Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Tangu enzi kuoa ni plan B hasa katika maandiko ya kikristo. sijui kwanin wanaume wanadhan kuoa ni kama kuajiri housekeeper!
 
Hahahaha u are very naive jamaa yangu[emoji23][emoji23] nimechekaaaa

Sasa muone huyu la saba b. Na hapo ana watoto watatu kila mmoja na mamake na na hela bado hana na kila muda anajihami kwnagu juu ya elimu na pesa. Ukatoke jasho udangwe halaf wakishapataga pesa hawa wanabadilika balaa. Ni mwendo wa kuchapwa matukio tu[emoji23][emoji23][emoji119]View attachment 2040119View attachment 2040120View attachment 2040121

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Mbn kama jobless,hana tofaut na wale vijana wa kakobe.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Very simple fact....huwezi ukawa mke halafu weekend huwezi hata kumpakulia mmeo chakula au kumtengea chai ..uko bize na iPad au simu ...that's unacceptable at any level...acheni uhuni nyie corporate takataka
hahaha

nawaza hapa watoto wa corporate ladies wanakuja kuishi/kuolewa na watu wa aina gani? corparate men? 🤣😂
 
Nimeuchelewa huu uzi, ilitakiwa niwe wa kwanza ku comment maana yule tumbili yule Mungu anamuona

Nitarudi ngoja nimalize kazi hapa, i have story to tell
 
Sijaoa ila naishi na pepo juzi nmesafiri tu kauza Friji narudi nauliza naambiwa nmeongezea naagiza cm hiv ndugu zangu ni sawa ..nahitaji kuanzisha Uzi ili mnipe ushauri wakuu...sijui niendapo.
Ha ha ha ,huyu ni mjuba mwenzako
 
Umemaliza mkuu...

Sex kwa mwanaume ni trap... Ukiweza Control tamaa ya utelezi... Basi Furaha yako itakuwa kubwa sana Duniani....

Sex imekuwa overrated sana tofauti na miaka ya nyuma. Watu wanafanya vitu hadi vya ajabu ilimradi tu apate utelezi...na ndio haohao huingia kwenye trap hio.
Mimi wanawake wananielewa hapo nilishagawaweza,usije kuonekana mnyonge Kisa k,utalia kila siku.
 
Hivi hamuwezi kusaidiana hizo kazi kwa pamoja huyu ashike hiki na huyu ashike hiki mmalize haraka mambo yaende? Kama mnaona hamuwezi hayo basi ndiyo mkubali wake zenu waajiri housegirls bila kuleta siasa za kijinga eti oo housegirl afanye kila kitu wakati mke yupo nigga are you for real?
Mimi ukiajiri house girl sina shida ila uzembe ukianza nakuvaa wewe sio house girl,sikuoa house girl..ukiona majukumu huwezi usiolewe kabisa unless upate mwanaume ambae anataka hayo.
 
Mkuu bila shaka nawe unatimiza majukumu yako yote! Huulizii mshahara wa mkeo na unamhudumia kwa kila kitu yeye pamoja na watoto na unalipia bills zote peke yako!
Mwanaume akitekeleza haya yote are you going to be submissive to him? Au ndiyo yale mambo ya 50/50 ila siyo kwenye kipato chako?
 
Shoga ndoo nambebea, namuogesha na zivu namnyoaa.
Sifanyii utumwa nafanyia mahaba. Hata nichokeje
Ha ha ha ha

Mkiandika ishu za kubeba ndoo mnanikumbusha matukio fulani ya miaka ya nyuma hapo ,yanayonipa machungu sana moyoni.
 
Cha muhimu mwanaume tafuta hela ,establish your grounds ,provide for the family (wife ,kids and relatives)- live your life now na hii ni rahisi ukiwa na hela..... Zamani nilikuwa napenda usafi sana ,napenda kuona vitu viking'aa ng'aa kama hotelini vile- lkn nimegundua haiwezekani, kwahiyo sikwaziki tena
 
Kwahiyo sisi ndiyo tuliumbiwa kuteseka eeh, kamume kenyewe kamekaa sebuleni tu kameshika remote, mama anapalangana na masufuria jikoni, bado na kuoga upelekwe,akii wewe utatulisha kwa jasho humo ndani yaani utalipa kila bills sitoi mimi chochote na siku nikitoa pesa nakuandika kwenye kitabu cha madeni cha familia utanirefund tu.😂 si wataka kuwa kichwa cha familia eeh sawa sisi mikia tutakudekeza baba.ila utalipia hadi chumvi.🏃‍♀️
It is safe and right for a man to provide for a family kwa kila kitu.
 
Back
Top Bottom