Mpwayungu Village bora unavyowatukanaga hawa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao unaowaona hivyo ndio wanajipata sasa , maana ni machawa/Makada na wananufaika na uchawa wao.Ila walimu daah sijui akili zao wamezikalia? Njaa mbaya sana.
😅😄😃😁🤣😀Mpwayungu Village bora unavyowatukanaga hawa.
Huyu mama hajitambui kwamba ana uwezo pungufu wa kuongoza, watu wa karibu mshaurini apumzike, performance yake not satisfactory.Huyu angemaliza tu kwa amani kwa huu utawala wa uliomdondokea kama embe, aende kulea wajukuu kwa amani tu
Hapo umeeleweka mkuuHao unaowaona hivyo ndio wanajipata sasa , maana ni machawa/Makada na wananufaika na uchawa wao.
Hata hiyo michango sio ya walimu wakuu wote
Walimu wa tz ni wapumbavu kuliko upumbavu wenyewe
Ziko kwa baktaaaIla walimu daah sijui akili zao wamezikalia? Njaa mbaya sana.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ila walimu daah sijui akili zao wamezikalia? Njaa mbaya sana.
Usishangae humohumo wapo wapinzani kindakindaki
Hawajazikalia wao kuna wawili au watatu tu ndiyo wamezikalia ndipo ujue baadhi ya watu walivyo na makalio makubwaIla walimu daah sijui akili zao wamezikalia? Njaa mbaya sana.