Wale ambao hatuna Mpango wa kuoa tuendelee kupeana Mbinu za Maisha

Na nyinyi ambao uanaume wenu upo attached na wanawake ndo huwa mnajinyonga mkiachwa, au mnakuwa radhi kuwa watumwa kwenye ndoa zenu kwa kuhofia ukiachwa utaishije.

Mwanaume unakiri kabisa kuwa haukuwahi kuuona umuhimu wa kuzaliwa mwanaume mpaka pale ulipokuwa na mwanamke, bado unajiona upo sawa? Kwahiyo bila huyo wife wewe si lolote si ndio? BETA MALE😄.

MWANAMKE NDIE ANAPASWA KUWA DESPERATE NA NDOA sio wewe mwanume, fullfill your purpose bila kutegemea mwanamke.

Change OR Perish.
 

Attachments

  • IMG_20221219_121933.jpg
    65.7 KB · Views: 3
Mi naona hapo tatzo kubwa n umaskin. Angekua na hela hayo yote ange ya solve.
 
Eee mmeumbiwa mateso hata mwanamke pia
Ukweli ndio huo
 
Una miaka 60 labda hivi..utaoa pia na hapo tayari una wajukuu?..

Aibu gani hii?..ili tu upate wa kukuchamba..kudadadeki
So ktk uzee wako yale ilibidi yafanywe kwa dharura ktk mwili wako utataka wakufanyie wajukuu zako?

Na mbona umeshikilia sana issue ya kusafishwa kinyesi (then hii kauli kuchamba acha waitumie dada zako mtoto wa kiume haipendezi) unadhani hakuna nyengine za kufanyiwa na mke?kupikiwa,kufuliwa hizi unaziacha wapi?
 
Huzun gan bwana ww??? Acha kutulisha matango pori,,, eti relationship ndo kila ktu duuuuh yan we uwe mzee una familia afu huna raman zozote za kuingiza pesa afu eti useme relationship ndo kla ktu mtakula relationship? Bili za maji na umeme mtalila na hyo relationship??
 

Sasa kufuliwa na kupikiwa zinaweza kuwa sababu nzito za kuoa?

Mimi bado nasubiri sababu inayompa mwanaume ULAZIMA wa kuoa.

Keywords, ULAZIMA wa kuoa.
 
Sasa hela ziwepo si inatakiwa watoto waziendeleee wakutunze ukizeeka nguvu zinaisha pia unadhan kina Bakhresa wajinga watoto wake kusimamia biashara
Una guarantee gani kwamba watoto wataendeleza mali??? Mara ngapi tumeona mzaz akifa watoto wanauza mali zote afu wanaenda kukesha kidimbwi?
 
Sasa naona ushaanza kuelewa,,, kumbe shda n kwamba hakutengeneza mazngira (hakutafuta pesa) na shda sio kutokuoa mana angekua na pesa angeish kwake
 
Mjanja sana huyo jamaa,,,, thats the lifestyle we deserve!!!!
 
Mi nataka nioe ila mwanamke aendelee kuishi kwa baba yake nimegundua ukiishi na mwanamke unamchoka haraka hata awe mzuri vipi ule uzuri ukishauozea huuoni tena unaona kasoro tu
Ni kama gari kabla hujainunua unaishobokea knoma ila ukishaipata unaiona haina maajabu lakn ukiingia nayo barabaran kila mtu lazma ageuze shngo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…