Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 30,567
- 86,748
Sawa UstadhHuwa nawaza mtoto wa kiume unakubali vipi kusaidiwa na Mwanamke kutafuta pesa ? Wanawake dhaifu sana,ndiyo maana aliye waumba akawaambia mbaki manyumbani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa UstadhHuwa nawaza mtoto wa kiume unakubali vipi kusaidiwa na Mwanamke kutafuta pesa ? Wanawake dhaifu sana,ndiyo maana aliye waumba akawaambia mbaki manyumbani.
Hamna mwanamke wa Kitanzania anayejua maana ya neno KUSAIDIANA na ndio maana hata hiyo 50/50 mnayo ililia hamjui maana yake ni nini kwa kifupi nyie wenyewe hamjui mnataka nini.Hao wanaume wanaolijua neno la Mungu wako wangapi mbona unaongea kana kwamba ni wengi sana au wote? Hawa hawa ambao wanataka kusaidiana maisha na mwanamke ndiyo unasema wanalijua neno la Mungu?
Na tuliokosea kuolewa tunacomment hapahapa au?
Ni shida tena hao wa nyumbani huchepuka Hadi na wauza gengeHalafu ndio wanaongoza kwa visiran na umbea kwa waume zao duh nimwendo wakusutana
Nitachangia mifuko mitano ya cement kwenye huo ujenzi.
Huyu atakuwa kabaki peke yake duniani.[emoji23][emoji23][emoji23], Kanishusha pumzi ujue...sie wengine tunafua, tunapika, tunawabeba kuwapeleka bafuni, tunawakanda, mbususu tunatoa saa 24 na matukio tunapigwa...
Vyote hivo nifanye mwanaume yeye ana relax tu na k umpe ukifika kitandani napo hana nguvu[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwakweli mkuu hata mimi sikubaliani na hawa Ke!
Mwanamke lazima ufanye kazi zote za ndani hata kama ni boss huko nje na mbususu umtengee mume kila akihitaji, mwanaume ni kichwa cha nyumba bana
cariha
Na kuoa nyoka... Mbele ya safali akabadilika na kua samaki, inawezekana!? [emoji848]Unaweza kuoa Samaki mwanzoni lakini akageuka nyoka huko mbeleni,hivyo hupaswi kujilaumu kwa sababu wewe ulioa samaki hukuoa nyoka.
Ila kuna watu wanapenda wake zao wachakae..!! Kikubwa majukumu ya Nyumbani yafanyike.
Nitapika weekend na nitafua weekend nikipata muda.
Weekdays ni chakula cha mdada usipokula umeshiba....
Nitaita mtu kwa ajili ya hyo kazi why nijichoshe wakati naweza mpa mtu afanye nimpe helaHivi chakula kikiiva unaweza kwenda kumwambia mumeo chakula tayari au utamuacha aje akumbane nacho bahati mbaya?
Mama una jiekti hutaki any house chore,hiyo kataa kataa yako,siku masink na mabomba yamepasuka machooni,ni kazi ya nani kufanya?Akikwambia na wewe ukazibe utaweza au unatufunga kamba tu hapa?
Ndio inawezekana lakini ile tu kuona kwamba huyu ni nyoka kujifariji kwamba atageuka kuwa samaki ni ngumu.Na kuoa nyoka... Mbele ya safali akabadilika na kua samaki, inawezekana!? [emoji848]
Naam.Sawa Ustadh
Kwani wewe unataka mke au chef?Sasa bibie kama unaona hivyo vidogo vidogo vina uwa ladha ya mahusiano vipi hili kubwa la Mwanamke kutopika au kutompikia mumewe ?
Ana shida sana Yani kosa la mwanamke wake anatumalizia hasira wanawake wote humu jamani, kweli Kuna watu wamepinda na huo ukorofi ndio ulimharibia mahusianoMkuu huyu siyo mara yake ya kwanza tushakutana na comments zake za hivyo na wengi walishamreport mara nyingi tu! Na anajisifia kabisa kuwa hata mkinireport nitapigwa ban then nitafunguliwa nitarudi tena kuwatukana kama kawaida na hata akipigwa life ban atafungua id nyingine!
Guy's a real psychopath
Wrong. Alpha males don't marry they sleep with many women because the attract alot of attention plus they don't and can't keep.Yeye ndo alikosea kuolewa na wewe.
Corporate women are not for the weak men.
Only Alphas can and believe me, a man can change a woman only if he is man enough.
Uvivu kwa mtoto wa kike ni ugonjwa mbaya kichiziRole yake kama mwanamke ni lazima aitimize,mimi ni mwanaume na yeye ni mwanamke,yanayotakiwa kunifanyia ni lazima anifanyie,hii habari ya kusema nimechoka mwisho wake itahamia kitandani nako utaanza kunipangia.Kwa mwanamke anayejitambua huwezi kukuta ana visingizio,na kama unavyosema wengi wa aina hiyo inakuwa ni wavivu tu by nature...
Hayo yanaweza kuwa madogo kwako ila kuna watu huvunja mahusiano sababu ya hayo hayo mambo. Kuna ambao wame still complain juu ya hayo hayo mambo!We naye jamani hujioni kama ni wewe peke yako ndiyo unayelalamikia hayo ya kutengewa chakula sijui kupewa glass ya maji hayo mbona ni madogo tu ama umeona katika mabishano yote haya kuna mwanamke amelalamika kuhusu hayo? Wenzako wanataka eti mwanamke afanye kazi na bado ahudumie mume 100% yaani ampikie aoshe vyombo amfulie asafishe nyumba na ndicho tunachojaribu kupinga hapa!
Sie tunatulizana mbona huwa hatuna kilanga kabisa ikiwa huduma zinatolewa kikamilifu😅![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wanaume wenyewe akina Extrovert hawaaaa!! Weeh hata ubinuke sarakasi kuteseka kuko pale palee. Tukaeni tu miguu juu, turelax.
Kazi nzuri jipooze na pepsi bigi bill kwanguNafikiri hiki kikao nilidoji[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]