Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Yaani mimi naandikaga bajeti ya chakula mwezi mzima, malipo ya dada, king'amuzi, gas, umeme, matumizi ya dada kama pads mafuta matumizi ya watoto , hela ya saloon na lotion hela za kila week za mbogamboga na maziwa.
On top of that ninaomba pesa yangu binafsi ya matumizi kila mwezi, nikitaka kutoa out na vijana anapewa mkeka wake.

Huwezi kumsikia akilalamika sababu ni majukumu yake kwetu.
Nami natimiza majukumu yangu kama mama.

On top of that house chores ananisadia hasa jumamosi tunapokuwa wote home lengo lake ni vijana wetu wajifunze kujihudumia kujipikia walau chai ĺna waweze kujihudumia, usafi wa vyumbani mwao na miili yao.
Exactly na ndivyo inatakiwa kabisaa..Sahiho haswa Muache akomae mwenyewe,we andika tu atajua anapataje na umuombe na pesa ya pedi muombe! Yeye ndo ananipanda Mimi hvyo afanye tu!
 
Kuna wanaume asili yao unyanyasaji.
Kuna dasa aliwahi sema mumewe akimaliza kupui haflash ananawa huyo mwanamke ndo aflash.Imagine mtu wa hivyo???
Kuna wanaume wao wanachelewa kuamka lakini ataamka utakuwa umeshamuandalia chai maji nguo n.k lakini kutandika tu kitanda hawezi anasubiri mke atandike.

Yaaani mwingine mnaweza kurudi wote home saa 4 usiku inabidi useme mnunue chakula mkifika mlale tu anagoma eti apikiwe??kweli saa 4 ufike na kuanza kupika??
Yaani kina vitu vidogo vya ubinadam tu lakini vinakosesha nyumba amani.
Atii Kutandika kitanda
 
Ila nimeshangaa sana mke hata kumpikia mume wake tuu inakuwa ni big deal eti kisa na yeye katoka kazini!!! Real!! Yaani na makichen utilities yote kwa ajili ya kurahisisha kazi za jikoni bado mtu anakuwa mvivu!! Chaaaa!
Mimi binafsi I like cooking haswa kwa Mme au mpenzi wangu na sijiskiigi vibaya kukaa jikoni na ndo nikichoka napika chai kwa muelewa anaelewa.
Hvyo sio wote wako kama huyo mke,shida ni moja tu,mwanamke akishaanza beba majukumu ya baba ndo mambo yanakua hovyoo!
 
Nakubaliana na wewe. Changing a woman’s perspective and attitude requires deep psychological influence.

I have done it and as we speak, nina nimeoa mke wapili mzungu, anamtambua na kuheshimu mke mwenzake vilivyo yet she (mzungu) is also a cooperate woman and she does all household chores which she wasn’t good at in the beginning.

Mwanamke anahitaji mwanaume mwenye kujitambua, msimamo, maono thabiti ya maisha na uwezo wa kusimamia anachokiamini. Huyo ndo mwanaume anayeweza kusimamisha familia na kumkalisha mwanamke chini hata kama ni wa daraja gani.

It is simply psychology.
Bravo.
 
Tudumishe Ndoa guys mambo n mengi kwa watoto

Ukiwez kuw busy na watoto wako na mkeo yupo atakama hakup attention wew endelea tuu na maish

Sent from my vivo 2015 using JamiiForums mobile app
 
Wanaume wengi when it comes to house chores ndiyo huwa wanajifanya wako primitive na conservative kutaka mke afanye kila kitu kwa mikono yake na wengine ndiyo hawataki atumie hata mashine! Ukija angalia ni utumwa tu uliojificha chini ya mwamvuli wa heshima kwa mume na bla blah kibao!
Hizo type sijui ni za wapi jamani?

Wakati hata dini inasema mume amsaidie mke wake kazi za ndani.

Sasa usiombe huyu mwanamme aumwe na wanavyojua kujilegeza. mxxieu.
 
