Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Are you a learned? Pamoja na mapungufu ya maelezo ya mtoa mada, wanasheria wanawake ni kazi sana kuendana nao katika ndoa
 
Wewe ndiyo umeshindwa kutumia akili ....watz wana akili ndogo sana 😢 wewe ni mfano tosha
 
[emoji3][emoji3] Nina mwezi mmoja toka nimefunga ndoa! Mnanitisha wakongwe! Tunavyopendana speed 120 kumbe kuna siku litashuka sitaki kuamini [emoji1787]
Miaka mitatu sasa mwanetu.
Upo humu utoe feedback? ile 120 ipo vilevile?
 
Pole kwa mkasa na hongera kwa ujasili. Japo nashauli ungetaja miaka walioanzia, maana wa miaka ya nyuma hawako hivi. Ila, wale wanaojifanya kutetea haki zao, kisa OscarOscarJr anawasema,wangemuacha,kila anachokiongea ni kweli.

Kuna mzee mmoja,alisomesha kibinti,badae akakioa. Kazaa,mtoto tu mmoja. Kwa hali ya kwao na mwanamke,alijaza mji ndugu zake, na mwanaume hakujali,aliwalea bila kuwabagua. Chuo kasomeshwa,badae kapata kazi serikalini,alikuwa mwanamke anaestahili. Badae,acha apate kazi kwenye shirika binafsi. Na ahamie Dar! Tembea ikibadilika,mavazi yakabadilishwa,mama mlokole,siku hizi anavaa vipedo na suruali za kubaana matako. Umri si chini ya 45. Majuzi,mzee wa watu katokea mkoani anajua anafikia kwake,aliishia lodge. Hahitajiki tena.

Bahati nzuri kajaliwa vishughuli vyake,anapata kidogo kidogo, maisha atayaendesha ajuavyo,lakini ndo kama hivo. Mshahara umeongezeka,unajiona wa kisasa, mmeo aliyekupigania mpaka huko uliko,ni takataka tuuu. Haya,asanteni wanawake. Na binti zenu hujifunza kupitia matendo yenu.
 
Are you a learned? Pamoja na mapungufu ya maelezo ya mtoa mada, wanasheria wanawake ni kazi sana kuendana nao katika ndoa
“Are you a learned? ” mmmh!!! Haya. Tuachane na hayo

My point is hakuna mwanamke difficult hata ushindwe mdhibiti as a real man,

Shida huja pale tunapo msujudu huyu mwanamke na kujihisi dhaifu mbele yake, na kwakufanya hivyo ndo ile sura ya uanaume hujivuka ndani yako,,,

Watu wanaoa ma president huko, sembuse mwanasheria? Ukitaka mwanamke akiendeshe atakuendesha tuu, ukitaka kuwa voiceless ndani ya nyumba utakuwa hivyo…

Na uanaume sio kipiga piga mwanamke km ngoma, mpaka ukifikia hapo jua kabisa kuna pahala ulibugi since day one..

Muumba alisema tuishi nao kwa akili watu hawa, km akili yako ndogo watakushinda tuu
 
Wewe kwa akili hizi ndio huwezi kuishi na mwanamke kabisa.
 
 
Oh japo kila kitu kishaharibika lakini ndoa hii pia wewe umechangia kuiharibu,hakuna kukosea kuoa kwasababu kila mtu ana dosari,hakuna perfect wife or husband,jinsi nyinyi mlioana mbaumia kuishi
 
Wewe ndiyo umeshindwa kutumia akili ....watz wana akili ndogo sana 😢 wewe ni mfano tosha
Watz wakiwemo wewe babako na mamako ee safi sasa toa hoja acha personal attacks af sku zote ulikuwa wapi uje kujibu leo yasiyokuhusu kukoza kazi nako ni kazi pole. Linda marinda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…