Kelsea
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 14,564
- 34,341
Kuna mahala nimetaja kushindana?Hata awe kilaza vipi haiwezi kuwa dhidi ya mwanamke. Wanawake hawajielewi na wanatumika tu kwenye agenda za watu wengine huko. Mwanamke anaejielewa kamwe hawezi shindana na mwanamme