Kumbe unaelewa vyema tu😅 kwamba kumtii mume sio ombi ni amri,,,sasa kwanini mna complain kuombwa huduma ndogo ndogo tu zakawaida. Na mwanamke mvivu kwenye mambo madogo madogo huanza hivyo mpaka mwisho kutoa gemu anaanza kuleta zengwe!Aahh hapana aise! Hata ninyi wenyewe hamuwezi kutimiza majukumu yenu kwa mwanamke asiyekutii wala kukuheshimu!
Most of dees hoes like in-house democracy.Kuna wanaume take these things serious
Binafsi I dont care who cooked that shit
Kinachoniudhi ni pale anaponiletea ujinga wa kitchen politics na mimi zinihusu
Kuna mshikaji wangu mmoja yeye asipoambiwa "chakula tayari" basi hali halafu ugomvi wake hauna mwisho
People are different aisee and some people take these things very very serious,I dont know inatokea wapi,nadhani society ndio imeleta haya,its the one to blame!
Kwahio ukilipwa million na kazi za home hufanyi😅 hebu acha mapepe mtt mzuri!We naye jamani hujioni kama ni wewe peke yako ndiyo unayelalamikia hayo ya kutengewa chakula sijui kupewa glass ya maji hayo mbona ni madogo tu ama umeona katika mabishano yote haya kuna mwanamke amelalamika kuhusu hayo? Wenzako wanataka eti mwanamke afanye kazi na bado ahudumie mume 100% yaani ampikie aoshe vyombo amfulie asafishe nyumba na ndicho tunachojaribu kupinga hapa!
NGOMEKONGWE2021 - Tupo wengi, kiongozi. Mie pia watoto 4 kama wewe. Miaka 12 ya ndoa. Mama wa nyumbani. Tatizo hawezi kujifunza kitu.
Kila siku ni shida tupu ndani ya nyumba. Mfano, hawezi kutoa magamba ya samaki yakaisha yote kabla ya kumpika samaki. Chakula anavyonunua kwenye supermarket, ndivyo navyokipika!
Anaweza kupika nyama ya kuku na kinyeo chake ama bado kuna kiasi fulani cha vinyoya!! Hata nikimweleza vipi, akili yake haishiki!! Hataki niwafundishe watoto. Nikiwakosoa watoto kwa namna ya kuwafundisha, anakuja juu.
Watoto wananiona mimi shetani na yeye malaika. Amejenga chuki kati yangu na watoto ambao bado ni wadogo tu. Sijawahi kumpiga ama kuchepuka lakini nilikwisha mwambia kuwa tungekuwa tunaoa mara ya 2, nisingemuoa tena. Sina hamu tena hata ya kulala naye.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aiseeeMbona wanaume tulisha kubaliana hapa ndani kwamba hakuna kuoa...[emoji53]
Siku kuu ya uhuru mwaka huu ningekuwa president ningeidediketi kwako. You're so sweetHakuna mwanamke asiyependa kumdekeza mumewe apatapo nafasi, ila inategemea kwa mama mfanyakazi kama atapata muda jioni ni vizuri kupika na kumtengea mume ila ikitokea amechelewa kurudi labda , mume amuelewe na asicomplicate maisha kama dada yupo basi atasaidia kupika, ila mimi sitopenda dada amsevia mume wangu chakula ntajitahidi nimsevie mwenyewe ama ajisevie mwenyewe.
Ila on weekends kupika ni lazima mama mjengo nioneshe maujuzi jikoni harufu nzuri nyumba nzima hadi baba mjengo aseme leo kaingia mama mwenyewe jikoni rahaa.😀
Ila wanaume nyie mnadeka sana eti tuwatengee chakula, maji ya kuoga wakati mlivokua single mlikua mnasugua hadi sufuria na michanga na kubeba madumu ya maji, ila ghafla umeoa basi umegeuka mtotoo huwezi hata kusogeza maji ya kuoga bafuni🤪. Ila fresh tu tunawapenda hivo hivo watoto wetu.
