Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Tangu enzi kuoa ni plan B hasa katika maandiko ya kikristo. sijui kwanin wanaume wanadhan kuoa ni kama kuajiri housekeeper!
 
Mbn kama jobless,hana tofaut na wale vijana wa kakobe.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Very simple fact....huwezi ukawa mke halafu weekend huwezi hata kumpakulia mmeo chakula au kumtengea chai ..uko bize na iPad au simu ...that's unacceptable at any level...acheni uhuni nyie corporate takataka
hahaha

nawaza hapa watoto wa corporate ladies wanakuja kuishi/kuolewa na watu wa aina gani? corparate men? πŸ€£πŸ˜‚
 
Nimeuchelewa huu uzi, ilitakiwa niwe wa kwanza ku comment maana yule tumbili yule Mungu anamuona

Nitarudi ngoja nimalize kazi hapa, i have story to tell
 
Sijaoa ila naishi na pepo juzi nmesafiri tu kauza Friji narudi nauliza naambiwa nmeongezea naagiza cm hiv ndugu zangu ni sawa ..nahitaji kuanzisha Uzi ili mnipe ushauri wakuu...sijui niendapo.
Ha ha ha ,huyu ni mjuba mwenzako
 
Mimi wanawake wananielewa hapo nilishagawaweza,usije kuonekana mnyonge Kisa k,utalia kila siku.
 
Mimi ukiajiri house girl sina shida ila uzembe ukianza nakuvaa wewe sio house girl,sikuoa house girl..ukiona majukumu huwezi usiolewe kabisa unless upate mwanaume ambae anataka hayo.
 
Mkuu bila shaka nawe unatimiza majukumu yako yote! Huulizii mshahara wa mkeo na unamhudumia kwa kila kitu yeye pamoja na watoto na unalipia bills zote peke yako!
Mwanaume akitekeleza haya yote are you going to be submissive to him? Au ndiyo yale mambo ya 50/50 ila siyo kwenye kipato chako?
 
Shoga ndoo nambebea, namuogesha na zivu namnyoaa.
Sifanyii utumwa nafanyia mahaba. Hata nichokeje
Ha ha ha ha

Mkiandika ishu za kubeba ndoo mnanikumbusha matukio fulani ya miaka ya nyuma hapo ,yanayonipa machungu sana moyoni.
 
Cha muhimu mwanaume tafuta hela ,establish your grounds ,provide for the family (wife ,kids and relatives)- live your life now na hii ni rahisi ukiwa na hela..... Zamani nilikuwa napenda usafi sana ,napenda kuona vitu viking'aa ng'aa kama hotelini vile- lkn nimegundua haiwezekani, kwahiyo sikwaziki tena
 
It is safe and right for a man to provide for a family kwa kila kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…