Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Ndoa haina formula,
Kila mtu amepewa wa kufanana nae shida ipo kwenye kumpata ili muende sawa
Kama mimi naweza kufanya majukumu yote ya ndani kama mke but kama naumwa au nimechoka dada atafanya as mimi si robot sasa we mwanaume ujichanganye afu uanze kunilinganisha na wake wa masela zao ambao 24/7 wanahudumia waume utakua umenikosea sana
Wanaume mnapaswa kuishi na wake zenu kama wao walivyo ni sio kufanya comparison na wake wa wengine mana watu hatufanani!
 
You sure approach ilikuwa poa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Perverts hawakosekani, we learn from our experiences,, but but haijalishi how bad was the experience,, what u did to him was right,, but experience yako isikufanye ukaacha kufanya the right thing kw mwengne

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli hili ni janga na hyo inferiority complex huwafanya muanze kuwanyanyasa wanawake zenu kihisia na kuwa control too much, kiasi mkifikiri mnajenga kumbe mnaharibu na hizo gubu zenu.
Una interest na masuala ya psychology sana itakuwa ulisoma na babe wangu pale ustawi
 
Perverts hawakosekani, we learn from our experiences,, but but haijalishi how bad was the experience,, what u did to him was right,, but experience yako isikufanye ukaacha kufanya the right thing kw mwengne

Sent using Jamii Forums mobile app
Me mzungu wa roho mkuu[emoji23][emoji23] niko poa kabisaaa.. sinaga uadui na mtu. I cant hate mtu niliyewahi mpenda. Its a good thing. Tunajifunzaga

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Sijaoa ila naishi na pepo juzi nmesafiri tu kauza Friji narudi nauliza naambiwa nmeongezea naagiza cm hiv ndugu zangu ni sawa ..nahitaji kuanzisha Uzi ili mnipe ushauri wakuu...sijui niendapo.
Anajua wewe ni zombie na huna cha kumfanya ,anajua madhaifu yako yote.. subiri simu aliyoqgizia huko kikuu.com uweke coke yako ipate ubaridi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangu mie uwiiiiih.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jamaa akikaza huyu lazima umkubalie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…