Wale ambao hatuna Mpango wa kuoa tuendelee kupeana Mbinu za Maisha

Umeshusha nondo za moto mtaalamu[emoji91][emoji91][emoji1434][emoji1434][emoji1434]
 
Wanawake wazuri ni wengi kuliko wabaya tunao waona au kushuhudia

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Okay kila mmoja ana mtizamo na experience yake kwa wanawake anaokutana nao ila kwangu mimi .Naamini wanawake wenye sifa kuitwa mke na kuviishi viapo vya ndoa ni wachache sana.

Wanawake wamekuwa too wabinafsi,wapenda hela na kukimbizana na wakati mpaka wanashindwa kufikiria ktk uhalisia wa mazingira wanayo ishi na wenza wao.
 
Mkuu hapa duniani hakuna kitu kibaya kama upweke ndio mana mungu hakuwa bwege kumpa Adam mwenza wake ambae ni Eva so uyo mwenye nyumba wako subili maradhi yaanze kumsumbua ndio tutajua hizo pesa zake zitamsaidia au lah
 
Ni kweli ukitaka kuishi maisha marefu usioe. Ndoa ni jehanam ya hapa duniani. Hasa kwa wanawake wa siku hizi. Kila kitu anayegemea kutoka kwako hata awe na kazi. Na maisha anayoishi ni kama anakumiliki. Na kumuacha mke ukimuoa ni ving'ang"azi hatari. Hawakubali. Kwa hiyo suruhisho Bora usioe tu.[emoji116]
Your browser is not able to display this video.
 
Mkuu hapa duniani hakuna kitu kibaya kama upweke ndio mana mungu hakuwa bwege kumpa Adam mwenza wake ambae ni Eva so uyo mwenye nyumba wako subili maradhi yaanze kumsumbua ndio tutajua hizo pesa zake zitamsaidia au lah
Tunasikia wake hukimbia waume zao wagonjwa,
Pesa husaidia kuepuka dhahma ndogo ndogo
 
None, after a certain age no one should be single.

Civilization is sustained through families and not miserable individuals.
 
hayo yote ni ya maana ukiwa na relationship na watu wako wa karibu sana-mke, mtoto/watoto. kwa sasa utajigamba tu kwa sababu una nguvu na unapesa na una nguvu za kuitumia. wait when you are old, ndipo utatambua. Waulize wazee watakujaza ufahamu zaidi.
 
Ni kweli ukitaka kuishi maisha marefu usioe. Ndoa ni jehanam ya hapa duniani. Hasa kwa wanawake wa siku hizi. Kila kitu anayegemea kutoka kwako hata awe na kazi. Na maisha anayoishi ni kama anakumiliki.
yaani anategemea papuchi tu kama silaha kuu, na ndicho kitu anachoki offer pekee, vyake vyote ni vyake, vyako ni vyake, anatafuna mali zako akitegemea ku-fanya exchange na papuchi yake

mkizinguana, anakimbilia kubana miguu, shenzi kabisa

aliyeleta huu ujinga wa Ndoa apimwe akili aisee,
 
Anafuga majini huyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…