Wale ambao hatuna Mpango wa kuoa tuendelee kupeana Mbinu za Maisha

kwa mimi nilipokuwa na familia ndipo nilijua maana halisi ya kuwa mwanaume ila haimaanishi definition yangu ifanane na yako...so mwisho wa siku you have to live your life
 
Fafanua hapo kidogo why wa mmoja afe kabla ya anaemiliki wawili?
 
kwa mimi nilipokuwa na familia ndipo nilijua maana halisi ya kuwa mwanaume ila haimaanishi definition yangu ifanane na yako...so mwisho wa siku you have to live your life
Kwahiyo kabla ya kuoa uliishi ukiwa hujui maana halisi ya kuwa mwanaume?

Ni kweli siwezi kukupangia maisha ila usiwe attached na mwanamke kiasi hicho.
 
kwa mimi nilipokuwa na familia ndipo nilijua maana halisi ya kuwa mwanaume ila haimaanishi definition yangu ifanane na yako...so mwisho wa siku you have to live your life

Huwaga wanakuwa wabinafsi ila chá moto wanakipata uzeen wakiwa wapweke
 
Watu wanasema mtu asipooa akiugua ataona cha moto..yes kama mtu huyo ni hoehae.

Mtu mwenye hela utapata nursing service yoyote unayoihitaji.
Hawa wenye mwazo hayo n maskin wa kutupwa. Wamekulia kwny umaskin. Yaan mtu ukose wa kukuuguza uzeen na bank [emoji542] account inasoma billion 8+??

Watu hao akili zao bado zpo kwny "industrial age" ambapo wazaz walikua wana invest kwny watoto.
 
Kupikiwa

Kufuliwa..

Like serious??

Acha tuishie tu hapa.
 
Jamii za kimaskin ndo znaamini ndoa inaleta heshma. Hakuna ataekuheshmu ww na ndoa yako kama hata kulisha hyo familia huwez, ww n mtu wa kuomba misaada na kulia lia kwa majiran kila sku,,, Kila mtu atakuona takataka.

Ukiwa na pesa hata kila mtoto akiwa na mamake atakuheshmu tu. Kwa sababu atakuwa anaona jins unavomletea mahtaji muhmu kama vile chakula, ada unamlipia kwny shule nzuri.. Ana uhakika wa malazi,,,, lazma akuheshmu!!
 
Inachekesha kwa kweli Mtu kudhani ndoa ndio inamuheshimisha na sio Pesa,
Umemuelewesha vema natumai atabadili msimamo wake
 
Unajua we umeongea kitu kimoja kikubwa sana na chakitofauti tangu uzi huu uanze?
 
Jitahidi kwenye maisha usiwe pessimistic. Ukiijaza akili yako vitu negative automatically vinakuja kuwa manifested kwenye matendo yako. Be very careful of what u wish for.
Am not pessimistic here. Naongelea uhalisia wa maisha na tunayoyaona mitaani.
 
Hawa wenye mwazo hayo n maskin wa kutupwa. Wamekulia kwny umaskin. Yaan mtu ukose wa kukuuguza uzeen na bank [emoji542] account inasoma billion 8+??

Watu hao akili zao bado zpo kwny "industrial age" ambapo wazaz walikua wana invest kwny watoto.

Wazee wangapi wanazeeka na bima za maana au hata milion 500 wangapi ukiangalia viongozi wafanya biashara wakubwa
 
Wajinga kweli wanakwepa majukum
Mi nimeshuhudia watu wakioa kwasababu ya kusaidiana kimaisha

Inafika hatua mtu anachapika anahisi pengine urahisi ataupata kupitia ndoa

Yani inafika time mchizi life limemchapa watu waliomzunguka unakuta wanampa ushauri...oa msaidiane maisha na mwenzako sometimes wanawake huja na baraka

We hiyo hujawahi kuisikia?

Mi kwangu hiyo ni moja ya uoga wa maisha na kukwepa majukumu.... na inafanyika sana hapa kwetu Tanzania
 
Akili zako ndo zilipoishia? Kwa akili hz zenye poor reasoning kias hk ndo mana mnaingia kwny mtego uitwao "ndoa"
Washamba na wanaume wasiojiamini tena ambao pesa hamna kama wewe ndo mnaktaa ndoa.

Ngoja utakuja kuolewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…