Dejane umetisha mnoo kwa hii thread. 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Kuna mzee huyo anang’ang’ania kuishi kwetu ashazeeka ,nikamuambia mama yangu ashazeeka hawez kukuhudumia kakae kwa watoto ni kama anajifanya hanisikii anasema akija kwa mama anahudumiwa vizuri eti
Ebo ulikuwa wapi kutengeneza mazingira toka zamani uhudumiwe vizuru
Unaowa mwingine hata hili hulijui?Mkeo akifariki kabla yako nani atakuwa anakuchamba?
Ni vitu tunaviona kabisa vipo sio vya kusimuliwa,kuna mzee hapo Mwanza hoteli anavizia analala kwenye kwenye sofa za mwanza hotel siku akiona Gachumo kasafiri hayupo, hana pá kukaa nae ni bachelor wanataka kutuambia nin hawa na Ana watoto ila wamelelewa na mama yao hawana habari nae kabisa,wengi tu na huyo anaezurura,wanaokula raha ni walotengeneza familia zao vizuri,watu baki hawawezi kukujal kama watoto wako au mkeoDejane umetisha mnoo kwa hii thread. 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Unaowa mwingine hata hili hulijui?
Maswali gani haya unauliza?sasa napata picha nabishana na watu wenye upeo gani
Kuna umri ukifika kua na mke ni muhimu, na kuna umri kua na mke ni scam lakini ndio maandalizi ya huo umri ambao ndoa itahitajika sana.
Tuoe tu.
Niwekee hapa angalao quotes zake mbili tatu anazozungumzia umuhimu wa mwanaume kutokuowa nitoe maoni yangu na mimi na naweza hata nikabishana nazo coz najua kwa Tanzania hakuna mtu ataweza kuzi-apply kwa sababu mazingira siyo rafiki..Mkuu nimesoma Maoni yako kwa kiasi kikubwa nimegundua uwezo wako wa kufikiri ni Mdogo sana. Jaribu Kujiboresha. Msome sana Saint. Augustin.
Afya njema ndo itakayokupa uzee mwemaMwanamke sio guarantee ya kutokuwa na huzuni uzeeni, ila pesa inakupa uhakika huo kwakua hautakosa watu wakukuzunguka abadani.
Mleta uzi asikubabaishe, mimi nitakuoa.Msipooa wanawake tutaolewa na nani Sasa?
Hofu yako ni watu kukuona muhuni, hivi heshima inafaida gani kama huna ela, katika vitu ambavyo sivitaki ni heshima hizi za kiafrikaMnafurahisha 😂😂😂
Okei unahela yes, una watoto yes hujaoa hatujakataaa and of course kila mtoto na mama yake
Hivi wewe unaleta picha gani kwa wanao? yaani hata watoto wanakuhesabia wewe muhuni tu utawaambia nini 😂😂
Wewe kila mwezi unabadilisha wanawake tu nani atakuheshimu?
Ndoa inaheshimisha acheni kuiga wazungu
Oeni mpate kuheshimiwa na jamii zenu, kutokukuoa na unajigamba u got money unahesabika ka muhuni tu and top cursed.
Pia mimi nina mfanoWewe na wewe mbona una-act utoto?
Zipo situation ktk maisha humkuta mtu siyo lazima uzeeke,assume upo above 30s umepata ajali mbaya inakulazimu uwepo wa mtu kukusaidia mpaka wakati wa haja za msingi za mwili wako unategemea mama yako akupeleke chooni au kaka yako au mdogo wako?
NB:Ninyi mnaojifanya hamjui au mnajua mnakuwa viburi kujifanya hamjui tembeleeni hospital kubwa hasa zile sehemu za maabara muuone umuhimu wa mwanaume mtu mzima kuwa na mke,unakuta mtu ameletwa kwa vipimo (hii niliiona juzi sept pale MNH tena bwana mdogo tu) alitakiwa kuvua nguo aingizwe kwenye MRI machine ikatangazwa msaidizi wake aende akaenda mkewe mnategemea ktk hali kama hii mama zenu wakawavue nguo?
Nonse nse kabisa.
Kweli mtu mjinga tu atashindwa kukuelewaNi vitu tunaviona kabisa vipo sio vya kusimuliwa,kuna mzee hapo Mwanza hoteli anavizia analala kwenye kwenye sofa za mwanza hotel siku akiona Gachumo kasafiri hayupo, hana pá kukaa nae ni bachelor wanataka kutuambia nin hawa na Ana watoto ila wamelelewa na mama yao hawana habari nae kabisa,wengi tu na huyo anaezurura,wanaokula raha ni walotengeneza familia zao vizuri,watu baki hawawezi kukujal kama watoto wako au mkeo
Kitu ambacho huelewi ndoa hailaziishwi and is not for everyoneDiamond sijui nani mnaowatolea mifano humu hawajaoa ni kwasababu ya nature y
Kweli mtu mjinga tu atashindwa kukuelewa
Tatizo watu wanafanya maamuzi bila kuangalia mbeleni, the future
Na hakuna afya njema bila kuwepo pesa walau kidogo ya kutibishia maradhi ambayo kimsingi ni lazima uyapate kama binadamu.Afya njema ndo itakayokupa uzee mwema
Hii ni sample ndogo sana kuweza ku-justfy issue ya ”umuhimu wa mwanaume kuowa au kutokuowa”.Pia mimi nina mfano
Kulikuwa na mgonjwa X kwenye hospital X hapa Tanzania, alikuwa ana 26yrs ameoa na anawatoto wawili.
Baada ya kuumwa sana, mke akawa anamuuliza kuwa nguvu za kiume anazo tena. Maana tatizo lake alihisi litakuwa limeathiri nguvu za kiume lakini si kweli.
Kilichofuata mke ni kumkimbia mume. Yule jamaa aliteseka sana , mwisho alifariki lakini kifo chake hakikutokana na ule ugonjwa alioupata bali ni hizo stress zilizotokana na mke wake.
Kwani huo mfano wako ulioutoa ndio unaonesha umuhimu wa ndoa ?Hii ni sample ndogo sana kuweza ku-justfy issue ya ”umuhimu wa mwanaume kuowa au kutokuowa”.
Kuowa ni kama kutafuta kazi,utapata kazi ina mapungufu kadhaa mwengine anapata kazi inampenda kila siku anapanda vyeo so ni bahati ,siyo sababu kazi siyo nzuri tuseme tusifanye inabidi tu-face realty huo ndiyo uanaume hata baba yako kuishi na mama yako alitumia mbinu hizi hizi.