Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Aahh hapana aise! Hata ninyi wenyewe hamuwezi kutimiza majukumu yenu kwa mwanamke asiyekutii wala kukuheshimu!
Kumbe unaelewa vyema tu😅 kwamba kumtii mume sio ombi ni amri,,,sasa kwanini mna complain kuombwa huduma ndogo ndogo tu zakawaida. Na mwanamke mvivu kwenye mambo madogo madogo huanza hivyo mpaka mwisho kutoa gemu anaanza kuleta zengwe!
 
Kuna wanaume take these things serious

Binafsi I dont care who cooked that shit

Kinachoniudhi ni pale anaponiletea ujinga wa kitchen politics na mimi zinihusu

Kuna mshikaji wangu mmoja yeye asipoambiwa "chakula tayari" basi hali halafu ugomvi wake hauna mwisho

People are different aisee and some people take these things very very serious,I dont know inatokea wapi,nadhani society ndio imeleta haya,its the one to blame!
Most of dees hoes like in-house democracy.

Kiuhalisia hamna demokrasia baina ya mume na mke ila kuna order system. Wanaume tuko different kila mmoja ana namna ya kuendesha mambo katika familia yake. Mwanamke yapaswa awe flexible tu ili kuendana na utaratibu anaowekewa na mumewe on how she handle her business!

The ones who aren’t flexible ndio watalalamika kuonewa sijui eti wanatumwa sana wamechoka😅 mehn das stupid as fuqq.
 
We naye jamani hujioni kama ni wewe peke yako ndiyo unayelalamikia hayo ya kutengewa chakula sijui kupewa glass ya maji hayo mbona ni madogo tu ama umeona katika mabishano yote haya kuna mwanamke amelalamika kuhusu hayo? Wenzako wanataka eti mwanamke afanye kazi na bado ahudumie mume 100% yaani ampikie aoshe vyombo amfulie asafishe nyumba na ndicho tunachojaribu kupinga hapa!
Kwahio ukilipwa million na kazi za home hufanyi😅 hebu acha mapepe mtt mzuri!
 
NGOMEKONGWE2021 - Tupo wengi, kiongozi. Mie pia watoto 4 kama wewe. Miaka 12 ya ndoa. Mama wa nyumbani. Tatizo hawezi kujifunza kitu.

Kila siku ni shida tupu ndani ya nyumba. Mfano, hawezi kutoa magamba ya samaki yakaisha yote kabla ya kumpika samaki. Chakula anavyonunua kwenye supermarket, ndivyo navyokipika!

Anaweza kupika nyama ya kuku na kinyeo chake ama bado kuna kiasi fulani cha vinyoya!! Hata nikimweleza vipi, akili yake haishiki!! Hataki niwafundishe watoto. Nikiwakosoa watoto kwa namna ya kuwafundisha, anakuja juu.

Watoto wananiona mimi shetani na yeye malaika. Amejenga chuki kati yangu na watoto ambao bado ni wadogo tu. Sijawahi kumpiga ama kuchepuka lakini nilikwisha mwambia kuwa tungekuwa tunaoa mara ya 2, nisingemuoa tena. Sina hamu tena hata ya kulala naye.

Pole sana kama ni kweli anayafanya hayo hapo huna mke
 
Hakuna mwanamke asiyependa kumdekeza mumewe apatapo nafasi, ila inategemea kwa mama mfanyakazi kama atapata muda jioni ni vizuri kupika na kumtengea mume ila ikitokea amechelewa kurudi labda , mume amuelewe na asicomplicate maisha kama dada yupo basi atasaidia kupika, ila mimi sitopenda dada amsevia mume wangu chakula ntajitahidi nimsevie mwenyewe ama ajisevie mwenyewe.

Ila on weekends kupika ni lazima mama mjengo nioneshe maujuzi jikoni harufu nzuri nyumba nzima hadi baba mjengo aseme leo kaingia mama mwenyewe jikoni rahaa.😀

Ila wanaume nyie mnadeka sana eti tuwatengee chakula, maji ya kuoga wakati mlivokua single mlikua mnasugua hadi sufuria na michanga na kubeba madumu ya maji, ila ghafla umeoa basi umegeuka mtotoo huwezi hata kusogeza maji ya kuoga bafuni🤪. Ila fresh tu tunawapenda hivo hivo watoto wetu.
Siku kuu ya uhuru mwaka huu ningekuwa president ningeidediketi kwako. You're so sweet
 
Wadau,

Nimekuja kugundua nilikosea kuoa baada ya kukaa kwenye ndoa miaka 15 na kupata watoto wanne. Dah nilijichanganya nikaoa a Corporate lady ambaye alikuwa mwanasheria kule Arusha, alikuwa ana vihela flani na connections za watu wazito ndani ya bongo....duh acha kabisa!!!

