Wakuu Tehran inaungua muda huu na lango la gereza mashuri la Evin limelipuliwa

Ila humu Jf Kuna maneno mengiii sana.

Kuna maGREAT THINKERS humu waliwahi sema Myahudi hawezi kuichokoza Iran ataishia kupiga pembeni tu.
Ahahhaha

Hao ni itikadi kali mkuu wana mbwe mbwe nying na nyege za mabikra 72🀣🀣
 
Hata katika vitabu vya historia mkuu

Aliemxhokoza israel hakubaki salama baadae.

Farao, nebukadnezq, nimrod, yule fala wa beirut, mafala wa hamas, nazi, etc

NIMROD ni mtu mweusi alikuwa anajiwe Balaa,, na ndiye tajir wa kwanza kuwah kutokea juu ya usi wa dunia kulingana na quotation za biblia (a mightyman)...

Niliwah Soma historia yake. Ila sikujua kuwa aliuwawa na watu wa Israel.
 
Hahaha πŸ˜‚, wanakera mno.
 
Ngoja mpandishiwe bei za daladala muanze kulia tena humu

Na bei ya Mchele ikipanda mtasema sasa inahusiana nini na vita yao?

Ila mdogo mdogo mtaelewa na kwa sasa kenueni meno
Tuko radhi kukenua mimeno Yetu tukiwa Na njaa kuliko kukenua mimeno Yetu tukiwa na shibe. Israel kung'uta Hao mbusii.

adriz
 
Kwahiyo viongozi wa Iran na maobrigado aka mabrigadia kobazi walienda kujificha na manyapara jela?
 
Hio sentesi ya mwisho iwafikie majasusi wote wa jf wanaowakilisha iran/israel huku namtumbo Tz.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…