Wakuu tupeane mbinu za kupata 'mishangazi'

Wakuu tupeane mbinu za kupata 'mishangazi'

Ninayo mawili hadi saivi hawana baya nawapenda sana wananikubali pi🤐 maswala ya kuombana pesahamna, tukijichimbia mahala tunaenjoy sana mpka watu wanatuonea donge, muda mwingi nikiwa nayo ni point tu zinazungumzwa, pia na pay attention anapozungumza, hayana wivu sana enewei
Kama hana wivu huyo sio shangazi bado. Mashangazi yana wivu kufa.
 
Uoga wako ndio kufeli kwako. Huo u serious wanaokuonesha, huwa ni defensive mechanism tu. Ukikaza unatoboa.

Kuna mmoja alishawahi kuniambia "Hivi unajua wewe mtoto Mimi ni kama Mama yako, ni vile tu huna adabu"

Lakini fast forward wiki kadhaa mbele kauli zake "Sema nikaeje kijana wangu, Mimi nataka uenjoy"

Nakushauri kaza broh, au jitahidi uingie kwenye group la Whatsapp la wanaokula mashangazi.
Le baby moma 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom