Wakuu nina hali mbaya sana, nisaidieni kazi au connection ya kazi. Naona kiza

Kwani huko mtaani kwako wengine wanafanya kazi gani?

Mwisho hivi Huwa hamuulizi Kwa wenzenu? Hizo kazi zenu za Ualimu Kwa Sasa Ajira ni kusubiliana,first out first inn.Mfano Jamaa yangu akimaliza Chuo 2015 akapata kazi mwaka 2022 ,Sasa wewe tumiaka 4 ndio unaona shida?

Mwisho kabla ya June mwaka huu Ajira za Walimu zitatoka andaa cheti.
Mzee una majibu ya dharau sana usijibu hivyo kwa vile wewe umeajiliwa sio wote tuna ajira
Nyiee CCM mbona hamjatupa ajira sisi wafuasi wenu
Hao ma CHAWA ni shiida, wamekariri nadharia za mchongo
 
Oi! Have some respect goddammit, I ain't going anywhere. Sikia nikwambie wewe emotional and sentimental little bitch. You see, mimi sikutukani bali nakwambia ukweli kijana. Hakuna msaada wa bure hapa duniani! Na hiyo ni kwa mwanamke. Kwa mwanaume ni hakuna msaada kabisa hapa duniani.

Eidha utasaidiwa kama unaonyesha juhudi na kujituma au tayari uwe una kitu unafanya. That's it. Sio mtu atoke huko aje akusaidia for no fuking reason.

Nyie jamaa mmelegea na emotional kupitiliza, zaidi ya wanawake. Seriously, it's pathetic for a man to be weak and emotional as you're.
Teach them how to break the matrix bro Tate 😂. Tell them boys to leave emotions to thegirls.

Anyway acha tuendelee na haya maisha ya bongo.
 
Bro fanya hivi: ili uepukane na manyanyaso jifunze kazi za mikono.....

Kama hutojali pita kweny hii njia nilopita mimi 2020 mpaka nikaweza kuendesha maisha bila kimtegemea mtu🤝

Tafuta sehemu kwenye mafundi simu wengi omba wakufundishe ufundi.... Jifunze basics tuu (kuweka system charge, maiki, spika, kubadili vioo na tach * n simple tu)

Halafu baada ya hapo kafungue office karibu na mafundi simu wengi.... Hapo utachofany utaanza kutengeneza matatz madogomadog ikitokea kaz huiwez unapeleka kwa wazoefu unapata ya udalali🤝🤝

Nini utahitaji kuwa nacho ili uanze kazi::
1. Gun (tsh 6000-10000)
2. Soldering wire (1000
3.wax (1500
4.benzine(1000
4. Bango la kuanzia (15000
5. Opening tools (3000 au set nzima 10000)
Note: vingine utapata mbele kwa mbele..... Mimi kipindi naanza nilikuwa sina office niliomba kweny duka la mtu kwa nje hlf ikifika usiku nalaza vitu dukani then maisha yanaendelea!!!

Wakati huo 7000 /8000 hazikupigi chenga kwanzia day one .......... Kikawaida mafundi cm kulaza 30k mpk 50k n kawaida ukiwa sehem nzuri

Pia kwakuwa wewe n msomi jitahid kuchukua online lesson ujifunze kuflash cm na kutoa password (hapa ndo kunapesa zaid bro..... Mafundi wengi n vilaza form 4 failure kusoma type za processor hawawez kwahyo watakuwa wakipata cm yenye password wanakuletea mnagawan pesa

Jaribu hiyo n nzuri sana.... Kipindi unachek michongo mingine
 
Pole sana Kijana. Muumba akuongezee nguvu ya kuona mbali zaidi na Wakati huu mgumu.

Umejaribu CHADEMA lakini?
Acha ujinga basi wewe fala. Mtu yupo serious ana hali mbaya ya kiuchumi anaomba ushauri ili aweze kujisitiri halafu una mletea uchuro wako eti ajaribu Chadema. Kwani yeye kakuambia ni mfuasi wa Chadema? Hata kama angekuwa amejitambulisha kuwa yeye ni mfuasi wa Chama cha siasa. Kwani hakuna watu ambao sio Wafuasi wa Chama cha siasa na hawana ajira? Au kwa vile wewe umeshiba matako yanalia mbwata! Unapoandika kitu hebu jaribu kushirikisha Medulla Oblongata Yako. Bata wahed! Madhabuku!
 