Niliku

Sasa kama mlikua hamuelewani hao watoto wanne sio haba unepataje; sidhani kama umefanya vema kumuacha au ilikua sawa kuwa unampiga

Ulitakiwa kufanya upelelezi ili tu uwe na uhakika ; je anachelewa ni vikao vya kazi ; marafiki au Mabwana ?!?
Kama ukiridhika hafanyi hivyo ili kufaanya umalaya ni kujifunza kumvumilia

Moja ya hatua ni kutafuta subsititution ; usimfuatilie ; hakikisha watoto wako vizuri ; weka wafanyakazi ; tumia vizuri muda mchache mtakaokuwa pamoja ; wape watoto mapenzi makubwa mwisho utaona tofauti kwani ni kama atajiona yuko peke yake ; mambo yaanaenda na kuanzia wewe hadi watoto mkonkama vile hayupo na mwisho hakikkisha malezi ya kiroho yanzingatiwa iwe kwenda na watioto kanisani au msikitini

Watoto wanne ni wengi fikiria kumkaribisha tena muishi hata kama itabidi kila mmoja na room yake
 
Tofauti ipo kubwa sana mkuu hata ninyi wanaume huwa mnatimiza majukumu yenu kulingana na uwezo wenu kiuchumi! Hivi na sisi tungesema "mbona kuna wanaume wanawanunulia wake zao simu za million 2 mimi wangu ananinunulia za laki 4" ingekuwaje maana msifikiri kwamba ni pesa tu ndiyo ngumu kupatikana mjue hata muda nao ni mgumu kupatikana vile vile kwa mke aliyeajiriwa full time!
Inakera sana mtu unayebishana naye anapoanza kuleta point zenye kumake sense
 
Oooh!! Hapo sasa ndio tunarudi kule kwa kuchokana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mtu ulomchoka hata kumuongelesha unaona taabu, hata akiongea point wewe unamuona kilaza tu!
Umeongea kama mama, mke, mfanyakazi na mzazi. Sasa jiandae tunatafuta third born haraka[emoji23][emoji23]
 
Umeongea kama mama, mke, mfanyakazi na mzazi. Sasa jiandae tunatafuta third born haraka[emoji23][emoji23]
Aaah we, nyonga ishagoma[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hao wawili wanatutosha jamani.
 
Aaah we, nyonga ishagoma[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hao wawili wanatutosha jamani.
Jiandae next ovu kitu ndani ya nyumba. Halafu nimemiss zile keki, fanya hii weekend kakeki kamoja tu.

Huwa ukiamua kutukasirisha na kutuita mafurushi natamani uchezee kelbu moja ya kwenda, Ila huu uandishi unaonyesha sikukosea hata kidogo mama watoto. Leo breakfast naandaa mimi[emoji23][emoji23]
 
Jiandae next ovu kitu ndani ya nyumba. Halafu nimemiss zile keki, fanya hii weekend kakeki kamoja tu.

Huwa ukiamua kutukasirisha na kutuita mafurushi natamani uchezee kelbu moja ya kwenda, Ila huu uandishi unaonyesha sikukosea hata kidogo mama watoto. Leo breakfast naandaa mimi[emoji23][emoji23]
Hiyo next ovu nitakuwa naumwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yo word is my command darling, keki umepata.

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa tutafanyaje jamani, tunawapenda hivyo hivyo na ufurushi wenu.
Mambo si ndio hayo baby[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
 
Kwani wewe unataka mke au chef?
Maana kazi ya mke kugegedwa na kuzaa hizo nyingine ni hisani tu
Ebu rudia tena...kazi ya mke ni nini? 🤣🤣🤣🤣 Fanya fasta bwana uje nikuwowe maana tutaendana. Kwanza mie wala kula sio ishu mighahawa na mama ntilie wamejaa kibao. Sie kubwa ni kuvuana kyupi tuu
 
[emoji23][emoji23][emoji23] hupendi kushikwa kalio?
Hata hakunishika kalio bali alinibusu shingoni kwenye zile pingili mbele za watu imagine[emoji134]

Huo ukunga niliopiga najionea aibu hadi sasa hivi

Na nimeamini kuwa kulowana ni dakika hata kama ulikuwa huna mpango wa kutoa utatoa tu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji38][emoji38]
 
Hiyo next ovu nitakuwa naumwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yo word is my command darling, keki umepata.

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa tutafanyaje jamani, tunawapenda hivyo hivyo na ufurushi wenu.
Mambo si ndio hayo baby[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Unanichekeshaga na hilo neno furushi[emoji16][emoji16][emoji16][emoji38]
 
Back
Top Bottom