Wakuu mwenye uelewa na hii fursa nasikia mwisho Feb 28 mwezi huu watu wanakuwa matrilionea

Aiseee vijana wanapiga sana pesa na kuwa mabilionea .
Ukiweza kutengeneza mifumo na kuibrand worldwide ushakuwa bilionea.
Ni fursa halafu umewekewa deadline siku chache tu mbele ili uchangamkie kupigwa .
Amkeni.
Andaaeni vitu vyenu nanyi mupige pesa globally
Tunapigwaje wakati kuchimba ilikuwa bure dakika hizi za mwisho ndio wamefanya ni ya kununua kutokana na muda kubaki kidogo?
 
Mkuu kama ni ya kununua nakusihi acha subiri hiyo trh 28 watakapokuwa wameziachilia coins za Pai kwenye mfumo wa masoko.. watu wenye wallet za Pai watakapo wezeshwa kutoa pesa yao hapo ndio unaweza fanya jambo
 
DJ walete walete wapigwe maana hawasikii.

Ukiona unaitiwa kwenye fursa basi jua wewe ndiyo fursa...Nature ya binaadamu ni ubinafsi ingekuwa ni deal angepiga yeye mwenyewe asingekustua.
Nina miaka 15 mitandaoni sijawahi muona wa kunipga na haitatokiea
 
Mapimbi wanaosema kua watu watapigwa, mnajidhihirisha ni kiasi gani mpo nyuma ya dunia na Sarafu za kimtandao(SARAFU MFU).
Raisi mwenyewe anatamani nchi iwe na Sarafu yake ya kidijitali, pimbi wa humu ndani hajui hata ni kitu gani, mbaya zaidi kaweka pamba sikio haelewiii.
 
Mkuu nimeleta bandiko ili nipate uelewa zaidi nikiamini eidha hum Kuna ambao tayari wapo huko Pai. Ila ss nakutana na shutuma za utapeli na matusi juu
endelea "kuliwa" manake nimekupa ushauri unaona ni batili. Ukiona unaletewa fursa ujue wewe ni fursa yenyewe. Maadaui wakuu tanzania ni ujinga umaskin na maradhi. 1. Ujinga~umekosa elimu mpaka unajiingiza ktk deal za mitandaoni
2.maradhi~maradhi ya akili ndiyo chanzo cha kufanya hivyo,milembe inakuhusu
3.umasikini~ ukosefu wa pesa ndiyo unakufanya uingie tamaa ya kupiga pesa kiurahisi. SHTUKA mkuu.
 
Mapimbi wanaosema kua watu watapigwa, mnajidhihirisha ni kiasi gani mpo nyuma ya dunia na Sarafu za kimtandao(SARAFU MFU).
Raisi mwenyewe anatamani nchi iwe na Sarafu yake ya kidijitali, pimbi wa humu ndani hajui hata ni kitu gani, mbaya zaidi kaweka pamba sikio haelewiii.
Mkuu jf ya sasa umejaa makanyaboya kibao halafu. Yani huku kwa sasa hamna mawazo mbadala umejaa upuuzi tu.. machinoo kibao halafu kichwani weupe
 
endelea "kuliwa" manake nimekupa ushauri unaona ni batili. Ukiona unaletewa fursa ujue wewe ni fursa yenyewe. Maadaui wakuu tanzania ni ujinga umaskin na maradhi. 1. Ujinga~umekosa elimu mpaka unajiingiza ktk deal za mitandaoni
2.maradhi~maradhi ya akili ndiyo chanzo cha kufanya hivyo,milembe inakuhusu
3.umasikini~ ukosefu wa pesa ndiyo unakufanya uingie tamaa ya kupiga pesa kiurahisi. SHTUKA mkuu.
Mkuu nitake radhi Mimi si masikini wala si mgonjwa wa akili
 
Mkuu nimefatilia Kona zote mpaka kwa msaada wa AI majibu ni Yale Yale. Hata hivyo nimechelewa kwahiyo kama ni fursa tayri imeshanipita
1738838978563.png
 
Mkuu kama ni ya kununua nakusihi acha subiri hiyo trh 28 watakapokuwa wameziachilia coins za Pai kwenye mfumo wa masoko.. watu wenye wallet za Pai watakapo wezeshwa kutoa pesa yao hapo ndio unaweza fanya jambo
Kipindi cha bure naona kimeisha sababu kuna rafikiang nilitaka awe anachimba ila alipofungua account ya P akawa hawezi kuchimba kama sisi bali walimtaka anunue elfu 30 kila Pai moja.
Nilijiuliza kama Pai 1 inauzwa kwa Tsh 30,000 vipi ikija kushuka au kupanda?
Mimi sijanunua naendelea kuchimba hizi za bure sababu account yangu nilifungua kipindi ikiwa bure
 
Halafu kamilisha usajiri wako zinatakiwa tick 5 hapo zikamilike tofauti na hapo unamaliza bando lako bure, wanadai mwisho kukamilisha KYC ni trh 28 mwezi huu. Ukichelewa hutaweza kunitumia hizo coins
 
Back
Top Bottom