Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Hata awe kilaza vipi haiwezi kuwa dhidi ya mwanamke. Wanawake hawajielewi na wanatumika tu kwenye agenda za watu wengine huko. Mwanamke anaejielewa kamwe hawezi shindana na mwanamme
Kuna mahala nimetaja kushindana?
 
Hahaaaa Dada Kelsea unakimbia ligi. Jamaa kakukomalia leo hadi ligi ipate mshindi
Afu hapa hakuna mashindano, yeye anataka nifute ninachokiamini nifate anachoamini yeye badala aje na hoja za kueleweka akaanza matusi, na mtu akishaanza kutukana najua kabisa akili yake ikoje naachana nae.
 
Brother, umeongea kitu kikubwa sana kwenye hiyo aya ya kwanza.
Hii kitu nimeshaishuhudia kwa macho yangu!
 
Sijui lakini.
 
Mwanamke ni kiumbe wa ajabu mno nje ya sex hakuna kitu kingine anachojivunia, kwa ufupi wanaume tunatumia gharama kubwa mno kwa hawa watu…

Kusingekuwa na neno sex wanawake wangekuwa na maisha magumu mno hapa duniani…
 
Huu Uzi una comments za makasiriko🤣🤣

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] punguza makasiriko.

Mwenzangu watu wamepasukiwa na nyongo hehee
Nadhani kama mna japo chembe ya busara mna kitu cha kujifunza kwenye uzi huu, hii ni research kamili ya ndoa nyingi zilivyo na tatizo ni wanawake.

Na hapo wanawake wa Kimachame wana special case yao ya kuuwa wanaume.
 
Mwanamke ni kiumbe wa ajabu mno nje ya sex hakuna kitu kingine anachojivunia, kwa ufupi wanaume tunatumia gharama kubwa mno kwa hawa watu…

Kusingekuwa na neno sex wanawake wangekuwa na maisha magumu mno hapa duniani…
Duniani watu wenye akili tayari wametengeneza sex toy, she can offer you anything you get from woman.

Halafu tatizo kubwa nimegunduwa ni hizi draya za Salon ndio zimeharibu ubongo wa wanawake wa toleo hili, mama zetu hawakuwa hivi.
 
Bora umenisaidia maana nmeona sina hata jibu la kumpa...

Wanawake wengi hatupendi kuambiwa ukweli na ndio kushindwa kwetu
Mama Samia akiwa makamu wa Rais alishawaambia wanawake yeye akiwa nyumbani na mume wake anapiga goti umakamu wa Rais anauacha mlangoni, ila wanajifanya wameweka pamba masikioni.

Mwanaume akiachana na mke ndio anaongeza siku za kuishi ili walielewe wanawake wote.
 
Nadhani kama mna japo chembe ya busara mna kitu cha kujifunza kwenye uzi huu, hii ni research kamili ya ndoa nyingi zilivyo na tatizo ni wanawake.

Na hapo wanawake wa Kimachame wana special case yao ya kuuwa wanaume.
Comment yako imeonwa na imesomwa
 
Mke Mwema anatoka kwa bwana
Hi kauli nimeitafakari sana... Kumbe haigusii wale walioachika😂

Zinahitajika hekima na busara kubwa Sana kupata mke sahihi.
#SIOI SURA ILA TABIA
 
Kwa shuhuda hizi nahamasisha tuliosingle bado tuongeze mitano 5 kwetu
Hili jambo ni very complicated, wakati tunaongelea mapungufu makubwa ya wanawake lakini ukumbuke pia ni vizuri kupata watoto kabla ya kufikisha miaka 35 ili uweze kuwapa haki yao ya msingi ya malezi na elimu bora.
 
Sasa tunafanyaje ndugu yangu😃
Ila mimi nahisi hizi shida zote za ndoa nyingi zinakuja sababu watu wanafunga ndoa ili wawe na ndoa tu labda sababu wamezaa au kwa kuangalia tu muonekano, elimu na pesa kumbe ndoa ni maisha yanayohusisha zaidi ya hayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…