Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Dah Yani mimi nimetoka na wewe kazini hunihurumii eti nikupie, sijui nibebe maji huko ni kuchoshana jamani, hyo ya nguo kufua nikununua tu machine hamna namna, hyo ya msosi weekend mtu waweza pika. Sasa mume asiyekuhurumia na kukugeuza kijakazi hafai

Basi endelea kua 40 years old senior single mother na hata hivyo at 40 who the fck wants to marry you ?! Hii mada hata sio kwa ajili yako grandma !!
 
Mitizamo yako ya kijinga inakutambulisha ww ni Mwanamke wa aina gani, mwanaume anaye lijua neno la Mungu hana upuuzi kama wenu.
 
Teh mkuu na wanaume wenye hivyo "vijielimu ushuzi na vijiajira mshenzi" nao tuwaiteje? Au wanaume ambao hata hivyo tu hawana kabisa na wameoa nao tuwaiteje?
 
Nnavyotamani kuja kuwa na familia ya baba mama na watoto wetu tukiishi kwa upendo, then nikiona hizi shuhuda za kukosea kuoa naona mnaniconfuse sielewi.🤷‍♂️

Mbona simple tu kua na happy marriage boss. Kama wewe ni me usioe a corporate bitch, kama wewe ni mwanamke na ni kicorpate au career woman ooh sorry you messed up your life bitch.
 
Kwa mwanaume lazima uwe na Vielement vya ubinafsi, dharau, roho mbaya, chuki nao kidogoo kwa wanawake na Kuwachukia kidogo ndipo utawaweza...

Umemaliza mkuu...

Sex kwa mwanaume ni trap... Ukiweza Control tamaa ya utelezi... Basi Furaha yako itakuwa kubwa sana Duniani....

Sex imekuwa overrated sana tofauti na miaka ya nyuma. Watu wanafanya vitu hadi vya ajabu ilimradi tu apate utelezi...na ndio haohao huingia kwenye trap hio.
 
Na kama anafanya yote hayo mwanamke anakwenda kwenye kiajira kufanya nini ?! Au ndo umalaya wenu tu, au ndo ufeminist mavi au vyote ?! Shenzi
Si unaona sasa? Mnataka msaidiwe maisha halafu bado mpikiwe mfuliwe!
 
Maana yake mwanamke wa hivyo lazima awe mama wa nyumbani sasa vijana wengi wanataka kusaidiana maisha ndipo shida ilipo!

Nafikiri hii pia ni tatizo kubwa sana kwa sasa...

Vijana wanashindwa ku-handle the so called Empowered women.. At the same time wanataka vitonga...
Ngumu sana hii Dunia ya siku hizi..
 
Hawa viumbe hawana formula
 
Hivi hamuwezi kusaidiana hizo kazi kwa pamoja huyu ashike hiki na huyu ashike hiki mmalize haraka mambo yaende? Kama mnaona hamuwezi hayo basi ndiyo mkubali wake zenu waajiri housegirls bila kuleta siasa za kijinga eti oo housegirl afanye kila kitu wakati mke yupo nigga are you for real?
 

Nimeshtushwa na idadi kubwa ya wanaume wenye mtazamo kwamba wanawake wameshindikana
Najiuliza hivi ni kweli hawa ndio wale waumini wa imani zetu ambao wengi wao wanajua nafasi waliyopewa Mungu? Mbona kama wanakwepa kuvaa viatu vyao

Ninachoamini mimi mwanaume akiwa mwanaume kwenye nafasi yake haya maneno na lawama zitapungua. Haikanushiki kwamba Mwanaume ni kichwa cha familia na kiongozi wa mke wake...Mwanamke anahitaji kuongozwa, kupendwa na kutunzwa huku akirudisha heshma na shukrani kwa mwanaume

Heshma ya mwanaume inagharamiwa na mwanaume mwenyewe. Haiombwi
 
Kuoa tunaridhika tu na kuvumiliana...hakuna kupatia ndio maana unachepuka kidogo mara moja moja...heheh
 

Na kama mashine inaweza kufua vizuri which is right na kama chakula anaweza kupika domestic helper then NDOA YA KAZI GANI. Si mwanamke aishi peke yake na licorporate shit lake na mume aishi kivyake bila kuoa atahudumiwa na domestic helper.

KAMA HAMUWEZI KUMUHUDUMIA MUME MNATAKA MUOLEWE ILI IWEJE IDIOTS ?!
 
Nilimkuta akiwa hana ishu mkuu.....kuanzia shule mpaka kuanza kazi ...ila akaja kuota mapembe baadaye

Kwani kumsomesha mkeo si yalikua mapenzi!? Kwani yeye kakufanyia mangapi yanayozidi hata huko kusomeshwa, tena ambavyo hata akisema akudai gharama yake hailingani na pesa🤔

Mkipendana pendaneni kweli, peaneni maisha bila kuwazia kuachana na hii itaongeza thamani ya upendo wenu.

Huku kukumbushana gharama ni roho mbaya na unyanyasaji
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Uliniambia ninywe soda ila hukusema idadi, sasa mimi kosa langu nini jamani[emoji2369][emoji2369][emoji2369]
Sasa hapo itabidi tu mmalizane na mangi kiutu uzima kwa kweli [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mitizamo yako ya kijinga inakutambulisha ww ni Mwanamke wa aina gani, mwanaume anaye lijua neno la Mungu hana upuuzi kama wenu.
Hao wanaume wanaolijua neno la Mungu wako wangapi mbona unaongea kana kwamba ni wengi sana au wote? Hawa hawa ambao wanataka kusaidiana maisha na mwanamke ndiyo unasema wanalijua neno la Mungu?
 
Nilipokosea kuoa hahaha haaaa haka ka mada kanagusa weng sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…