Ilankunda1234
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 4,841
- 4,797
Hiki kizazi kitakuwa sio cha maslei kwini aseeeHata mwanamke uwe na kipato kiasi gani housegirl hawezi kupika chakula chakula mme wangu labda kue na dharura au niwe mgonjwa
Housegirl hawezi kufua nguo ya mme wangu hata siku moja ni heri hata ninunue machine yakufulia kama nimetingwa sana lakini sio mikono yake iguse nguo za mme wangu hiyo ni big no to me
Housegirl hawezi kuingia hata chumba nacholala na mume wangu ...
Mwanamke mpumbavu huvunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe hata kama umesoma na una kipato kiasi gani.....mfanye mumeo ajue umuhimu wako katika maisha yake hata akisema akuache hatoacha kukumbuka mazuri yako maishani mwake...
Ndoa za leo zinafeli sababu ya sisi wanawake kujifanya tunataka usawa na wanaume ....je maandiko yanasemaje juu ya ndoa (iheshimiwe na watu wote) ....sasa itaheshimikaje kama wewe mwenyewe hutataka kuheshimu ndoa yako .....
Nje ya mada.
Humu ndani tumeitana tuliokosea kuoa. Hawa wakina mama mnafata nini?
Hamtaki hata tupumue jamani