Mie mshangazi, kasoro gari tu nitimize vigezoNaaaaaaaam! Binti yangu au wewe mzee mwenzangu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mie mshangazi, kasoro gari tu nitimize vigezoNaaaaaaaam! Binti yangu au wewe mzee mwenzangu?
Kweli hapo mtu na mshangazi wake wote watajikuta wanajitafuta bora akomae na hao wa 80s kurudi nyuma😅😅😅😅😅😅 mishangazi ya 80's ndio OG mingi imejipata. Hii ya 90's mingi ina msongo wa mawazo simshauri dogo.
Na kakijana kamoja uwe nako pembeni,safi kabisa.Mie mshangazi, kasoro gari tu nitimize vigezo
Increment ndio kitu gani dear?? Mishe zangu nafanyia china nafata mzigo hukoSimshauriii, mshangazi mwenyewe Una stress za increment.....unaweza kumnasa vibao mtoto wa watu ashindwe kukurudishia🤣🤣🤣
Yaani JF!Kijana tuma bank acc namba, sina maneno mengi.....
Shangazi🌹💋Haujambo kijana
Ni mshangazi mbona.....😹
Vaa hereni, funga kilemba kichwani, vaa suruali kama inataka kuanguka alafu tembea muondoko kama una ulemavu wa mguu...😜Wakuu,...unaanzaje anzaje kutongoza mishangazi maana mishangazi unapoifata inakuwa seriouz sana..halafu ukienda kichwa kichwa unaweza ukakemewa na mshangazi hadi uone siku yako imeenda vibaya...hapa mi namaanisha mishangazi ya kuanzia miaka 45 na kuendelea
Uoga wako ndio kufeli kwako. Huo u serious wanaokuonesha, huwa ni defensive mechanism tu. Ukikaza unatoboa.Wakuu,...unaanzaje anzaje kutongoza mishangazi maana mishangazi unapoifata inakuwa seriouz sana..halafu ukienda kichwa kichwa unaweza ukakemewa na mshangazi hadi uone siku yako imeenda vibaya...hapa mi namaanisha mishangazi ya kuanzia miaka 45 na kuendelea
Wanakuonea wivu/huruma kisa mshangazi mkuu?Ninayo mawili hadi saivi hawana baya nawapenda sana wananikubali pi🤐 maswala ya kuombana pesahamna, tukijichimbia mahala tunaenjoy sana mpka watu wanatuonea donge, muda mwingi nikiwa nayo ni point tu zinazungumzwa, pia na pay attention anapozungumza, hayana wivu sana enewei
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hutaki mishangazi ya 90s?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] mishangazi ya 80's ndio OG mingi imejipata. Hii ya 90's mingi ina msongo wa mawazo simshauri dogo.
Kijana wa hovyoo..!😂Uoga wako ndio kufeli kwako. Huo u serious wanaokuonesha, huwa ni defensive mechanism tu. Ukikaza unatoboa.
Kuna mmoja alishawahi kuniambia "Hivi unajua wewe mtoto Mimi ni kama Mama yako, ni vile tu huna adabu"
Lakini fast forward wiki kadhaa mbele kauli zake "Sema nikaeje kijana wangu, Mimi nataka uenjoy"
Nakushauri kaza broh, au jitahidi uingie kwenye group la Whatsapp la wanaokula mashangazi.
Vijana wa hovyo ndio kama wewe sasa,Wakuu,...unaanzaje anzaje kutongoza mishangazi maana mishangazi unapoifata inakuwa seriouz sana..halafu ukienda kichwa kichwa unaweza ukakemewa na mshangazi hadi uone siku yako imeenda vibaya...hapa mi namaanisha mishangazi ya kuanzia miaka 45 na kuendelea
Dogo,Wakuu,...unaanzaje anzaje kutongoza mishangazi maana mishangazi unapoifata inakuwa seriouz sana..halafu ukienda kichwa kichwa unaweza ukakemewa na mshangazi hadi uone siku yako imeenda vibaya...hapa mi namaanisha mishangazi ya kuanzia miaka 45 na kuendelea