Mimi binafsi I like cooking haswa kwa Mme au mpenzi wangu na sijiskiigi vibaya kukaa jikoni na ndo nikichoka napika chai kwa muelewa anaelewa.
Hvyo sio wote wako kama huyo mke,shida ni moja tu,mwanamke akishaanza beba majukumu ya baba ndo mambo yanakua hovyoo!
Mwanaume kubebewa majukumu sio sawa japo kuna ups and downs za hapa na pale ila haipaswi kusaidiwa iwe life style. Ila serious usiache kumpikia mume wako labda ibidi.
 
Ulitaka mwenye degree na akili ya biashara halafu unataka asitumie degree yake na uwezo wake kutafuta biashara akuandalie maji ya kuoga??[emoji1787][emoji1787][emoji1787]....

Kuna mwenzako kaachana na mkewe sababu huwa hapokelewi begi akitoka kazini[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ukitaka ufanyiwe hayo mambo ya kuwekewa maji ya kuoga achana na wanawake akili kubwa, oa wanawake wa kawaida wa kiswahili tena wale Wapenda taarabu n.k, wale huwa ni waoga wa kuibiwa mume, utaogea mpaka maji yenye iliki.
Ni hulka ya mtu wapo wenye madegree wanafanya hayo mambo!
Mimi nna Dada angu anamtreat mmewe kama wamekutana juzi na ana degree yake na kazi yako,akifika nyumbani cha kwanza mumewe...!
Wapo jamani!wapooo!
Shida moja tu ukitaka mke akuheshimu na kukujali usiruhusu abebe majukumu yako!
 
Kuoa Mwanamke Mwanasheria kunataka kujipanga aisee wengi ni jeuri viburi wanadai wanajua haki zao na ni wabishi. Utakuta wengi ni singo Maza na jamaa yangu nae alikimbia nyumba akaacha na watoto wa wawili mke wake alikuwa Lawyer.
 
Comment yako imejaa busara na ukomavu wa Hali ya juu bila shaka wewe ni zao unyago pamoja na malezi ya wazazi waliokuwa wanawajibika kwenye majukumu yao...... HONGERA SANA....
Ni ukweli ambao tunaukataaa...mi Dada angu hata kama Luku imeisha anamuambia mmewe bwana tuko gizani huku!baasi Mme ananunua umeme mpk kiberiti ananunua!!!

Shida tunataka usawa na wanaume wakati hatuwezi hata 1%wazungu mwenyewe yanawatesa sana hayo mambo.Mke ni mke na Mme ni Mme period!
Anaempanda mwenziwe ndo mwenye ukuu.
 
Ni hulka ya mtu wapo wenye madegree wanafanya hayo mambo!
Mimi nna Dada angu anamtreat mmewe kama wamekutana juzi na ana degree yake na kazi yako,akifika nyumbani cha kwanza mumewe...!
Wapo jamani!wapooo!
Shida moja tu ukitaka mke akuheshimu na kukujali usiruhusu abebe majukumu yako!
Degree ya sheria inamaana mwanamke kajiandaa kuwa mwanasheria, sasa kwann aache sheria akalee mwanaume?

Labda kama akikosa hiyo nafasi ya kupractise law, ila ni ngumu sana mtu aache carrier yake ili akuandalie maji ya kuoga.

Ukitaka uhakika wa kulelewa nenda kaoe mwanamke wa kawaida ambaye maisha kwake ni kuwa na mume na kulea watoto ila ukitaka mwanamke mpambanaji mwenye carrier yake basi achana na mambo ya kuandaliwa maji.
 
Mimi binafsi I like cooking haswa kwa Mme au mpenzi wangu na sijiskiigi vibaya kukaa jikoni na ndo nikichoka napika chai kwa muelewa anaelewa.
Hvyo sio wote wako kama huyo mke,shida ni moja tu,mwanamke akishaanza beba majukumu ya baba ndo mambo yanakua hovyoo!
Na shida inaanzia hapa... Mwanamke abebe majukumu ya mama, mwanaume abebe majukumu ya baba, not vice versa.
 
Back
Top Bottom