Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

[emoji23][emoji23][emoji23]usiombe wakajanjaruka. Lazima ulete uzi huku. Wana dharau kishenziii... me napenda mwanaume anayejiamini hata kama hana pesa wala elimu. Yaani ajiaminu tu. Inatoshaaa kwanguu...

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
[emoji44][emoji1787] labda psychology ya mwanamke ibadilike ndo hicho ulichoandika kitawezekana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye upishi sometimes ni balaa ,hasa unakuta kwao hajawahi kimchinja kuku.

Mi kuna mrembo nilimkaribisha kwangu,kwa vile tumezoeana nje huko basi nikamwambia apike ubwabwa,nilimnunua kuku sokoni akanyolewa yeye kazi yake ilikuwa kumkata kata na kuunga.

Wakati kula basi akaleta msosi ,dah firigisi haijatolewa uchafu kaweka mazima mazima na kuunga hivo hivo . Nilishindwa kujizuia kucheka nikajiuliza labda mi ndo mshamba kuna mapishi mapya .
[emoji23][emoji23][emoji23] jamanii. Ila kwa hapo sieezi hata mlaumu. Nadhani hajakulia mazingira ya kuchinja. Na sioni kama ni ishu sana. Ashazoea kukuta vimeandaliwa tu. Nimenpendaa[emoji23][emoji23]

Ila ktk mapenzi naonaga raha sana nisijue vitu vingi halaf mpenzi wangu ndo awe mwalimu wangu. Sasa imagine mimi nakua kikosi chote cha soton na bench lote la ufundi. Nafaa?[emoji23][emoji23]

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Hehehe inadilike wapi... tukiwazidi kipato tu mnapagawa.

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
It's psychological proved kuwa wote walio down kwenye dominance hierarchy ( pesa kwa human beings) huwa na defensive mechanism ili wasidondoke zaidi kwenye hiyo hierarchy hyo mechanism mnaiita " inferiority complex" sio kwa male human beings tu,, hata kwa wanyama wengine wa kiume

I cant disagree kabisaa aisee. Umemalizaaa. Kujihami. Na ndo matatizo huanzia happ. Yapaswa mmoja wapo kujishusha

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Ukininunulia boxer kipind nna mkwanja ni Zawadi
Nkiwa sina pesa inageuka dharau [emoji41][emoji41][emoji41]

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha dah, vice versa is true. Ila turudi kwenye uhalisia. Kuna mambo yawe normalized na yasifanywe kama vile ni hisani... partner wako kumnunulia boxer sijui vests blah blah. Isiwe part ya zawadi asilani.. yaan iwe ni kama jukumu la kawaida kbs. Hakuna raha kama mwanaume wako akiwa msafi ndani hata wadangaji wakaona boxer za jamaa wanaappreciate mke wake yuko njema. Tena boxer ziwe nyeupe haswa. Zikiwa coloured basi iwe lite coloured. Siyo ikoleeee. Mf. Light pink ama blue.. siyo unampelekea mwenzako boxer ya kijani imekoleaaaa. Kwa wenye exposure jamani tufanye hivyo. Na nyie wanaume zetu mujifunze kuappreciate. Mwanaume akiwa msafi na nadhifu inapendeza sana. Sasa nikufumanie utajua kama mimi ni mchagga toleo jipya ama la zamani[emoji23][emoji23]

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23] jamanii. Ila kwa hapo sieezi hata mlaumu. Nadhani hajakulia mazingira ya kuchinja. Na sioni kama ni ishu sana. Ashazoea kukuta vimeandaliwa tu. Nimenpendaa[emoji23][emoji23]

Ila ktk mapenzi naonaga raha sana nisijue vitu vingi halaf mpenzi wangu ndo awe mwalimu wangu. Sasa imagine mimi nakua kikosi chote cha soton na bench lote la ufundi. Nafaa?[emoji23][emoji23]

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
uzuri ni mtu wa kerekebishika ,akikosea harudii,tatizo ni kwa mtu ambaye kwanza kumwelewesha lazima alete kiburi halafu anarudia kitu kile kile hajifunzi
 
La saba ya zamani ni middle school. Ile weeee. Babu yangu alikua anatunyoosha. Tena vocabulary zake achaaa.
Walikua wanaishia la nne.
Miaka hiyo nikiwa primary msimu wa christmas si nikagomea kumpa babu bia maana kila anazopewa anaenda ficha chumbani for his mchepuko wa jirani[emoji23][emoji23] si akanambia from today onwards ame embargo na mimi? Sasa mimi mtoto mdogo kwanini aniambie vocabulary kali vile. Baadae tukapatanishwa, nikapewa whisk na bia 4 kuomba msamaha na yeye akanisamehe akanipa jogoo[emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]
La saba ya miaka ya mkoloni iheshimiwe.

