Seth saint
JF-Expert Member
- Oct 27, 2020
- 2,262
- 5,885
Uzuri ya Rwanda nliona na jirani kabisa na home. Vita sikia kwa jirani sio kwako.Mabibi zetu walikuwa wanakimbia na vifurushi na vitu vingine vikatelekezwa, watu wanasahau hadi kwao.Mpaka leo hii kuna watu hawajarudi na wengine hawajui kwao ni wapi maana wamezaliwa hapa bongo.Vita hapana bila kujali mtu ni pro Iran au pro IsrealAcha tu nikikumbuka yale ya Rwanda na kuhudumia wakimbizi ni kipindi kugumu sana kile sita kisahau na vita siyo ya kuombea kabisaaa.
Hii ikiendelea dunia nzima italipa gharama kupitia bei za mafuta. Viongozi wa Afrika watapata visingizio
Gesi yetu siyo kwaajili ya matumizi ya nyumbani tunaagiza toka njeMsitutishe, mafuta na gesi vimejaa tele duniani. Hata hapa bongo gesi imejaa tele, Uganda kuna mafuta.
Mkuu ELIMU yako ni darasa la ngapi? Sio kwa nia mbaya tafadhali!Kati ya siku bayo umeongea point ni Leo.
Yaani kilio changu Kila kukicha ni kuona nuclear weapons zikitumika ningali hai.
La nne.Mkuu ELIMU yako ni darasa la ngapi? Sio kwa nia mbaya tafadhali!
Kama waisrael walivyoikimbia nchi yaoWanasakwa nchini kwao wenyewe 🤔
Al jazeera wako biased.Kuondelewa utawala wa Iran na kuwekwa mpya ni sawa lakini what if hii ni spirit ya wa Iran kwa ujumla?(what if).
Nilikuwa nasoma post za aljazeera zinazohusu hii vita ni kama ishakuwa na udini ndani yake na watu wa Iran nikama wanaona kinachofanyika ni ushujaa lakini wakianza kushushiwa mizigo juu ya majumba yao wote tutaona vilio kila pande ya hii dunia
Vita sio nzuri man
Ukiona kwenye video tu inatosha mkuu.Kati ya siku bayo umeongea point ni Leo.
Yaani kilio changu Kila kukicha ni kuona nuclear weapons zikitumika ningali hai.
Nataka nchi Moja ichakazwe ndipo roho yangu itatulia.
Katika maisha yangu sita sahau ya Rwanda kwakweli ile ilikuwa mbaya sana, tuwaombee Mungu hawa wa kubwa wa ulimwengu wapate mioyo milaini vita vikome, hapo mahala watu wana kufa kama hawana thamani kwakweli.Uzuri ya Rwanda nliona na jirani kabisa na home. Vita sikia kwa jirani sio kwako.Mabibi zetu walikuwa wanakimbia na vifurushi na vitu vingine vikatelekezwa, watu wanasahau hadi kwao.Mpaka leo hii kuna watu hawajarudi na wengine hawajui kwao ni wapi maana wamezaliwa hapa bongo.Vita hapana bila kujali mtu ni pro Iran au pro Isreal
Lengo la kulipua lango la gereza ni ili kuhamasisha uasi wa umma kupitia wafungwa au lengo ni nini haswa kwa sababu inaonekana bomu halijapiga pale kwa bahati mbaya!
🤣🤣🤣SureHata mbwa muoga ubweka🤣🤣
Inasikitisha sana mkuu 😂Magufuli alisingiziwa mambo mengi sana.
Al jazeera ni matapeli katika TVAl jazeera wako biased.
Msimamo wa kuwafuta wayahudi ni msimamo wa utawala wa Ayatola. Wairan wameshaandamana sana kupinga utawala wa kidini.
Na mara nyingi, popote pale, mtu anapenda uhuru wa kuabudu.
Kumlazimisha mtu kuabudu ni kumnyima uhuru wa kuabudu.
Wairan wengi hawapendi utawala wa kidini, unaowalazimisha kuamini kuwa wayahudi ni maadui zao.
Hahahah
Vijana wa itikadi kali wana vituko mkuu
Siku hizi sisikii Israel wakidai mateka kutoka kwa HAMAS tena.Mkuu hawa jamaa wanatafuta sababu ya kuifuta irani kabisa katika mpangilio wa kidunia na kuwaacha wawe wanapigana wenyewe kwa wenyewe
Ila mkuu, yule binti cutelove kutoka Arusha ulimfanya nini? Mbona aliondoka amefurahi sana.Inasikitisha sana mkuu 😂
Hata katika vitabu vya historia mkuuYani subiri tu.
Reputation ya Israel naijua since nipo darasa la pili mzee kanunua radio. Tunamsikiza yeye tu akipigwa then akarudishia mara Mia na zaidi .
Kuna wakat ilisemwa na wana nzengu kuwa mwananchi mmoja wa Israel akifa
basi israel hutafuta kulipizankwa kuua wananchi 1000 wa taifa lingine husika.