Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Inaonekana huyo mkeo alikuzidi Elimu na kipato.! Ni hatari sana mwanamke akuzidi hivi vitu na akuheshimu kama mume.!

Ndio maisha move on.!
Unaweza kumzidi kipato swali je kama kuna wana pembeni wana mhudumia pia sahau kuhusu kukuheshimu.
 
MADUNGA EMBE YA KIUME YAMEKOSEA KUOA [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] NAWAOMBEA NA NYIE MPATE MKE MWEMA KAMA WANGU DEAR KATUNGE
 
Oohh kwahiyo hata mwanaume awe na kipato kidogo kuliko mkewe bado atatakiwa kusimamia majukumu yake yote like kulipa bills na kumhudumia mkewe na watoto wake? Na asiulize kabisa kipato cha mke wake kinaenda wapi right?
Of course iko hivo
 
Wanawake hao ni wavivu
Kuna kitu kimoja wanawake wa siku hizi wanakisahau ndoa wanataka lakini majukumu ya ndoa hawayataki wana leta uzungu.
Mwanamke ukisha ingia kwenye ndoa tambua upo pale kwa ajili ya kumhudumia mumeo.
Hivi unaweza lalamika kwa kumlea mwanao. Eti kisa umetoka kazini ndio usipike. Kama ulikuwa hutaki hayo basi ungebaki kwenu
 
Mwanamke ni kiumbe wa ajabu mno nje ya sex hakuna kitu kingine anachojivunia, kwa ufupi wanaume tunatumia gharama kubwa mno kwa hawa watu…

Kusingekuwa na neno sex wanawake wangekuwa na maisha magumu mno hapa duniani…
na ndo maana ukitaka kuolewa kataa kusex na mwanaume wako mana akili za wadada zinaishiaga hapo.
 
Mkuu Vumilia
Kama haya unaongea hapa unayafanya nyumbani kwako mumeo amepata kitu chema sana

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Mnakoseaje kuoa wakati Mwanzo mlipendana,

mnapigiana simu usiku wa manane,

mnapostiana status na nyimbo za mapenzi.

mnaitana bebi,hakuna kama wewe duniani 🤣🤣

Mnaulizana kwa nini sikukupata mapema 🤣🤣

mnaitana majina yote Laaziz,ini mkalia nyong'o

Mnaleteana zawadi,kadi

Mnatoka out,mpk tunasema kweli wamependana na harusini tukaja,na michango tukatoa

Saiv mnalia lia mlikosea kuoa/kuolewa haya mambo hayataki mbwembwe oooh.Au Mlikua mnaigiza nini?Mambo ya kukimbilia kuoa bila kutulia yana madhara yake,

Ndoa nyingi za watu waliochelewa kuoa/kuolewa hua zimetulia sana

Ndio maana Mwanamke akiniacha hua simbembelezi arudi,Alieandaliwa na Mungu yupo.

Haya mambo Yanamhitaji Mungu zaidi kupita jambo lolote

Ndio maana mm mapenzi ya kupostiana postiana status naonaga ni ujinga 🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Yaani watu wanataka ndoa/kuoa/kuolewa kuliko maisha halisia ya ndoa yenyewe,Mwisho wa siku kilio na kusaga meno
Wengine walioa au kuolewa ili kufurahisha au kukomoa watu

Ambao hatujaoa/kuolewa tumtafute Mungu sana na tutulize akili sana
 
Very funny...kwanza nilimsomesha mwenyewe, anikamtafutia kazi alikuwa akilipwa mshahara chini ya laki 1,...nikaendelea kumpa maisha ,akaota mapembe... hajanizidi kwa chochote financially
😂😂😂kuna demu nae nilikua nae tulikua tukigombana ni anabishana huyo,

mara huna lolote

Ooh nina kazi yangu huniambii lolote,nikaona hapa hapanifai

Nilitoka nduki,saiv yupo na jamaa mmoja ni daktari sijui wanaendeleaje huko walipo

Na mwanzo alikua anajifanya ni mnyenyekevu,nikaona nijipe muda nimjue ila ni hatari sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…