Wakuu nina hali mbaya sana, nisaidieni kazi au connection ya kazi. Naona kiza

Ngoja nimuulize ndugu yangu hapo Kahama mjini kama nafasi za kazi za msimu za ukarani bado wanachukua watu.Angalizo mshahara ni laki na nusu mpaka laki mbili huko kwenye matumbaku yao.
 
Ujinga mavi ya kuku Haya wewe unaeona hizo fursa kijana huyo hapo mwoneshe hizo unazoita fursa maana anaomba msaada hapa
Nje ya hapo acha ngojera kama dada Aisha!
Wenzake wanafanya kazi gani huko? Hakuna bodaboda? Hakuna wauza uji? Hakuna wauza mabanda? Hakuna vibarua wa Ujenzi nk?
 
Kwani huko mtaani kwako wengine wanafanya kazi gani?

Mwisho hivi Huwa hamuulizi Kwa wenzenu? Hizo kazi zenu za Ualimu Kwa Sasa Ajira ni kusubiliana,first out first inn.Mfano Jamaa yangu akimaliza Chuo 2015 akapata kazi mwaka 2022 ,Sasa wewe tumiaka 4 ndio unaona shida?

Mwisho kabla ya June mwaka huu Ajira za Walimu zitatoka andaa cheti.
Mmmh
 
Mpe connection huyo kijana acha mboyoyo hapa
Msaada unahitajika haraka
Acha porojo za Kifisiemu hapa vipi kama hizo fursa ungemwita uumpe mtaji na Rasilimali watu aanze biashara haraka kuliko hayo mashairi ya Cheka Cheka unayo ghani hapa!
 
Mzee una majibu ya dharau sana usijibu hivyo kwa vile wewe umeajiliwa sio wote tuna ajira
Hii ndio mindset ya vijana wote waliomaliza chuo na ndio mindset inayowaliza sasa hivi. AJIRA. Nani amekwambia maisha ni kusoma na kuajiriwa tu? Kama hukuwa na plan za maisha tangu shule au chuo nje ya AJIRA.

Basi tegemea kulia tu na kufika 50 ukiwa kwa wazazi bila kitanda hata bakuli.
 
Wewe jamaa sio kila mtu anaweza kujiajiri kama wewe kila mtu na mindset yake kwahiyo usiforce hivyo
 
Ujinga mavi ya kuku Haya wewe unaeona hizo fursa kijana huyo hapo mwoneshe hizo unazoita fursa maana anaomba msaada hapa
Nje ya hapo acha ngojera kama dada Aisha!
Kitendo cha mtu kuhitaji kuonyeshwa fursa ni kigezo tosha cha kutosaidiwa chochote sababu tayari hana akili ya kujiongeza wala kujituma. Kumsaidia ni kazi bure na kujipotezea muda.

Hapa duniani kama wewe ni mwanaume basi unapaswa tambua hakuna mtu atakusaidia kizembe tu burebure. Sababu huna cha kumlipa. Nitasaidia mtoto wa kike sababu nimeona ana umbo matata, kiuno chembamba na soft butt. Nothing is for free.

Kila mwanaume atakula kwa jasho lake, sasa acha kulialia msaada kwa vidume wenzako kama binti wa kike. Tafuta fursa mwenyewe, kama huwezi, kaa kimya.
 
Mpe connection huyo kijana acha mboyoyo hapa
Msaada unahitajika haraka
Acha porojo za Kifisiemu hapa vipi kama hizo fursa ungemwita uumpe mtaji na Rasilimali watu aanze biashara haraka kuliko hayo mashairi ya Cheka Cheka unayo ghani hapa!
Wewe jamaa unaishi kwenye fantasy land full of fairytales. Eti "Ungemwita uumpe mtaji" yaani wewe kidume kizima unataka uitwe na kidume mwenzio upewe mtaji? Hivi wewe jamaa mzima kweli?

HAHAHHAHA!!!
 
Wewe jamaa sio kila mtu anaweza kujiajiri kama wewe kila mtu na mindset yake kwahiyo usiforce hivyo
Unaona? Kijana ni umelegea na laini mpaka hutaki nikwambie ukweli na kukuforce kuwa na strong mindset.
Au wewe ni mtoto wa kike?

Hili ndio jambo nililomwambia member mmoja hapo chini. Kusaidia watu wa aina hii ni kazi bure. Mtu mwenye akili yake hawezi jisumbua kusaidia mtoto wa kiume mayaimayai kama wewe.

Either ujipambanie mwenyewe au ufe masikini na kizembe mkia miguuni kama mbwa aliyepigwa na mvua.
 
Kwani huko mtaani kwako wengine wanafanya kazi gani?

Mwisho hivi Huwa hamuulizi Kwa wenzenu? Hizo kazi zenu za Ualimu Kwa Sasa Ajira ni kusubiliana,first out first inn.Mfano Jamaa yangu akimaliza Chuo 2015 akapata kazi mwaka 2022 ,Sasa wewe tumiaka 4 ndio unaona shida?

Mwisho kabla ya June mwaka huu Ajira za Walimu zitatoka andaa cheti.
Acha utoto, maisha hayako hivyo. Usidharau wengine kisa umeshiba.
 
Back
Top Bottom