Yaani mimi naandikaga bajeti ya chakula mwezi mzima, malipo ya dada, king'amuzi, gas, umeme, matumizi ya dada kama pads mafuta matumizi ya watoto , hela ya saloon na lotion hela za kila week za mbogamboga na maziwa.
On top of that ninaomba pesa yangu binafsi ya matumizi kila mwezi, nikitaka kutoa out na vijana anapewa mkeka wake.
Huwezi kumsikia akilalamika sababu ni majukumu yake kwetu.
Nami natimiza majukumu yangu kama mama.
On top of that house chores ananisadia hasa jumamosi tunapokuwa wote home lengo lake ni vijana wetu wajifunze kujihudumia kujipikia walau chai ĺna waweze kujihudumia, usafi wa vyumbani mwao na miili yao.