Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Exactly na ndivyo inatakiwa kabisaa..Sahiho haswa Muache akomae mwenyewe,we andika tu atajua anapataje na umuombe na pesa ya pedi muombe! Yeye ndo ananipanda Mimi hvyo afanye tu!
 
Atii Kutandika kitanda
 
Ila nimeshangaa sana mke hata kumpikia mume wake tuu inakuwa ni big deal eti kisa na yeye katoka kazini!!! Real!! Yaani na makichen utilities yote kwa ajili ya kurahisisha kazi za jikoni bado mtu anakuwa mvivu!! Chaaaa!
Mimi binafsi I like cooking haswa kwa Mme au mpenzi wangu na sijiskiigi vibaya kukaa jikoni na ndo nikichoka napika chai kwa muelewa anaelewa.
Hvyo sio wote wako kama huyo mke,shida ni moja tu,mwanamke akishaanza beba majukumu ya baba ndo mambo yanakua hovyoo!
 
Bravo.
 
Tudumishe Ndoa guys mambo n mengi kwa watoto

Ukiwez kuw busy na watoto wako na mkeo yupo atakama hakup attention wew endelea tuu na maish

Sent from my vivo 2015 using JamiiForums mobile app
 
Hizo type sijui ni za wapi jamani?

Wakati hata dini inasema mume amsaidie mke wake kazi za ndani.

Sasa usiombe huyu mwanamme aumwe na wanavyojua kujilegeza. mxxieu.
 
Mwanaume kubebewa majukumu sio sawa japo kuna ups and downs za hapa na pale ila haipaswi kusaidiwa iwe life style. Ila serious usiache kumpikia mume wako labda ibidi.
 
Ni hulka ya mtu wapo wenye madegree wanafanya hayo mambo!
Mimi nna Dada angu anamtreat mmewe kama wamekutana juzi na ana degree yake na kazi yako,akifika nyumbani cha kwanza mumewe...!
Wapo jamani!wapooo!
Shida moja tu ukitaka mke akuheshimu na kukujali usiruhusu abebe majukumu yako!
 
Kuoa Mwanamke Mwanasheria kunataka kujipanga aisee wengi ni jeuri viburi wanadai wanajua haki zao na ni wabishi. Utakuta wengi ni singo Maza na jamaa yangu nae alikimbia nyumba akaacha na watoto wa wawili mke wake alikuwa Lawyer.
 
Comment yako imejaa busara na ukomavu wa Hali ya juu bila shaka wewe ni zao unyago pamoja na malezi ya wazazi waliokuwa wanawajibika kwenye majukumu yao...... HONGERA SANA....
Ni ukweli ambao tunaukataaa...mi Dada angu hata kama Luku imeisha anamuambia mmewe bwana tuko gizani huku!baasi Mme ananunua umeme mpk kiberiti ananunua!!!

Shida tunataka usawa na wanaume wakati hatuwezi hata 1%wazungu mwenyewe yanawatesa sana hayo mambo.Mke ni mke na Mme ni Mme period!
Anaempanda mwenziwe ndo mwenye ukuu.
 
Degree ya sheria inamaana mwanamke kajiandaa kuwa mwanasheria, sasa kwann aache sheria akalee mwanaume?

Labda kama akikosa hiyo nafasi ya kupractise law, ila ni ngumu sana mtu aache carrier yake ili akuandalie maji ya kuoga.

Ukitaka uhakika wa kulelewa nenda kaoe mwanamke wa kawaida ambaye maisha kwake ni kuwa na mume na kulea watoto ila ukitaka mwanamke mpambanaji mwenye carrier yake basi achana na mambo ya kuandaliwa maji.
 
Na shida inaanzia hapa... Mwanamke abebe majukumu ya mama, mwanaume abebe majukumu ya baba, not vice versa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…