Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Hao wanaume wanaolijua neno la Mungu wako wangapi mbona unaongea kana kwamba ni wengi sana au wote? Hawa hawa ambao wanataka kusaidiana maisha na mwanamke ndiyo unasema wanalijua neno la Mungu?
Hamna mwanamke wa Kitanzania anayejua maana ya neno KUSAIDIANA na ndio maana hata hiyo 50/50 mnayo ililia hamjui maana yake ni nini kwa kifupi nyie wenyewe hamjui mnataka nini.

Ndio maana hata Mungu alituagiza tuishini nanyi kwa akili.
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ndoa nyingi zinafuka moshi wale wenye moyo Kama wangu vuteni subira kidogo,

Hawa wanandoa wa humu kiwango chao cha hasira kimevuka mstari

Tatizo kubwa kila mmoja anaona kakamilika kuliko mwenzie
 
[emoji23][emoji23][emoji23]

Kwakweli mkuu hata mimi sikubaliani na hawa Ke!

Mwanamke lazima ufanye kazi zote za ndani hata kama ni boss huko nje na mbususu umtengee mume kila akihitaji, mwanaume ni kichwa cha nyumba bana

cariha
Vyote hivo nifanye mwanaume yeye ana relax tu na k umpe ukifika kitandani napo hana nguvu
 
Ila kuna watu wanapenda wake zao wachakae..!! Kikubwa majukumu ya Nyumbani yafanyike.

Nitapika weekend na nitafua weekend nikipata muda.

Weekdays ni chakula cha mdada usipokula umeshiba....

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nitaita mtu kwa ajili ya hyo kazi why nijichoshe wakati naweza mpa mtu afanye nimpe hela
 
Ana shida sana Yani kosa la mwanamke wake anatumalizia hasira wanawake wote humu jamani, kweli Kuna watu wamepinda na huo ukorofi ndio ulimharibia mahusiano
 
Yeye ndo alikosea kuolewa na wewe.

Corporate women are not for the weak men.

Only Alphas can and believe me, a man can change a woman only if he is man enough.
Wrong. Alpha males don't marry they sleep with many women because the attract alot of attention plus they don't and can't keep.

Simps do that ...... Simps settle down.
 
Uvivu kwa mtoto wa kike ni ugonjwa mbaya kichizi
 
Hayo yanaweza kuwa madogo kwako ila kuna watu huvunja mahusiano sababu ya hayo hayo mambo. Kuna ambao wame still complain juu ya hayo hayo mambo!

Kuhusu house chores ndio lazima muangalie alternatives kama beki 3 ili kujipunguzia mzigo cause majukumu still yanakuwa ni yako regardless unafanya kazi au hufanyi.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wanaume wenyewe akina Extrovert hawaaaa!! Weeh hata ubinuke sarakasi kuteseka kuko pale palee. Tukaeni tu miguu juu, turelax.
Sie tunatulizana mbona huwa hatuna kilanga kabisa ikiwa huduma zinatolewa kikamilifu😅!
Mchawi ni uvivu tu ukiuruhusu lazma ile kwa dereva.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…