Wakuu wa shule za sekondari nchi nzima Tanzania wamchangia Rais pesa za form ya kugombea Urais mwaka 2025

Safari bado ni ndefu mno.
Kwa ujumla sijawaunga mkono kabisa kwa hili walilifanya, kwa mfano asipogombea kwa sababu yoyote huo hela itaenda wapi?
Ni upumbavu tu wanafanya, kampeni zimeanza halafu wao ni UVCCM au UWT? Samia amewaambia amekosa hela ya form? huwezi ukawa na walimu wajinga kama hawa ukategemea taifa kuzalisha wasomi zaidi ya hawa chawa
 
Hakiki hapa tuandike maumivu kwenye kizazi kijacho, kama waalimu wenyewe ndio hawa tusitegemee ufanisi wowote kwenye elimu zaidi kama ilivyo sema kuzaliwa kwa wanaoitwa chawa kutaongezeka , na hili la uchawi ni tatizo jipya kwetu kama taifa ikiwa hata wanataaluma nao wamegeukia engo ya uchawa.
 
Kundi la walimu ndiyo kundi la watu wajinga na mafukara haswa
 
Back
Top Bottom