Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Hiki kizazi kitakuwa sio cha maslei kwini aseee


Nje ya mada.

Humu ndani tumeitana tuliokosea kuoa. Hawa wakina mama mnafata nini?

Hamtaki hata tupumue jamani
 
vipi mkuu bado speed ni ile ile 120
Mkuu Kwa kweli mambo bado yako 100% 😀😀😀 ukiachana na changamoto ndogo ndogo za kawaida !! Nilichogundua mimi ndo nnaishi kwa kutegeshea labda kwa ajili ya matukio ya kimahusiano na watu wengine ,ila mwenzangu aseee anajiamini mbaya kazama mazima ! Labda nije nizingue mwenyewe
 
DUH USIOMBE KUKOSEA KUOA BORA UKOSEE KUZALIWA...
Dah nilijichanganya nikaoa a Corporate lady ambaye alikuwa mwanasheria kule Arusha, alikuwa ana vihela flani na connections za watu wazito ndani ya bongo....duh acha kabisa!!!

😂😂😅
Corporate lady, ni kama jike dume tu..
Inakuwa kama wanaume wa2 mnaishi geto🙄
 
Tabu watu wanapretend sana, hata kwa miaka kadhaa wakishaingia ndoani ndiyo tabia halisi zinaonekana!!

Pia, wife materials au husband materials huwa hawaonekani sababu ya aina ya maisha wanayoishi, utulivu, staha, nidhamu na kumjua Mungu!! Wengi tunakutana kwenye harakati na kuoana, ila wake/waume wanakuwa na maisha yanayofanya wasionekane kabisaa!!
 
Kilio ni kilio tu, tena cha kwenye Range huenda kikawa na masimango zaidi hujui tu😂
Sasa mbona mie nilivyokutongoza ulinipiga kibomu cha buku 30 nilivyoshindwa ndio hutaki kisikia mtongozo wangu kabisaaa🤣🤣🤣🤣
 
Teh eti slay queen! Nitoe kwenye hilo kundi kwanza madam!

Okay kwahiyo mwanamke anapotoka huko kazini anakuwa hachoki? Stress anazokutana nazo mwanaume huko kazini mwanamke hakutani nazo siyo?
Umeongea ukweli kabisa wanaogopa kuachika.
 
Author wa hii post apewe ulinzi kabisaa! Wanawake kama huyu vumiliag sijajua wanapatikana chimbo gani aise😊
 
Nungaiiyembe naona unafundisha mambo ya ndoa wakati huna ndoa.
Nyie wadangaji ndo mnaharibu ndoa za wenzenu aisee.
Ulianza kwa kumtuhumu mtoa mada kwamba alipenda hela na connection za mkewe hakumpenda
Jamaa alivyojibu sasa umehamia kwamba mkiwa na kazi sababu wanaume wamekimbia majukumu bs mambo ya nyumban hamuwez kufanya

Sjui unamuona jamaa hamnazo eeeh mpk anasema hayo maana yake ameona mkewe alikuwa anaweza kutimiza kbs mbona wapo wamama wengi tu wameolewa na waume zao tena wote wanafanya kaz moja mfano ya ualimu bt wanaishi vema kbs na mke anatimiza majukumu yote kama mke ndani na familia haina dada wa kaz watoto wanakwenda shule wanarudi jioni hakuna tatzo
Nungaiiyembe ww
 
Hata mwanamke uwe na kipato kiasi gani housegirl hawezi kupika chakula chakula mme wangu labda kue na dharura au niwe mgonjwa
Wanawake kama wewe nafikiri hamzidi 3%....humu JF mijanamke mingi haiwezi kukuunga mkono kwa sababu wanataka mashindano na sisi wanaume
 
Hakika tujadiliane kwa kina ili ambao bado hawajaoa wasirudie tulichofanya. Hakika kosea kujenga nyumba ila sio kuoa. Jamaa yangu alimuona mwanamke mrembo(30) akamuoa bila kuchunguza kilichokufanya asiolewe mpaka akagonga 30. Sasa anajuta mpaka namuonea huruma.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…