Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wenzake wanafanya kazi gani huko? Hakuna bodaboda? Hakuna wauza uji? Hakuna wauza mabanda? Hakuna vibarua wa Ujenzi nk?Ujinga mavi ya kuku Haya wewe unaeona hizo fursa kijana huyo hapo mwoneshe hizo unazoita fursa maana anaomba msaada hapa
Nje ya hapo acha ngojera kama dada Aisha!
Analia Lia hivyo ataweza kazi Kwa wahindi? Mnaleta mzaha nyie si ndio?Jaribu jambo, gaki, urafiki kiwanda cha mafuta kizumbi. Ongea na walinzi pale, walilie watakusaidia kazi hata vibarua viwandani.
MmmhKwani huko mtaani kwako wengine wanafanya kazi gani?
Mwisho hivi Huwa hamuulizi Kwa wenzenu? Hizo kazi zenu za Ualimu Kwa Sasa Ajira ni kusubiliana,first out first inn.Mfano Jamaa yangu akimaliza Chuo 2015 akapata kazi mwaka 2022 ,Sasa wewe tumiaka 4 ndio unaona shida?
Mwisho kabla ya June mwaka huu Ajira za Walimu zitatoka andaa cheti.
Mpe connection huyo kijana acha mboyoyo hapaWenzake wanafanya kazi gani huko? Hakuna bodaboda? Hakuna wauza uji? Hakuna wauza mabanda? Hakuna vibarua wa Ujenzi nk?
Mpe kazi ya kusahihisha hapo madaftari ticha.Pole sana kwa unayopitia.....
Yupo mbali, angekua mjini angekuja kula 300 za remidial (wazazi watasonya)Mpe kazi ya kusahihisha hapo madaftari ticha.
Hii ndio mindset ya vijana wote waliomaliza chuo na ndio mindset inayowaliza sasa hivi. AJIRA. Nani amekwambia maisha ni kusoma na kuajiriwa tu? Kama hukuwa na plan za maisha tangu shule au chuo nje ya AJIRA.Mzee una majibu ya dharau sana usijibu hivyo kwa vile wewe umeajiliwa sio wote tuna ajira
Wewe jamaa sio kila mtu anaweza kujiajiri kama wewe kila mtu na mindset yake kwahiyo usiforce hivyoHii ndio mindset ya vijana wote waliomaliza chuo na ndio mindset inayowaliza sasa hivi. AJIRA. Nani amekwambia maisha ni kusoma na kuajiriwa tu? Kama hukuwa na plan za maisha tangu shule au chuo nje ya AJIRA.
Basi tegemea kulia tu na kufika 50 ukiwa kwa wazazi bila kitanda hata bakuli.
Porojo porojo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kitendo cha mtu kuhitaji kuonyeshwa fursa ni kigezo tosha cha kutosaidiwa chochote sababu tayari hana akili ya kujiongeza wala kujituma. Kumsaidia ni kazi bure na kujipotezea muda.Ujinga mavi ya kuku Haya wewe unaeona hizo fursa kijana huyo hapo mwoneshe hizo unazoita fursa maana anaomba msaada hapa
Nje ya hapo acha ngojera kama dada Aisha!
Nilikuwa najua unaakili sana na busara kumbe mavi tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ajira zinatolewa Kwa utaratibu kama nilioueleza hapo Juu.
Kwani Chadema wanasemaje huko? [emoji23][emoji23]
Wewe jamaa unaishi kwenye fantasy land full of fairytales. Eti "Ungemwita uumpe mtaji" yaani wewe kidume kizima unataka uitwe na kidume mwenzio upewe mtaji? Hivi wewe jamaa mzima kweli?Mpe connection huyo kijana acha mboyoyo hapa
Msaada unahitajika haraka
Acha porojo za Kifisiemu hapa vipi kama hizo fursa ungemwita uumpe mtaji na Rasilimali watu aanze biashara haraka kuliko hayo mashairi ya Cheka Cheka unayo ghani hapa!
Unaona? Kijana ni umelegea na laini mpaka hutaki nikwambie ukweli na kukuforce kuwa na strong mindset.Wewe jamaa sio kila mtu anaweza kujiajiri kama wewe kila mtu na mindset yake kwahiyo usiforce hivyo
Acha utoto, maisha hayako hivyo. Usidharau wengine kisa umeshiba.Kwani huko mtaani kwako wengine wanafanya kazi gani?
Mwisho hivi Huwa hamuulizi Kwa wenzenu? Hizo kazi zenu za Ualimu Kwa Sasa Ajira ni kusubiliana,first out first inn.Mfano Jamaa yangu akimaliza Chuo 2015 akapata kazi mwaka 2022 ,Sasa wewe tumiaka 4 ndio unaona shida?
Mwisho kabla ya June mwaka huu Ajira za Walimu zitatoka andaa cheti.