Ndivyo inavyotakiwa baba asimame km baba mpe baba majukumu yake,shida inaanza tunataka tujipendekeze Mara ufanye hiki,Mara kile automatically atajihis inferior tuu...labda aamue kukuomba umsaidie tena sio kila itokee kwa mwaka Mara 1 au Mara 2 hivi!
Pesa yako fanyia mambo yako au kama mnachanga hakikisha yeye amezidi kea kila hatua!!
Mfanye ajiskie baba ,ukitaka kujifanya wewe ndo mwenye uwezo Mara sijui ufanye hiki unnue kile rafiki ,mtakwaruzana tu atajiona hana thamani.
Muache Annue mpk kiberiti,hii Tabia ya kujifanya eti na miye naweza kwa kua na kazi inatugharimu then tunaonekana tuna kiburi tuna jeuri n.k..!!!
Msaidie inapobidi sio ubebe majukumu ya baba au Mme!hamtaelewna never ever....!!!!Ada wewe,pango wewe,Mara sijui kila kitu kaaah,na unamuambia kama huwezi baasi ntafanya mwenyewe...hii mbaya kabisaa ndo tunapofeli hapo!