Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Machadema yanaumia 😆😆Big up kwa wakuu wa shule wenzangu. Tunajitambua na tunajua tunacho kifanya.
Ni upumbavu tu wanafanya, kampeni zimeanza halafu wao ni UVCCM au UWT? Samia amewaambia amekosa hela ya form? huwezi ukawa na walimu wajinga kama hawa ukategemea taifa kuzalisha wasomi zaidi ya hawa chawaSafari bado ni ndefu mno.
Kwa ujumla sijawaunga mkono kabisa kwa hili walilifanya, kwa mfano asipogombea kwa sababu yoyote huo hela itaenda wapi?
Hakika mkuu🤣🤣🤣🤣🪑Wewe ulitaka watetee nini? Mkono mtupu haulambwi.
Pain killer zipoMachadema yanaumia [emoji38][emoji38]
We naye toka umekuwa mjamzito umekuwa mjinga haswaUlitaka litumike na Machadema au? 😁😁
Machadema yanapigwa 📌📌🔨We naye toka umekuwa mjamzito umekuwa mjinga haswa
Kwani Machadema ndio watawapa maisha ya asali na maziwa? [emoji2957][emoji2957]
Maisha duni kulinganisha na kada ipi? Unaropoka tuu hujui kitu wewe yaani unajifariji Kwa stori za mitaaniSinaga chama mimi ila Walimu ndo taasisi yenye maisha Duni sana kwa sera mbovu za CCM.[emoji706]
Uzuri wa CCM inapenda akina mama wajinga kama weweMachadema yanapigwa 📌📌🔨
Na nyie machadema endeleeni kupenda wavuta bangi mwisho wa siku tuje kuhesabiana kura hapo mjinga atajulikana 😆😆Uzuri wa CCM inapenda akina mama wajinga kama wewe
Hakiki hapa tuandike maumivu kwenye kizazi kijacho, kama waalimu wenyewe ndio hawa tusitegemee ufanisi wowote kwenye elimu zaidi kama ilivyo sema kuzaliwa kwa wanaoitwa chawa kutaongezeka , na hili la uchawi ni tatizo jipya kwetu kama taifa ikiwa hata wanataaluma nao wamegeukia engo ya uchawa.Ni upumbavu tu wanafanya, kampeni zimeanza halafu wao ni UVCCM au UWT? Samia amewaambia amekosa hela ya form? huwezi ukawa na walimu wajinga kama hawa ukategemea taifa kuzalisha wasomi zaidi ya hawa chawa
Siyo duni ni mafukara sababu ya ujinga wao, 60% ya watumishi wa umma ni walimu lakini wanaendeshwa na kikundi cha watu wachache hakifiki hata 1%, kimsingi walimu ni nyumbu tupuSinaga chama mimi ila Walimu ndo taasisi yenye maisha Duni sana kwa sera mbovu za CCM.[emoji706]
YapNa nyie machadema endeleeni kupenda wavuta bangi mwisho wa siku tuje kuhesabiana kura hapo mjinga atajulikana 😆😆
Kwamba wewe ni mkuu wa shule! Na unaunga mkono ujinga huu.Big up kwa wakuu wa shule wenzangu. Tunajitambua na tunajua tunacho kifanya.
Kundi la walimu ndiyo kundi la watu wajinga na mafukara haswaHakiki hapa tuandike maumivu kwenye kizazi kijacho, kama waalimu wenyewe ndio hawa tusitegemee ufanisi wowote kwenye elimu zaidi kama ilivyo sema kuzaliwa kwa wanaoitwa chawa kutaongezeka , na hili la uchawi ni tatizo jipya kwetu kama taifa ikiwa hata wanataaluma nao wamegeukia engo ya uchawa.
Walimu Kamatieni hapo hapo.Bado hamjalia
Wanaopata shida ni wao na ujinga wao, CCM wanatembea V8Walimu Kamatieni hapo hapo.Bado hamjalia
Ni kweli Kanisa wafuasi wa Machadema ni matajiri kweli kweli.Kundi la walimu ndiyo kundi la watu wajinga na mafukara haswa