Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

[emoji44][emoji1787] labda psychology ya mwanamke ibadilike ndo hicho ulichoandika kitawezekana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23] jamanii. Ila kwa hapo sieezi hata mlaumu. Nadhani hajakulia mazingira ya kuchinja. Na sioni kama ni ishu sana. Ashazoea kukuta vimeandaliwa tu. Nimenpendaa[emoji23][emoji23]

Ila ktk mapenzi naonaga raha sana nisijue vitu vingi halaf mpenzi wangu ndo awe mwalimu wangu. Sasa imagine mimi nakua kikosi chote cha soton na bench lote la ufundi. Nafaa?[emoji23][emoji23]

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Hehehe inadilike wapi... tukiwazidi kipato tu mnapagawa.

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
It's psychological proved kuwa wote walio down kwenye dominance hierarchy ( pesa kwa human beings) huwa na defensive mechanism ili wasidondoke zaidi kwenye hiyo hierarchy hyo mechanism mnaiita " inferiority complex" sio kwa male human beings tu,, hata kwa wanyama wengine wa kiume

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I cant disagree kabisaa aisee. Umemalizaaa. Kujihami. Na ndo matatizo huanzia happ. Yapaswa mmoja wapo kujishusha

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Ukininunulia boxer kipind nna mkwanja ni Zawadi
Nkiwa sina pesa inageuka dharau [emoji41][emoji41][emoji41]

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha dah, vice versa is true. Ila turudi kwenye uhalisia. Kuna mambo yawe normalized na yasifanywe kama vile ni hisani... partner wako kumnunulia boxer sijui vests blah blah. Isiwe part ya zawadi asilani.. yaan iwe ni kama jukumu la kawaida kbs. Hakuna raha kama mwanaume wako akiwa msafi ndani hata wadangaji wakaona boxer za jamaa wanaappreciate mke wake yuko njema. Tena boxer ziwe nyeupe haswa. Zikiwa coloured basi iwe lite coloured. Siyo ikoleeee. Mf. Light pink ama blue.. siyo unampelekea mwenzako boxer ya kijani imekoleaaaa. Kwa wenye exposure jamani tufanye hivyo. Na nyie wanaume zetu mujifunze kuappreciate. Mwanaume akiwa msafi na nadhifu inapendeza sana. Sasa nikufumanie utajua kama mimi ni mchagga toleo jipya ama la zamani[emoji23][emoji23]

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
uzuri ni mtu wa kerekebishika ,akikosea harudii,tatizo ni kwa mtu ambaye kwanza kumwelewesha lazima alete kiburi halafu anarudia kitu kile kile hajifunzi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
Umenikumbusha stori za babu yangu
Yule mzee alikuwa akitupia vyombo;anawakusanya wajukuu wake wote anaanza kupiga ngeli.
 
Sasa wenzao hata wakijanjaruka wanafanya mambo kwa ajili.
Wajinga wanajiachia tu.

Watu wajinga ni mzigo kwa taifa kwa kweli,mimi siwataki.
 
Ukweli ni kwamba buying things for us ni uncomfortable kwetu,, especially nguo za ndani,, kama ilivyo uncomfortable kwtu,, wewe kulipa kwa date then kwa nguo za ndani it's the same

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
Umenikumbusha stori za babu yangu
Yule mzee alikuwa akitupia vyombo;anawakusanya wajukuu wake wote anaanza kupiga ngeli.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119] yaan wana english kali balaa. Maneno magumu mno... hiyo blood bastard sasa. Halaf wanaturingishia balaa. Kwani walimu wao walikua wazungu eh? Maana dah. Haiwezekani...
Kuna siku nilimpeleka KCMC clinic. Sasa kuna wamama siyo wachagga wakaniuliza mgonjwa wnagu yuko wapi nikawaonyesha. Babu aliposogea wakasema ni babu ama baba, nikajibu babu, basi wasianze matani, kumbe una bonge la bwana, mume wako ana afyaa kabisaa... umepata bwana.. babu kusikia akawaambia blood bastard, huyu siyo mke wangu ni mjukuu[emoji23][emoji23] si unajua wachagga na matani ya hv hatunaga... wale wamama wakazidisha nikasema ueuii nyamazeni ataongeza maneno magumu[emoji23][emoji23][emoji119] natamani turudi kwenye hii english jamani

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji119][emoji23][emoji23]

English ya sasa imekongoroka
 
Ukweli ni kwamba buying things for us ni uncomfortable kwetu,, especially nguo za ndani,, kama ilivyo uncomfortable kwtu,, wewe kulipa kwa date then kwa nguo za ndani it's the same

Sent using Jamii Forums mobile app
Noo, maybe ni wewe tu aisee. Kwa boxers etc naona ni vitu very normal kwa mwanamke mwenye kipato chake. Atleast dates. Lkn mf. Sisi ni wapenzi na ni marafiki pia. Tunaweza piga story halaf kama siku zote wewe ndo hunitoaga for a date mm ninakuambia leo my love i wanna sponsor for the date sidhan kama unapaswa kuumia ama kukataa... sema kuna wanaopenda fanyiwa kila kitu mtaji wao nguvu za kiume tu

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…