Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Nimekuelewa sana the problem watu wanataka wanaume wafanane kitu ambacho sio rahisi and also wanataka wanawake wafanane which is very difficult

Mimi kumpelekea mpenzi maji sioni tabu hata kidogo mpk akitaka kumuogesha,kumfulia boxers,kwangu ni vitu vidogo tena haviwezi nikwaza au kumpikia chakula,kufua Mimi ndo mvivu sana ila najitahidi kidogo!

Na nkuambia hakuna usawa kati ya jinsia hizi mbili katika ndoa hata siku moja kuna moja itazidi tu!kutaka usawa ndo shida inaanzia hapo
 
Achana na Hako ka mwanamke Ni kajinga kana mdomo mchafu Sana ..! Ukisoma anacho andika hum Ni utumbo wa kitimoto tu
[emoji23][emoji23] shirima aibu yako kukimbiwa na mke sababu ya ulevi na kushindwa kumgegeda Vizuri very shame, Mimi sura yangu personal ndio najikubali sio nyie mnashindwa kugegeda wake zenu na hamna hela[emoji23][emoji23][emoji23] mwanaume machine.
 
Teh akusifie? Watakuambia akusifie nini wakati hilo ni jukumu lako ila wao wanataka tuwe na shukurani hata wakitimiza majukumu yao!
Sijui Kama hawaijui hii Siri au wanajisahaulisha? Mbona huwa wanatongoza Kwa maneno matamu Hadi tunaingia king?
Waswahili Wana msemo "ukitaka kumtuma mwana WA mwenzio msifie"
Leo niwape challenge, warudi majumbani wasifie chakula cha wake zao, Ila wahakikishe kimepikwa na wake zao, kisha waone yajayo Kama hayatafurahisha.
 
Unajifanya kutoa ushauri hapa lakin inawezekana wewe ni msimbe na singo maza, na hauoleki ( Nungayembe)
[emoji23][emoji23][emoji23]una makasiriko ya kukosa hela na kushindwa kugegeda mke wako mkuu jirekebishe utafte hela uache matusi na makasiriko huku JF.
Mchawi hela tu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23]una makasiriko ya kukosa hela na kushindwa kugegeda mke wako mkuu jirekebishe utafte hela uache matusi na makasiriko huku JF.
Mchawi hela tu[emoji23][emoji23][emoji23]
Acha kupotosha watu wewe...na kuwalisha tabia zako chafu wasiolewe kama wewe wazalie nyumbani
 
Hisia zako tu hizo mkuu Yani mtoto wa primary anajua umuhimu wa usafi sembuse Mimi mtu mzima ninayefanya kazi aisee nitake radhi mtu anayetumia JF asijue umuhimu wa usafi wa kawaida tu, mbona matusi ya nguoni hayo maana hayo sija include kwa mjadala mana usafi ni kitu Cha kawaida ka kuoga hakihitaji mjadala
 
Walaa sina sifa zote hizo, Nina mapungufu yangu Ila nashukuru huyu Baba anajua kunichukulia, mfano huyo mdau aliyelalamika mke hawezi kusafisha kuku, Mimi nimezaliwa mazingira ya kimasikini, nimekua sijui kunyonyoa kuku wala kumkatakata, ukitaka kuku unaenda sokoni unatengenezewa...
Nimeolewa tumeenda kuishi mkoani hakuna huduma ya kutengenezewa kuku, Ila mume wangu alikuwa ananyonyoa, anamkata na atamchemsha...Mimi ataniachia kumuunga mchuzi....so unaona udhaifu wangu kaubeba, tumeepusha vinyongo.
 
Pesa ya mwanamke unaijua? Hata km sina hata 100 mbovu, siwezi kuomba pesa ya mwanamke.
Wanaume wenzangu, usitegemee msaidiane maisha na mwanamke. Km mwanamke ataamua yeye Sawa ila usimlazimishe. Utakuja kudharirika siku moja mpk ujishangae. Wanawake ni viumbe wabinafsi sana.
Unanunua kiwanja, unajenga nyumba au kununua gari, kataa mwanamke kuweka pesa yake hapo hata km ni 50. Utakuja lia
Ila tukumbuke kuishi nao vizuri.
 

Don't panic basi mkuu, sikuongelei wewe personally. Naongelea mtu anayeona shida kufanya kazi za ndani, mtu mvivu automatically ni mchafu...uvivu na uchafu go hand in hand mkuu, hilo lipo wazi mbona.

Kwamba kwa vile mtu anatumia jf basi automatically ni msafi, you're not serious kabisa. Hujasikia wanasema mtu anaenda chooni anasubiri wife aflash baada ya yeye kufanya yake? Kwamba jf ni kipimo cha mtu kuwa mstaarabu, you're not serious. Uchafu hauangalii exposure, uchafu ni tabia inayosababishwa na uvivu.
 
Point. [emoji3577]
 
Sija panic too me Yani eti kuongelea usafi wa kawaida tu eti kujiweka smart na arrangements ya nyumba mbona ni vitu vya kawaida tu wanawake wengi wanafanya wa mjini hata kijijini so hyo sio big issue sana Hadi useme eti ni case kubwa, Kuna watu hawafanyi usafi na nyumba zao clean msicremishe maisha eti vile wewe una fanya kwa mikono mwingine akatuma mtu afanye si usafi.
Nimeishi mkoa tofauti na Dar kule watu wanafanyiwa usafi na kupangiwa nyumba na kupikiwa Hadi kufuliwa mtu ukirudi kazini kila kitu kiko safi na nyumba ina meremeta sana.
Mtu kutokufanya kitu doesn't mean sio msafi au vile mpaka mtu ateseke ndio muone ndo life.
 
Teh watakuambia uliona wapi kiongozi akaendelea kupiga kampeni hata baada ya kuchaguliwa? Hayo yote wameshaambiwa ila wanashupaza shingo tu!
 
Msimbe na singo maza mwingine huyu. Anajifanya expert wa mahusiano wakati mpaka umri huo anaelekea uzeeni hakuna mwanaume ameenda kwao kutoa mahari na aolewe kwa heshima. Anaishia kuzalishwa tu mtaani...🚮🚮🚮
Labda Dada Zako Mkuu.

Acha wazalishwe wivu wa nini, ulitaka uzalishwe na wewe?

Utapigwa miti tu na mimba hubebi.

#emperor my ass kuja na lingine am ready.
 
Very funny...kwanza nilimsomesha mwenyewe, anikamtafutia kazi alikuwa akilipwa mshahara chini ya laki 1,...nikaendelea kumpa maisha ,akaota mapembe... hajanizidi kwa chochote financially
Story yako inayumba yumba
 
[emoji23][emoji23][emoji23]una makasiriko ya kukosa hela na kushindwa kugegeda mke wako mkuu jirekebishe utafte hela uache matusi na makasiriko huku JF.
Mchawi hela tu[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaha [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…