Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Inferiority complex Ni ugonjwa sugu kwa wanaume tulio wengi..! Tunahitaji kunyeyekewa na kuheshimiwa hvi vitu vikikosekana ndani tuna Anza unganisha dot..!
Sasa kuhitaji kuheshimiwa na kunyenyekewa ndio inferiority complex? Pole Sana Rudi kwenye dictionary ,ni wajibu wa mwanamke kufanya hivyo ila alishindwa lazima mwanaume alinde status yake kwa gharama yeyote.
 
huwa naangalia harusi za vijana wa kileo kwenye social platforms za ma-MC maarufu wa kibongo.

naangalia vipande vya video zikionyesha maharusi wanavyoingia ukumbini kwa mbwembwe, bashasha na mikogo yote. kimoyomoyo nasema hiiiii(kwa sauti ya marehemu magufuli).
 
100% correct! Hii comment ipelekwe maktaba ya taifa tafadhali. Haina bias kama za wanawake wengi waliocomment, kila mmoja anavutia kwake
 
[emoji23][emoji23] hii yako hatari but you will be free with ur life style
 
Mkuu, pole sanaa...

Ndoa inahitaji moyo wa chuma na uvumilivu wa kipimo cha kujaaa hata kumwagika.
Hii inakuwa sio ndoa, ni mateso sasa. Ndoa is meant to be a safety haven for the couple, changamoto zipo ila sio kwa kiwango hiki, ukiona mmefikia level hii jua hakuna ndoa hapo.
 
Pole sana mkuu. Najaribu kuelewa kitu kilichopelekea mke akabadilika. Wapo wanaofanya kazi maeneo kama hayo na bado wanaishi vizuri tu na waume zao. Dharau au kiburi huanza anapokuwa anatoka na mtu nje ya ndoa, shida huanzia hapo.
 
Kwa hiyo hapo atafanya nani?
 
Vingi ninavo share vinatokea kwenye jamii yangu na watu ninao wa fahamu maana NAMI ni sehemu ya jamii I must know, pia we came from different backgrounds so kila siku ni lessons Kwa vitu mbalimbali, hata hizi experience ka za mleta mada zipo zinakuta wengi just because ya kushindwa kuelewana ni nini partner wako anataka, na vilevile binadamu kinacho tu cost ni kutaka watu wazima wenzetu waishi kwenye roadmap zetu kilazima lazima misundestanding itokee watu hawataki kuchukulia madhaifu ya wengine ka watu wazima wataka mtu Aishi jinsi mtu anavyo waza yeye something which is difficult.
Above all hamna kitu kinachotesa wanaume sikuhizi ka inferiority complex kwenye mahusiano Yao wao walilelewa kuamini ni provider Sasa akipata mwanamke independent msomi na mwenye kila kitu huua confidence yake, vilevile wanaume bado mnataka turudi zama za maisha ya dark ages while we are in 21 century mie namshangaa mwanaume anayelalamika eti mke wangu yuko busy hanifulii nguo wakati sikuhizi kuna washing machine, sijui haoshi vyombo nowdays Kuna dish washing, why umtese binadamu mwenzako hata asipumzike kisa ndio umuone mke
 
Duuh..pole sana.
Ila hapo kwenye samaki na kuku kuna mbadala.
Sidhani kama kuna ulazima wa yeye kukwarua samaki na kukata vinyeo, unless otherwise mnawavua wenyewe..
Wanaowauzia wanaweza fanya hayo mkipenda
Kukata vinyeo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…