Akitafuta ushauri zaidi ya huu basi ajitafakari sana, inaweza ikawa sio ufundi simu tu ila umempa njia rahisi ya kujitafuta. Safi sanaBro fanya hivi: ili uepukane na manyanyaso jifunze kazi za mikono.....
Kama hutojali pita kweny hii njia nilopita mimi 2020 mpaka nikaweza kuendesha maisha bila kimtegemea mtu🤝
Tafuta sehemu kwenye mafundi simu wengi omba wakufundishe ufundi.... Jifunze basics tuu (kuweka system charge, maiki, spika, kubadili vioo na tach * n simple tu)
Halafu baada ya hapo kafungue office karibu na mafundi simu wengi.... Hapo utachofany utaanza kutengeneza matatz madogomadog ikitokea kaz huiwez unapeleka kwa wazoefu unapata ya udalali🤝🤝
Nini utahitaji kuwa nacho ili uanze kazi::
1. Gun (tsh 6000-10000)
2. Soldering wire (1000
3.wax (1500
4.benzine(1000
4. Bango la kuanzia (15000
5. Opening tools (3000 au set nzima 10000)
Note: vingine utapata mbele kwa mbele..... Mimi kipindi naanza nilikuwa sina office niliomba kweny duka la mtu kwa nje hlf ikifika usiku nalaza vitu dukani then maisha yanaendelea!!!
Wakati huo 7000 /8000 hazikupigi chenga kwanzia day one .......... Kikawaida mafundi cm kulaza 30k mpk 50k n kawaida ukiwa sehem nzuri
Pia kwakuwa wewe n msomi jitahid kuchukua online lesson ujifunze kuflash cm na kutoa password (hapa ndo kunapesa zaid bro..... Mafundi wengi n vilaza form 4 failure kusoma type za processor hawawez kwahyo watakuwa wakipata cm yenye password wanakuletea mnagawan pesa
Jaribu hiyo n nzuri sana.... Kipindi unachek michongo mingine
Hii point Kali naifikiria kwa jicho la tatu🤕🤕Bro fanya hivi: ili uepukane na manyanyaso jifunze kazi za mikono.....

Bro fanya hivi: ili uepukane na manyanyaso jifunze kazi za mikono.....
Kama hutojali pita kweny hii njia nilopita mimi 2020 mpaka nikaweza kuendesha maisha bila kimtegemea mtu[emoji1666]
Tafuta sehemu kwenye mafundi simu wengi omba wakufundishe ufundi.... Jifunze basics tuu (kuweka system charge, maiki, spika, kubadili vioo na tach * n simple tu)
Halafu baada ya hapo kafungue office karibu na mafundi simu wengi.... Hapo utachofany utaanza kutengeneza matatz madogomadog ikitokea kaz huiwez unapeleka kwa wazoefu unapata ya udalali[emoji1666][emoji1666]
Nini utahitaji kuwa nacho ili uanze kazi::
1. Gun (tsh 6000-10000)
2. Soldering wire (1000
3.wax (1500
4.benzine(1000
4. Bango la kuanzia (15000
5. Opening tools (3000 au set nzima 10000)
Note: vingine utapata mbele kwa mbele..... Mimi kipindi naanza nilikuwa sina office niliomba kweny duka la mtu kwa nje hlf ikifika usiku nalaza vitu dukani then maisha yanaendelea!!!
Wakati huo 7000 /8000 hazikupigi chenga kwanzia day one .......... Kikawaida mafundi cm kulaza 30k mpk 50k n kawaida ukiwa sehem nzuri
Pia kwakuwa wewe n msomi jitahid kuchukua online lesson ujifunze kuflash cm na kutoa password (hapa ndo kunapesa zaid bro..... Mafundi wengi n vilaza form 4 failure kusoma type za processor hawawez kwahyo watakuwa wakipata cm yenye password wanakuletea mnagawan pesa
Jaribu hiyo n nzuri sana.... Kipindi unachek michongo mingine
True... Chukua hatua bro!!! Ukiwa muaminifu hutojutiaHii point Kali naifikiria kwa jicho la tatu🤕🤕
Nshaanza mchakato tiyari kakaTrue... Chukua hatua bro!!! Ukiwa muaminifu hutojutia