Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

[emoji23][emoji23][emoji23]hongera umenielewa kwa hyo issue, hivi kweli mumetoka wote kwenye majukumu mumechoka then mume unataka chakula Cha mkeo akusongee ugali saa sita kisa hutaki chakula kilichopikwa na mwingine does it make sense kweli?
I understand kinachotesa watu wengi ni vile wamekulia makabila Yao Sasa wakioa makabila mengine hivo vitu hawafanyi wanaona wanawake ni jeuri kumbe hivo ni vitu vya kawaida tu kwao. In short ni Bora tu muoanane watu wenye same culture au kabila inapunguza migogoro na ndoa kufa.
Mie vitu vingi kweli na nilipokuwa nakua nikiona waja walalamika naona wanadeka tu, kikwetu hamna mambo ya uboss, kila mtu yuko busy na uchakarikaji wa maisha ni nadra ukute mtu ana lalamika.
[emoji23][emoji23] Hyo ya wanaume wadogo uongo bana wanawake wakichaga akili huwaza hela kuliko nyegezi bwana
 
Mkuu sifui nguo aisee naweka kwenye machine huko, hata kuogesha na delegate power Mimi, aisee kwanini nijitese wakati I can pay someone to assist me, Yani nijichoshe makazi yote ya nini aisee, Mimi in nature sipendi kujichosha sana bana,
You pay her to ASSIST, kumbe ni msaidizi si ndio, duties za msaidizi sio unambebesha zigo lote la nyumba yako. Atafua, atapika, atadeki, atafanya kazi Ila kumbuka the "home" is yours, majukumu ni yako sio yake.

Fanya kazi acha uvivu, halafu ujue mwanamke mvivu kufanya kazi za ndani ni naturally mchafu inside out, naturally hata sex hawezi/hapendi, mtu akiwa active na kazi za ndani automatically anakuwa msafi na hata 5x6 anaimudu vizuri.
 
Umepiga Kwenye Mshono Yaani Kidonda Hakitapona
Ndiyo Ukweli Wenyewe Wenyewe
Nasema Uongo Ndugu Yangu
Msema Kweli Mpenzi Wa Mungu






Comment Chachu Sana Hii
 
Si kweli kufanya kazi ka punda sio kigezo Cha usafi, usafi ni hulka tu ya mtu, Yani na watoto watatu au wanne, niwafanyie hayo, yote, nipike, nideki bado watoto hawajalia nijichoshe Ili nionekane mke mwema never kwa kweli naamini kwenye ku delegate powers, maisha mafupi kujitesa better find two nannies, na siwezi acha kufanya kazi ya kuingiza hela niwe busy na kazi za nyumbani siwezi kabisa aisee
 
[emoji23][emoji23][emoji23]hongera umenielewa kwa hyo issue, hivi kweli mumetoka wote kwenye majukumu mumechoka then mume unataka chakula Cha mkeo akusongee ugali saa sita kisa hutaki chakula kilichopikwa na mwingine does it make sense kweli?
Huo ni utoto! lazima ujue kuwa mke ni mwenzi siyo mhudumu. Kabla ya kutoka nyumbani lazima mama ajipange, atamweleza housegirl jinsi ya kuandaa chakula. Kama ni kusonga maugali, ataampigia simu housemaid asonge mapema na mkifika upo mezani.

Si muhimu kuwa muoane kabila moja. Kikubwa ni kutengeneza mfumo wa maisha yenu. Kutafuta formular za kuishi.
Nikupe mifano!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…