Zero Conscious_
Member
- Mar 12, 2024
- 67
- 221
Habari zenu wakuu. Ni kijana mtanzania nina miaka 27. Kipindi ninachopitia kwa sasa kinanifanya kuwaza mambo mengi sana pasipo kupata majibu ya kueleweka.
Hadi kufikia kuja humu basi ujue hali imekuwa sio hali. Najua hatufahamiani humu, lakini haimaanishi mtu hawezi kupata msaada. Napitia mambo magumu sana wakuu. Kuna kazi nilikuwa nikifanya ya store keeper ila nilisimamishwa kwakuwa niliugua kwa muda kidogo.
Kwa upande wa elimu, nina shahada ya ualimu lakini sijaona faida yake hadi leo hii tangu nimalize chuo 2020. Sina akiba tena, sijui kunakucha vipi. Kwa atakaekuwa na kazi au connection ya kazi anisaidie wakuu naombeni sana. Popote nitapambana nije. Kwa sasa nipo shinyanga mjini.
0768070927