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
Umenikumbusha stori za babu yangu
Yule mzee alikuwa akitupia vyombo;anawakusanya wajukuu wake wote anaanza kupiga ngeli.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]usiombe wakajanjaruka. Lazima ulete uzi huku. Wana dharau kishenziii... me napenda mwanaume anayejiamini hata kama hana pesa wala elimu. Yaani ajiaminu tu. Inatoshaaa kwanguu...

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Sasa wenzao hata wakijanjaruka wanafanya mambo kwa ajili.
Wajinga wanajiachia tu.

Watu wajinga ni mzigo kwa taifa kwa kweli,mimi siwataki.
 
Hahahaha dah, vice versa is true. Ila turudi kwenye uhalisia. Kuna mambo yawe normalized na yasifanywe kama vile ni hisani... partner wako kumnunulia boxer sijui vests blah blah. Isiwe part ya zawadi asilani.. yaan iwe ni kama jukumu la kawaida kbs. Hakuna raha kama mwanaume wako akiwa msafi ndani hata wadangaji wakaona boxer za jamaa wanaappreciate mke wake yuko njema. Tena boxer ziwe nyeupe haswa. Zikiwa coloured basi iwe lite coloured. Siyo ikoleeee. Mf. Light pink ama blue.. siyo unampelekea mwenzako boxer ya kijani imekoleaaaa. Kwa wenye exposure jamani tufanye hivyo. Na nyie wanaume zetu mujifunze kuappreciate. Mwanaume akiwa msafi na nadhifu inapendeza sana. Sasa nikufumanie utajua kama mimi ni mchagga toleo jipya ama la zamani[emoji23][emoji23]

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Ukweli ni kwamba buying things for us ni uncomfortable kwetu,, especially nguo za ndani,, kama ilivyo uncomfortable kwtu,, wewe kulipa kwa date then kwa nguo za ndani it's the same

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
Umenikumbusha stori za babu yangu
Yule mzee alikuwa akitupia vyombo;anawakusanya wajukuu wake wote anaanza kupiga ngeli.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119] yaan wana english kali balaa. Maneno magumu mno... hiyo blood bastard sasa. Halaf wanaturingishia balaa. Kwani walimu wao walikua wazungu eh? Maana dah. Haiwezekani...
Kuna siku nilimpeleka KCMC clinic. Sasa kuna wamama siyo wachagga wakaniuliza mgonjwa wnagu yuko wapi nikawaonyesha. Babu aliposogea wakasema ni babu ama baba, nikajibu babu, basi wasianze matani, kumbe una bonge la bwana, mume wako ana afyaa kabisaa... umepata bwana.. babu kusikia akawaambia blood bastard, huyu siyo mke wangu ni mjukuu[emoji23][emoji23] si unajua wachagga na matani ya hv hatunaga... wale wamama wakazidisha nikasema ueuii nyamazeni ataongeza maneno magumu[emoji23][emoji23][emoji119] natamani turudi kwenye hii english jamani

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji119][emoji23][emoji23]

English ya sasa imekongoroka
 
Ukweli ni kwamba buying things for us ni uncomfortable kwetu,, especially nguo za ndani,, kama ilivyo uncomfortable kwtu,, wewe kulipa kwa date then kwa nguo za ndani it's the same

Sent using Jamii Forums mobile app
Noo, maybe ni wewe tu aisee. Kwa boxers etc naona ni vitu very normal kwa mwanamke mwenye kipato chake. Atleast dates. Lkn mf. Sisi ni wapenzi na ni marafiki pia. Tunaweza piga story halaf kama siku zote wewe ndo hunitoaga for a date mm ninakuambia leo my love i wanna sponsor for the date sidhan kama unapaswa kuumia ama kukataa... sema kuna wanaopenda fanyiwa kila kitu mtaji wao nguvu za kiume tu

Back
Top Bottom