Wakuu tupeane mbinu za kupata 'mishangazi'

Yap! Sasa hapo ukipata aunt mnyamwezi anakua anakusapoti pale unapokutana na ugumu kwenye mishe zako hata kama sio kifedha,
Mfano kwenye biashara zako unataka upate auditing firm ili upeleke hesabu TRA hyo kazi kikawaida unaweza fanyiwa kwa 500k++ lkn yy akakuconnect sehem ukafanyiwa hata Kwa 150k๐Ÿ˜
 
Kwani nasema uongo ndugu zangu....

Sifa kuu ya lishangazi haliombi ombi huduma za kifedha kwa kijana wa buku 2. Ukishaona unalilia kuhudumiwa ndio utoe mbunye ujue we huna sifa ya jishangazi๐Ÿ˜‚ ni freedom fighter tu.
Shangazi linakuwa na mgongano wa maslahi ya umma, hilo ni lipigania uhuru .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