Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Aina hii ipo sana tu dadeq! Yani mke anayajua majukum yake akiwa home na anayatendea haki! Shida wanawake wa sikuhizi wanapenda mashindano sana yani anataka akipika na wewe upike af kisingizio eti mimi nimetoka kazini pia kama wewe!
Hapendi ila hana jinsi maana unaweza kuta mume ndio hao wa kuabudiwa. Ukimpa uhuru achague hizo kazi za nyumbani asingezigusa. Huyo mwisho wa siku kilo mgongo kumbe ni kushupaza shingo kutaka sifa ya mke wangu mchapakazi.
 
Dah Yani mimi nimetoka na wewe kazini hunihurumii eti nikupie, sijui nibebe maji huko ni kuchoshana jamani, hyo ya nguo kufua nikununua tu machine hamna namna, hyo ya msosi weekend mtu waweza pika. Sasa mume asiyekuhurumia na kukugeuza kijakazi hafai
Limwanaume lisilokuwa na huruma unapeleka wapi sasa[emoji57][emoji848]

Unakuta mwanaume anashindana na mwanamke yaan utafikiri vita vya Cosovo...ila wanaume wengine safi sana anajua kuhandle mwanamke na upuuzi wa kike anapotezea
 
Mwanamke kitamaduni zetu za asili anakuwa ni deputy. Majukumu yake ni ku care household yake na welfare ya mume na watoto.

Kizungu mke ni partner tu ambaye anaishi na mume wakiwa wamezaa watoto! Mume ndio slave wa kubeba majukumu yote ndani mke na watoto. Mwanamke yeye hafanyi lolote yupo kwa ajili ya kulalamika anateswa tu!
 
Limwanaume lisilokuwa na huruma unapeleka wapi sasa[emoji57][emoji848]

Unakuta mwanaume anashindana na mwanamke yaan utafikiri vita ya Costco...ila wanaume wengine safi sana anajua kuhandle mwanamke na upuuzi wa kike anapotezea
Kuna wanaume wanaojielewa Hawa mind vitu vidogo sijui kubebewa maji sijui ku saviwa msosi kah in our family una jisevia, Sasa Hawa humu eti anavunja ndoa kisa mke alikuwa akitoka kazini hapiki Yani upendo unapimwa kwa kumugeuza mke house girl.
 
Hukumpenda kweli toka moyoni ulimpendea hela na connection baada ya kuingia ndoani ukajua kuwa ndoa ni zaidi ya hela, ikiwemo bond and chemistry hapo ndio ukachaganyikiwa.

Pole na move on with life maana inferiority ilikuwa inakusumbua
am so sorry
dizaini umekariri
 
Comment yako imejaa busara na ukomavu wa Hali ya juu bila shaka wewe ni zao unyago pamoja na malezi ya wazazi waliokuwa wanawajibika kwenye majukumu yao...... HONGERA SANA....
 
Nnavyotamani kuja kuwa na familia ya baba mama na watoto wetu tukiishi kwa upendo, then nikiona hizi shuhuda za kukosea kuoa naona mnaniconfuse sielewi.🤷‍♂️
Una confuse kitu gani? Wewe ni mam mfanyakazi je ukirudi home kwako hutataka kumtengea mumeo chakula? Mi nawashangaa sana wanawake wa humu😅.

Nina cousin ni auditor wa TRA na mumewe yuko TASAC. Walianzana jamaa akiwa senior auditor TRA baadae akahamishiwa TASAC. You can imagine uhasibu ulivyo demanding ila mwanamke wakirudi wote kazini anapika wanakula na watoto wao na dada wa kazi yupo lakini😅 saingine wanakuwa hawana dada!

Sijawahi sikia yule binti wa watu akilalamika eti kupika anachoka😅 yani ni aibu na fedhea ila kuna watu humu kufanya kazi ni kisingizio kikubwa😅
 
Kuna wanaume wanaojielewa Hawa mind vitu vidogo sijui kubebewa maji sijui ku saviwa msosi kah in our family una jisevia, Sasa Hawa humu eti anavunja ndoa kisa mke alikuwa akitoka kazini hapiki Yani upendo unapimwa kwa kumugeuza mke house girl.
Kabisa...Kuna wanaume mpaka unajiuliza hivi huyu tofauti yangu na yy ni nini?[emoji848]

Unakuta linajiliza liza linadeka deka mpaka unasikia kichefuchefu yaan!...halijui nini ya manhood kabisa, na hii ni mitoto ya kiume iliyodekezwa na wazazi wao! Huwa wana tabia chafu sana, mwanamke ukiingia hapo imekula kwako[emoji848][emoji848]
 


Huyo amerogwa na mchepuko asifurahie sex kwa mkewe.

Baadhi ya michepuko ndio ulozi wao siku hizi, ni watu wabaya sana!

Na hapo baada ya muda hiyo ndoa huenda ikavunjika sababu ya faraka ya hao michepuko.
 
Hapendi ila hana jinsi maana unaweza kuta mume ndio hao wa kuabudiwa. Ukimpa uhuru achague hizo kazi za nyumbani asingezigusa. Huyo mwisho wa siku kilo mgongo kumbe ni kushupaza shingo kutaka sifa ya mke wangu mchapakazi.
Ahahahah mfanyakazi yupo ila ndio ugeuke mlemavu? Hata kutenga chakula atenge yeye?
 
Katikati ya mstari naona una tatizo kubwa sana la kisaikolojia linalohitaji msaada wa haraka sana.... samahani kama umekwazika
 
Usiombe uchokwe mamawe hakuna rangi utaacha ona yaani mtu uishi nae miaka12 na ushee akulishe samaki na magamba[emoji848]we unaona ni sawa hii??unless kuna sehemu amevurunda ma ke akaona isiwe tabu utakula hivyohivyo bora liende
[emoji119][emoji119][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huyu itakuwa anakomoa kweli
 
Sijaoa ila naishi na pepo juzi nmesafiri tu kauza Friji narudi nauliza naambiwa nmeongezea naagiza cm hiv ndugu zangu ni sawa ..nahitaji kuanzisha Uzi ili mnipe ushauri wakuu...sijui niendapo.
Hahahhahaahahahaha huyo chumaulete mkuu piga nyama chini😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…