Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Mimi namuelewa sana cariha ndivyo wachagga walivyo. I can assure you, angalia sana wanawake 60 and above Wachagga hasa wamachame wanaishi bila waume zao. Na ukitaka kufanya utafiti wa kutosha, utagundua kua wanawake wengi wenye hela wa Kichagga wanatembea na vijana wadogo tangu huko mgombani hadi mijini. Huwa hawana aibu hao.

Aidha ukikuta couple yenye mama wa kichagga ambazo ni 50+ na wanaishi wote happily, angalia mwenye sauti ni Mama; na nyumba ile ni ndugu wa mama wamejazana kibao. Wa mwanaume hawasogei pale. Matamanio ya wanaume wengi hata katika uzi huu unayaona na kweli mtoto wa kichagga akitaka kuolewa atakubali ila kadri siku zinavyosonga anabadilika na ndipo utakuta mwanaume anaigia jikoni kupika
[emoji23][emoji23][emoji23]hongera umenielewa kwa hyo issue, hivi kweli mumetoka wote kwenye majukumu mumechoka then mume unataka chakula Cha mkeo akusongee ugali saa sita kisa hutaki chakula kilichopikwa na mwingine does it make sense kweli?
I understand kinachotesa watu wengi ni vile wamekulia makabila Yao Sasa wakioa makabila mengine hivo vitu hawafanyi wanaona wanawake ni jeuri kumbe hivo ni vitu vya kawaida tu kwao. In short ni Bora tu muoanane watu wenye same culture au kabila inapunguza migogoro na ndoa kufa.
Mie vitu vingi kweli na nilipokuwa nakua nikiona waja walalamika naona wanadeka tu, kikwetu hamna mambo ya uboss, kila mtu yuko busy na uchakarikaji wa maisha ni nadra ukute mtu ana lalamika.
[emoji23][emoji23] Hyo ya wanaume wadogo uongo bana wanawake wakichaga akili huwaza hela kuliko nyegezi bwana
 
Mkuu sifui nguo aisee naweka kwenye machine huko, hata kuogesha na delegate power Mimi, aisee kwanini nijitese wakati I can pay someone to assist me, Yani nijichoshe makazi yote ya nini aisee, Mimi in nature sipendi kujichosha sana bana,
You pay her to ASSIST, kumbe ni msaidizi si ndio, duties za msaidizi sio unambebesha zigo lote la nyumba yako. Atafua, atapika, atadeki, atafanya kazi Ila kumbuka the "home" is yours, majukumu ni yako sio yake.

Fanya kazi acha uvivu, halafu ujue mwanamke mvivu kufanya kazi za ndani ni naturally mchafu inside out, naturally hata sex hawezi/hapendi, mtu akiwa active na kazi za ndani automatically anakuwa msafi na hata 5x6 anaimudu vizuri.
 
Hapana

Takwimu zinaonesha tofauti

Jamii za wazungu mimba za utotoni ni nadra

Jamii za kizungu wana idadi kubwa ya ku-graduate from college

The highly school performers are whites

Blacks are twice as highly to break the law...

Black kids are most highly to end up with single parent

Black kids are late or totally dont know how to read and write.....

Failure ya Maadili ya Waafrika na kinachotokea Africa huwezi walaumu watu wa mabara mengine...Ni kosa letu wenyewe na utamaduni wetu mbovu

Since wanadamu wote ni sawa,tofauti ni culture,culture nzuri ndio inayoleta jamii bora yenye maendeleo zaidi ya ingine..na culture mbaya inaleta jamii ya hovyo na isiyo na maendeleo

Tatizo tunalia na kujifanya victims wa kila kitu na mtu wetu wa kusingizia ni mzungu...mimi siamini huu upumbavu

Nachojua in the course of 4 bilion years of human existence,kuna jamii zilionewa na zikajitahidi zikarudi juu zikawa dominant again,na hii inakutiwa kwa kuacha kulalamika na kufanya kazi na kujenga culture imara
Umepiga Kwenye Mshono Yaani Kidonda Hakitapona
Ndiyo Ukweli Wenyewe Wenyewe
Nasema Uongo Ndugu Yangu
Msema Kweli Mpenzi Wa Mungu

Comment Chachu Sana Hii
 
You pay her to ASSIST, kumbe ni msaidizi si ndio, duties za msaidizi sio unambebesha zigo lote la nyumba yako. Atafua, atapika, atadeki, atafanya kazi Ila kumbuka the "home" is yours, majukumu ni yako sio yake.

Fanya kazi acha uvivu, halafu ujue mwanamke mvivu kufanya kazi za ndani ni naturally mchafu inside out, naturally hata sex hawezi/hapendi, mtu akiwa active na kazi za ndani automatically anakuwa msafi na hata 5x6 anaimudu vizuri.
Si kweli kufanya kazi ka punda sio kigezo Cha usafi, usafi ni hulka tu ya mtu, Yani na watoto watatu au wanne, niwafanyie hayo, yote, nipike, nideki bado watoto hawajalia nijichoshe Ili nionekane mke mwema never kwa kweli naamini kwenye ku delegate powers, maisha mafupi kujitesa better find two nannies, na siwezi acha kufanya kazi ya kuingiza hela niwe busy na kazi za nyumbani siwezi kabisa aisee
 
[emoji23][emoji23][emoji23]hongera umenielewa kwa hyo issue, hivi kweli mumetoka wote kwenye majukumu mumechoka then mume unataka chakula Cha mkeo akusongee ugali saa sita kisa hutaki chakula kilichopikwa na mwingine does it make sense kweli?
Huo ni utoto! lazima ujue kuwa mke ni mwenzi siyo mhudumu. Kabla ya kutoka nyumbani lazima mama ajipange, atamweleza housegirl jinsi ya kuandaa chakula. Kama ni kusonga maugali, ataampigia simu housemaid asonge mapema na mkifika upo mezani.

I understand kinachotesa watu wengi ni vile wamekulia makabila Yao Sasa wakioa makabila mengine hivo vitu hawafanyi wanaona wanawake ni jeuri kumbe hivo ni vitu vya kawaida tu kwao. In short ni Bora tu muoanane watu wenye same culture au kabila inapunguza migogoro na ndoa kufa.
Si muhimu kuwa muoane kabila moja. Kikubwa ni kutengeneza mfumo wa maisha yenu. Kutafuta formular za kuishi.
Mie vitu vingi kweli na nilipokuwa nakua nikiona waja walalamika naona wanadeka tu, kikwetu hamna mambo ya uboss, kila mtu yuko busy na uchakarikaji wa maisha ni nadra ukute mtu ana lalamika.
[emoji23][emoji23] Hyo ya wanaume wadogo uongo bana wanawake wakichaga akili huwaza hela kuliko nyegezi bwana
Nikupe mifano!!
 
Back
Top Bottom