Wadau,
Nimekuja kugundua nilikosea kuoa baada ya kukaa kwenye ndoa miaka 15 na kupata watoto wanne. Dah nilijichanganya nikaoa a Corporate lady ambaye alikuwa mwanasheria kule Arusha, alikuwa ana vihela flani na connections za watu wazito ndani ya bongo....duh acha kabisa!!!
Niliku
Inakera sana mtu unayebishana naye anapoanza kuleta point zenye kumake senseTofauti ipo kubwa sana mkuu hata ninyi wanaume huwa mnatimiza majukumu yenu kulingana na uwezo wenu kiuchumi! Hivi na sisi tungesema "mbona kuna wanaume wanawanunulia wake zao simu za million 2 mimi wangu ananinunulia za laki 4" ingekuwaje maana msifikiri kwamba ni pesa tu ndiyo ngumu kupatikana mjue hata muda nao ni mgumu kupatikana vile vile kwa mke aliyeajiriwa full time!
Aaaaaaaah!! Hatudanganyiki[emoji1787][emoji1787]Sie tunatulizana mbona huwa hatuna kilanga kabisa ikiwa huduma zinatolewa kikamilifu[emoji28]!
Mchawi ni uvivu tu ukiuruhusu lazma ile kwa dereva.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Inakera sana mtu unayebishana naye anapoanza kuleta point zenye kumake sense
Haya lete pesa ya mangi!Kazi nzuri jipooze na pepsi bigi bill kwangu
Umeongea kama mama, mke, mfanyakazi na mzazi. Sasa jiandae tunatafuta third born haraka[emoji23][emoji23]Oooh!! Hapo sasa ndio tunarudi kule kwa kuchokana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mtu ulomchoka hata kumuongelesha unaona taabu, hata akiongea point wewe unamuona kilaza tu!
Aaah we, nyonga ishagoma[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Umeongea kama mama, mke, mfanyakazi na mzazi. Sasa jiandae tunatafuta third born haraka[emoji23][emoji23]
Jiandae next ovu kitu ndani ya nyumba. Halafu nimemiss zile keki, fanya hii weekend kakeki kamoja tu.Aaah we, nyonga ishagoma[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hao wawili wanatutosha jamani.
Hiyo next ovu nitakuwa naumwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Jiandae next ovu kitu ndani ya nyumba. Halafu nimemiss zile keki, fanya hii weekend kakeki kamoja tu.
Huwa ukiamua kutukasirisha na kutuita mafurushi natamani uchezee kelbu moja ya kwenda, Ila huu uandishi unaonyesha sikukosea hata kidogo mama watoto. Leo breakfast naandaa mimi[emoji23][emoji23]
Pesa pitia geto hapaHaya lete pesa ya mangi!
Ebu rudia tena...kazi ya mke ni nini? 🤣🤣🤣🤣 Fanya fasta bwana uje nikuwowe maana tutaendana. Kwanza mie wala kula sio ishu mighahawa na mama ntilie wamejaa kibao. Sie kubwa ni kuvuana kyupi tuuKwani wewe unataka mke au chef?
Maana kazi ya mke kugegedwa na kuzaa hizo nyingine ni hisani tu
Hata hakunishika kalio bali alinibusu shingoni kwenye zile pingili mbele za watu imagine[emoji134][emoji23][emoji23][emoji23] hupendi kushikwa kalio?
Unanichekeshaga na hilo neno furushi[emoji16][emoji16][emoji16][emoji38]Hiyo next ovu nitakuwa naumwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yo word is my command darling, keki umepata.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa tutafanyaje jamani, tunawapenda hivyo hivyo na ufurushi wenu.
Mambo si ndio hayo baby[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kichwa kama parachichi!Pesa pitia geto hapa