimba ilikuwa bure dakika hizi za mwisho ndio wamefanya ni ya kununua kutokana na muda kubaki kidogo?Aiseee vijana wanapiga sana pesa na kuwa mabilionea .
Ukiweza kutengeneza mifumo na kuibrand worldwide ushakuwa bilionea.
Ni fursa halafu umewekewa deadline siku chache tu mbele ili uchangamkie kupigwa .
Amkeni.
Andaaeni vitu vyenu nanyi mupige pesa globally