Wakuu nina hali mbaya sana, nisaidieni kazi au connection ya kazi. Naona kiza

Tafuta mtu mwenye kituo cha elimu omba kujitolea au nenda kwenye shule za private omba kujitolea wanaweza kuguswa kuanza kukupa chochote kama hawatoguswa anzisha kituo chako cha Tuition jirani na hiyo shule unayojitolea wataona aibu kukufokea kwa sababu unajitafuta.
Tatizo lenu vijana mnasomea kitu alafu hamtaki kukomaa nacho mpaka kiwape majibu.Asante
 
Bro fanya hivi: ili uepukane na manyanyaso jifunze kazi za mikono.....

Kama hutojali pita kweny hii njia nilopita mimi 2020 mpaka nikaweza kuendesha maisha bila kimtegemea mtu🤝

Tafuta sehemu kwenye mafundi simu wengi omba wakufundishe ufundi.... Jifunze basics tuu (kuweka system charge, maiki, spika, kubadili vioo na tach * n simple tu)

Halafu baada ya hapo kafungue office karibu na mafundi simu wengi.... Hapo utachofany utaanza kutengeneza matatz madogomadog ikitokea kaz huiwez unapeleka kwa wazoefu unapata ya udalali🤝🤝

Nini utahitaji kuwa nacho ili uanze kazi::
1. Gun (tsh 6000-10000)
2. Soldering wire (1000
3.wax (1500
4.benzine(1000
4. Bango la kuanzia (15000
5. Opening tools (3000 au set nzima 10000)
Note: vingine utapata mbele kwa mbele..... Mimi kipindi naanza nilikuwa sina office niliomba kweny duka la mtu kwa nje hlf ikifika usiku nalaza vitu dukani then maisha yanaendelea!!!

Wakati huo 7000 /8000 hazikupigi chenga kwanzia day one .......... Kikawaida mafundi cm kulaza 30k mpk 50k n kawaida ukiwa sehem nzuri

Pia kwakuwa wewe n msomi jitahid kuchukua online lesson ujifunze kuflash cm na kutoa password (hapa ndo kunapesa zaid bro..... Mafundi wengi n vilaza form 4 failure kusoma type za processor hawawez kwahyo watakuwa wakipata cm yenye password wanakuletea mnagawan pesa

Jaribu hiyo n nzuri sana.... Kipindi unachek michongo mingine
Akitafuta ushauri zaidi ya huu basi ajitafakari sana, inaweza ikawa sio ufundi simu tu ila umempa njia rahisi ya kujitafuta. Safi sana
 
Hii point Kali naifikiria kwa jicho la tatu🤕🤕
 
Mkuu uko wapi nije kujifunza, ili nami nipate huo ujuzi.
Bro fanya hivi: ili uepukane na manyanyaso jifunze kazi za mikono.....

Kama hutojali pita kweny hii njia nilopita mimi 2020 mpaka nikaweza kuendesha maisha bila kimtegemea mtu[emoji1666]

Tafuta sehemu kwenye mafundi simu wengi omba wakufundishe ufundi.... Jifunze basics tuu (kuweka system charge, maiki, spika, kubadili vioo na tach * n simple tu)

Halafu baada ya hapo kafungue office karibu na mafundi simu wengi.... Hapo utachofany utaanza kutengeneza matatz madogomadog ikitokea kaz huiwez unapeleka kwa wazoefu unapata ya udalali[emoji1666][emoji1666]

Nini utahitaji kuwa nacho ili uanze kazi::
1. Gun (tsh 6000-10000)
2. Soldering wire (1000
3.wax (1500
4.benzine(1000
4. Bango la kuanzia (15000
5. Opening tools (3000 au set nzima 10000)
Note: vingine utapata mbele kwa mbele..... Mimi kipindi naanza nilikuwa sina office niliomba kweny duka la mtu kwa nje hlf ikifika usiku nalaza vitu dukani then maisha yanaendelea!!!

Wakati huo 7000 /8000 hazikupigi chenga kwanzia day one .......... Kikawaida mafundi cm kulaza 30k mpk 50k n kawaida ukiwa sehem nzuri

Pia kwakuwa wewe n msomi jitahid kuchukua online lesson ujifunze kuflash cm na kutoa password (hapa ndo kunapesa zaid bro..... Mafundi wengi n vilaza form 4 failure kusoma type za processor hawawez kwahyo watakuwa wakipata cm yenye password wanakuletea mnagawan pesa

Jaribu hiyo n nzuri sana.... Kipindi unachek michongo mingine
 
Mimi sahv nilipata channel nyingine nimesogea mbele kidogo.... Ufundi nimeacha ila huwa naipa respect sana hyo kazi💪

Ila hta kesho ikitokea nimeanguka, hyo ndo backup yangu kaka!!!
Ile n kaz inayohitaji akili na sio nguvu..... N kaz ambayo unaingiza pesa bila jasho kama vile unadegree😁😁😁

Kuna muda unatengeneza simu ya mteja huku umeweka nne kabisa, pemben Kuna soda!!!!

Halafu ukiwa fundi muaminifu wateja wanakunyenyekea sana..... Kuna muda mtu anakuletea simu imezima anakwambia Kuna info za muhim hataki kizipoteza.... Hapo anakuahidi donge nono ikiwa simu itawaka😋😋😋

Wewe unachofanya unamwambia usijari acha simu ntaenda kuitengenezea nyumban nikiwa nimetulia zaidi.....
Kama upo dar, asubuh mapema unazama kariakoo kwa miamba wanatengeneza halafu baadae unarudi offisini kifua mbele na kulalamika simu imekusumbua Sana kipindi unatengeneza😂😂😂....... Jitahidi ujisifie wewe ndo umetengeneza (hapo ndo unakuza jina,,,, bora ufanye kazi bure ila mteja atoke anakuona wewe n hatari na fundi kama wewe n ngum kumpata🤝)

Utapewa pesa na Asante nyingi sana pia kusambaziwa sifa nzuri...
 
Back
Top Bottom