Wakuu wa shule za sekondari nchi nzima Tanzania wamchangia Rais pesa za form ya kugombea Urais mwaka 2025

Wakuu wa shule za sekondari nchi nzima Tanzania wamchangia Rais pesa za form ya kugombea Urais mwaka 2025

Huyu angemaliza tu kwa amani kwa huu utawala wa uliomdondokea kama embe, aende kulea wajukuu kwa amani tu
Huyu mama hajitambui kwamba ana uwezo pungufu wa kuongoza, watu wa karibu mshaurini apumzike, performance yake not satisfactory.
 
Walimu jamani Mungu tu awasaidie,utadhani aliyewaloga kafa kitambo,siku mkiamua kukinukisha nchi inasimama hii ila ndio mnaoongoza kulamba miguu wapiga mdomo.
 
Ndio maana walimu huwa Wanaonekana vile wanavyoonekana imagine hawa ndio viongozi wao.
 
"Walimu ni kama Ma-power Bank, Yanachaji wanafunzi alafu badae yenyewe yanaishiwa chaji"

Tunapokwenda ni mbali sanaa.
 
Hivi mnadhani wanafanya kwa hiari yao?emu waacheni hawa watu hivi wakigoma mwajiri akawaundia zengwe mtalisha familia zao?

Sent from my HUAWEI MLA-AL10 using JamiiForums mobile app
 
Walimu tafakarini kungali asubuhi kwa kujua nanyi ni wazazi mna watoto na wajukuu ambao hata ualimu hawatapata tenahiyo kazi ikifika 2030.
 

Attachments

  • 66C1991D-FABB-4385-8BA7-9477B29126D0.jpeg
    66C1991D-FABB-4385-8BA7-9477B29126D0.jpeg
    44.1 KB · Views: 3
Hayo majitu na masuruali yao ya kupauka na maviatu yaliyopinda visigino yanaboa sana
 
Ila walimu daah sijui akili zao wamezikalia? Njaa mbaya sana.
Hawajazikalia wao kuna wawili au watatu tu ndiyo wamezikalia ndipo ujue baadhi ya watu walivyo na makalio makubwa
 
Back
Top Bottom