Bro fanya hivi: ili uepukane na manyanyaso jifunze kazi za mikono.....

Kama hutojali pita kweny hii njia nilopita mimi 2020 mpaka nikaweza kuendesha maisha bila kimtegemea mtu🤝

Tafuta sehemu kwenye mafundi simu wengi omba wakufundishe ufundi.... Jifunze basics tuu (kuweka system charge, maiki, spika, kubadili vioo na tach * n simple tu)

Halafu baada ya hapo kafungue office karibu na mafundi simu wengi.... Hapo utachofany utaanza kutengeneza matatz madogomadog ikitokea kaz huiwez unapeleka kwa wazoefu unapata ya udalali🤝🤝

Nini utahitaji kuwa nacho ili uanze kazi::
1. Gun (tsh 6000-10000)
2. Soldering wire (1000
3.wax (1500
4.benzine(1000
4. Bango la kuanzia (15000
5. Opening tools (3000 au set nzima 10000)
Note: vingine utapata mbele kwa mbele..... Mimi kipindi naanza nilikuwa sina office niliomba kweny duka la mtu kwa nje hlf ikifika usiku nalaza vitu dukani then maisha yanaendelea!!!

Wakati huo 7000 /8000 hazikupigi chenga kwanzia day one .......... Kikawaida mafundi cm kulaza 30k mpk 50k n kawaida ukiwa sehem nzuri

Pia kwakuwa wewe n msomi jitahid kuchukua online lesson ujifunze kuflash cm na kutoa password (hapa ndo kunapesa zaid bro..... Mafundi wengi n vilaza form 4 failure kusoma type za processor hawawez kwahyo watakuwa wakipata cm yenye password wanakuletea mnagawan pesa

Jaribu hiyo n nzuri sana.... Kipindi unachek michongo mingine
Oy we @

Daa hongera mkuu kwa ushauri kuntu!
Oya wewe Andrew Tate unaona wenzio wanavyokuja na ushauri konki hapa jamvini,
Hii ndio maana halisi ya mtu aliye elimika anakua na manufaa kwa Jamii kwa kutoa mchango katika Moja na mbili jifunze kua civilized uheshimiwe japo robo!

Shabhash!
 
WTF you talking about?
Tatizo sio kutoa mchango wa maana au kuomba msaada wa kazi. Tatizo ni mtu asiyetaka kujisumbua kama yule member mwengine kule huku akililia msaada.

Hii ndio sababu hamuwezi kufanya chochote mkafanikiwa sababu mnategemea watu wanafikiria nini. Heshima? No, mimi sijali kuhusu heshima wala kuwa civilized. Especially on fake ids. Hiyo sio kazi yangu mimi. Shukuru ukiona nimepoteza muda wangu kukwambia ukweli.

Ukisoms history utagundua sababu kubwa ya mafanikio ya The West au Wazungu ni kuwa makatili, wadhurumishi na uncivilized sons of bitches. Mpaka kufikia hatua ya kukamata babu na bibi zako wa Kiafrika, wakawatia kwenye meli mpaka kwao, wakawafunga minyororo na kuwafanyika kazi mashambani, machimboni kama wanyama bila malipo na mateso ya kila aina. Leo hii angalia Marekani na Europe zilipo? Unafikiri yale ni matunda ya kuwa civilized? Hapana, yale ni matunda ya ukatili, roho mbaya, damu na majasho ya watu wengine. So usiniambie kuhusu kuwa civilized, na sio kuwa civilized tu. Bali kuwa civilized ili kuheshimiwa. Sijali kuhusu heshima na nitaheshimiwa only kama nastahili. It just doesn't matter.

Uhalisia wa maisha ni usitegemee heshima kutoka kwa yoyote kama huna kitu wala kustahili. Kama wewe ni peasant then utakuwa treated as a peasant. Maisha ni katili yasio na huruma. Life is a bitch. And I fuking mean it.
 
