Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Duh mm nishagomba mpaka nimechoka wife haingii jikon, nguo zangu anaxofua ni boxer tu tena nlikuaga nazifua mwenyewe nlifanya kumfosi, hapa najipanga nioe mke mdogo coz tuendako uzeeni atanitesa huyu
Tafuta hela wewe wacha kulalama. Weka washing mashine dish washer ndni ya nyumba hamtasumbuana labda sasa akunyime mbususu
 
Tafuta hela wewe wacha kulalama. Weka washing mashine dish washer ndni ya nyumba hamtasumbuana labda sasa akunyime mbususu
Kuna mwenzio huko mwanza nae alikua na pesa zake Ila kaishia kumchapa mtu risasi Saba kichwani so take care na hizo hela
 
Very funny...kwanza nilimsomesha mwenyewe, anikamtafutia kazi alikuwa akilipwa mshahara chini ya laki 1,...nikaendelea kumpa maisha ,akaota mapembe... hajanizidi kwa chochote financially

Mtu mwenye mshahara chini ya laki? Wewe kuna namna kweli una matatizo!
 
I bet lazima kuna mahusiano ya watu yamevurugika au kufa kabisa kutokana na huu uzi.

U can feel the anger, bitterness and regrets kwenye baadhi ya comments.

Some of the comments are funny tho[emoji23][emoji23][emoji23]... What an emotional rollercoaster.

Truth be told, kuna vingi mno vya kujifunza humu on how to be a better husband/wife or partner if we put our ego aside.
 
Kuna mwenzio huko mwanza nae alikua na pesa zake Ila kaishia kumchapa mtu risasi Saba kichwani so take care na hizo hela
Yeye alileta ujinga wakuoenda mie natumia hela kula mbususu...thats the difference
 
Unaweza fanya yote hayo lakini kama hajui dhamani ya mke hutapata chochote, kama Mungu kakujalia umempata Mme ambaye unamfanyia hayo na anadhamini mchango wako shukuru Mungu my dear.
 
Kusema kweli wanaume wenzangu wenye vipato kulilia kufuliwa nguo au kuwekewa maji bafuni ni utopolo mkubwa. Kuna mashine za kufua na bomba la mvua.
Cha msingi mke anatakiwa awe na heshima na asicheupuke ukajua. Ukijua amechepuka mpe talaka mapema sana.

Siri wanazotuambia wake za watu kipindi tunawanyoosha ni dharau sana kwa mumewe.
 
Umenifundisha,itabidi niwe mme bwege maana
 
kama nakuelewa hv mkuu
 
Hili ndilo ambalo hata mimi naweza kusema. Mtu kama hutaki kufanya majukumu ambayo wanawake wanatarajiwa wayafanye ndoani usiolewe ukae huru
 
H
Hahahahhahahah mzee umenichekesha sana kiukweli ni ngumu sana kumuelewa mtu anayesema alikosea kuoa au kuolewa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ labda kwa madomo zege ambao waliunganishiwa line
 
Huu uzi unakimbia marathon ya hatari, keep your comments coming, wasomaji tunakuhakikishia hatutakuangusha.
 
Comment ya mwaka hii kutoka kwa wanawake hapa jf😍😍😍😍
Wee financial services na Kelsea mpite hapa mpate kujua mnapaswa kufanya nini kwenye ndoa zenu
 
Ndoa ipi na umegoma kukamilisha mpango?πŸ˜‚ huo usia utunze hadi siku ukikamilisha ndiyo uje uniambieπŸƒβ€β™€οΈ
Wewe kesho saa saba mchana tukutane hapo johari rotana, nakuja na future hubby wako. Ana mihela huyo hatari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…