Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,865
- 58,677
Hapo mkuu unataka kupatana na mimi sasa yaan kwenye kugawana miji hapo ndo penyeweee dadek...Hahaha hapa kwetu Amani wanayo ccm wao ndio wanaamua watupe kiasi gani.
Ila naamini one day yes. Nasi tunaweza kuifungua Keko, Ukonga na mangine tukagawana mitaa kama kule mitaa ya De Prince, HAITI.
Hahaha kina masela wakitoka Ukonga na Keko tuna jitawala.Hapo mkuu unataka kupatana na mimi sasa yaan kwenye kugawana miji hapo ndo penyeweee dadek...
Humuuu tuuu
Kwa hali ilipofikia sidhani kama upatanisho wa kusitisha vita unaweza kua na maana yoyote, sidhani. Kwa hali ilivyo ili Israel iwe salama, is a MUST Iran regime should be changed or else, jamaa hawa lazima watakuja lipiza kisasi. Siombei vita kuendelea na wala sipendi kua na upande BUT najaribu kuweka uhalisia. Kama Ayatollah aliishaga tamka sio mara moja or mara mbili kwamba Israel should he wiped up na walikua hawajawahi kupigana na remember it was Israel aliyeisaidia sana Iran kwenye vita vyake na Iraq miaka ya 80, baada ya vita Ayatollah anataka kuiondoa Israel kwenye ramani? Salama ya Israel na kuweka utawala mpya wa Iran, sioni zaidi ya hapoNi swala la kuomba vita ikome kwakweli madahara yake ni makubwa sana kuliko tunavyo andika humu mitandaoni, vilema,wakimbizi,vifo hasa kwa wasio na nguvu ya kushika mtutu, inasikitisha sana.
Oaaa ni full kukichafua mpka kieleweke ....alafu mkuu hv kila jela kina kuwa kuna upande wa wanawake na wanaume au wanawake wana magereza yaoHahaha kina masela wakitoka Ukonga na Keko tuna jitawala.
Mfe halafu muone?Ujinga ujinga tuu..
Hao iran nao kama wameshindwa waseme au kama vipi watafute watu kama kina osama kama nane hvi wafanye kazi...
Wakishindwa watume nyuklia bomu ambalo litalipua dunia nzima.. tufe alafu tuone mambo yatakuaje hapo badae kama tutazaliwa upyaa au laa
Au waachie wafungwa wote wawasafilishe kwa ndege waende israel wakajilipue huko huko..
Au irani itengeneze bomu la biological wepon ambalo lina kirusi cha kuua mapafu alafu watume lile bomu huko israel lilipuke watu wapate huo ugonjwa wafe..
Nao israel ipate hasira ipige nyuklia bomu wairan wote wafe alafu huko irani watu wote wakifa tanzania tupelekwe kule kama nchi ya amani ikaanzishe maisha..
Hapo kila member wa jf ambaye alitoa mawzo na kusapoti wanakua wakuu wa mikoa
Tunakufa alafu tuone tutaanza kuzaliwa upya au laahMfe halafu muone?
Ngoja nitamuuliza Msela wangu jumapili nikienda kumcheck.Oaaa ni full kukichafua mpka kieleweke ....alafu mkuu hv kila jela kina kuwa kuna upande wa wanawake na wanaume au wanawake wana magereza yao
Ndio mana sijawahi ona wafungwa wa kike hata kwa uniform mkuu...Ngoja nitamuuliza Msela wangu jumapili nikienda kumcheck.
Make kama wamechanganywa, lazima kutakuwa na clinic za kina mama na watoto bila kusahahu mawodi ya kina mama wajawazito.
Naamini hayatakuwa mabaya kama ya huku kwetu, ulizingatia wale ni raia wa jamuhuri ya Tamganyika lazima wapewe kipaumbele.
Wanawake hawafungwi, kama hujawahi kuwaona basi hawapo.Ndio mana sijawahi ona wafungwa wa kike hata kwa uniform mkuu...
Kwanza mimba anapataje kule au akifungea alifungwa akiwa na mimba mybe
Sijawahi waona kama hawa wa kiume wanapitaga hapaWanawake hawafungwi, kama hujawahi kuwaona basi hawapo.
Ndio nikasema kama hujawahi kuwaona jua hawapo kabisa.Sijawahi waona kama hawa wa kiume wanapitaga hapa
Sijakukumu hata siku moja si unakumbuka tulivyokuwa tuanawakanya watoto wa kiume wenye tabia ya kupenda kuonewe huruma.Mkuu ukute ww ni miongoni mwa watu waliokua wakinihukuku kutokana na jina langu ila sasa umegundua how bright am i eeeeeh
Oooooh nakumbuka nakumbuka...Sijakukumu hata siku moja si unakumbuka tulivyokuwa tuanawakanya watoto wa kiume wenye tabia ya kupenda kuonewe huruma.
Eti mtoto wa kiume anajifanya anaumwa ili apime watu wanampenda kiasi gani.Oooooh nakumbuka nakumbuka...
Daah hi mada ya watoto wa kiume kupenda kuonewa huruma huwa inafanya niwe na hasira kali sana natamani kurukia mtu nimchape ngumi za mgongo au mbavu changa
Maninaaaa kabisa nae anajiita shababi...Eti mtoto wa kiume anajifanya anaumwa ili apime watu wanampenda kiasi gani.
Huwa nakumbwa na kichefuchefu nikiona tabia hii.
Eti "mama ***, ***...."Maninaaaa kabisa nae anajiita shababi...
Yaani mi kama hawa huwa nawachora..
Kuna hiyu mmoja et anajisifia kabisa
"" Mimi mama anajua nikila papai natapika kwanini juisi mlichanganya na papai"""
Nikamchana live live nikamwambia kuna siku tatia papai jinga wewe...
Mtoto wa kiume unasema kabisa et "" mama anajua""" faken..
Kaka napata na hasira ujue
Nilitaka kumpiga ila nikakumbuka anaweza kuja kusema kwa mama yake...Eti "mama JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala, JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala...."
Nyambafu sana huyo jamaa.
Kwa nini hujamtia ngumi za kutosha mkuu?
Mkuu hii ni wiki ya pili kumbuka hawa ni watu wa mikwala Toka enzi na enzi....Toka mwaka Jana Iran ilipigwa na hakuna kitu Wanafanya zaidi ya mikwala tuKhameni amesema Israel and US will pay heavy price
ππππKulikuwa kuna taarifa kuwa viongozi wengi wa Iran baada ya kusoma vita ya Israel kuwa wanashambulia maeneo yanayolindwa sana na kuua viongozi wakuu wa majeshi nk na sehemu zinazolindwa na maeneo ya kiraia yenye mahandaki yaani bunkers sana wakaona wakimbilie magereza ambako ni eneo walillodhani Israel halina mpango nayo.Sababu wafungwa ni watu ambao hata Israel haoni kama wana tishio kwake
Majeshi yq Israel yakagundua shimo panya wamekimbilia wameshusha mzigo wa makombora gerezani.Tusubirie kusikia vifo kibao vya viongozi wa Iran waliokimbia mahandaki wakakimbilia gerezani wametwangwa huko huko