Wengi huwa wanakuja na kuomba ajira kwa kuwa na shahada zao ila ukiangalia huko kijijini kwa mfano wana mashamba makubwa ila wanalima eka 3 tu
Hiyo hawaweki kwenye cv zao hapa maana unaweza kupata mtu akakupa hata tractor ukalime huko na kuzalisha mazao ya uhakika

Wengi wanakaa miaka kibao kusubiri kupata ajira huku siku zinaenda
Jitihada zinatakiwa na pia kubadili mindset
There is no such thing as failure, only results
 
Jamaa mambo ni magumu pote japo fursa zipo zina akina mjomba na shangazi mpaka update nafasi itabidi utulie kwanza. Mimi binafs Nina ka degree ka serikali za mitaa lakin babu mambo ni magumu toka 2019 nipo mtaani nimehangaika sana nikakutana na Wataalamu akina CHIMAKEKE wazee was tintangitintangi wanakwambia usilalie vyeti TOKA MAGETONI ukapambane achana na ile habàri ya kusubili ajira utajikuta una miaka 35 unashituka mda ushaisha

NB; JITESE ndugu angu Fanya kazi yoyote usibague kaz kwa kusema me msomi siwezi Fanya hii watu wamesoma wanapiga vibarua ko kijana toka mageton kapambane
 
Kwani huko mtaani kwako wengine wanafanya kazi gani?

Mwisho hivi Huwa hamuulizi Kwa wenzenu? Hizo kazi zenu za Ualimu Kwa Sasa Ajira ni kusubiliana,first out first inn.Mfano Jamaa yangu akimaliza Chuo 2015 akapata kazi mwaka 2022 ,Sasa wewe tumiaka 4 ndio unaona shida?

Mwisho kabla ya June mwaka huu Ajira za Walimu zitatoka andaa cheti.
No. Ajiandae kufanya usahili wa written

But Kama Ana kamtaji kidg hat laki 300000 afungue kijiwe Cha kuuza blvipombe vya kupima
 
WTF you talking about?
Tatizo sio kutoa mchango wa maana au kuomba msaada wa kazi. Tatizo ni mtu asiyetaka kujisumbua kama yule member mwengine kule huku akililia msaada.

Hii ndio sababu hamuwezi kufanya chochote mkafanikiwa sababu mnategemea watu wanafikiria nini. Heshima? No, mimi sijali kuhusu heshima wala kuwa civilized. Especially on fake ids. Hiyo sio kazi yangu mimi. Shukuru ukiona nimepoteza muda wangu kukwambia ukweli.

Ukisoms history utagundua sababu kubwa ya mafanikio ya The West au Wazungu ni kuwa makatili, wadhurumishi na uncivilized sons of bitches. Mpaka kufikia hatua ya kukamata babu na bibi zako wa Kiafrika, wakawatia kwenye meli mpaka kwao, wakawafunga minyororo na kuwafanyika kazi mashambani, machimboni kama wanyama bila malipo na mateso ya kila aina. Leo hii angalia Marekani na Europe zilipo? Unafikiri yale ni matunda ya kuwa civilized? Hapana, yale ni matunda ya ukatili, roho mbaya, damu na majasho ya watu wengine. So usiniambie kuhusu kuwa civilized, na sio kuwa civilized tu. Bali kuwa civilized ili kuheshimiwa. Sijali kuhusu heshima na nitaheshimiwa only kama nastahili. It just doesn't matter.

Uhalisia wa maisha ni usitegemee heshima kutoka kwa yoyote kama huna kitu wala kustahili. Kama wewe ni peasant then utakuwa treated as a peasant. Maisha ni katili yasio na huruma. Life is a bitch. And I fuking mean it.
Mwamba anahitaji msaada wa connection ya michongo
Kama unayo fanya kweli,
Sio kila mtu ana ubongo kama wako wa kuona fursa,
We are different dude,
Kama huna acha fuckn shit na kutoa speech ya kikatili
I understand what you mean,
But this time one man down
Anahitaji msaada wa connection!
 
Back
Top Bottom